changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. v0il0r

    Changamoto gani unayo ya umeme nyumbani kwako

    Kama unachangamoto / shida ya umeme au vifaa vya umeme nyumbani kwako unaweza pata msaada hapa au tufanye kazi na fundi umeme hapa <<dar , ubungo>> Kama unaswali uliza au maoni changia
  2. Victor Mlaki

    Suala la muongozo mahusi wa mgawanyo wa vipindi shule za Sekondari ni changamoto, tuliangalie kwa jicho pevu

    Habarini wadau! Nina imani mnaendelea vizuri kabisa. Lengo langu leo ni kutaka kuibua changamoto niliyoibani hususani kwenye suala zima la uandaaji wa ratiba ya vipindi shuleni. Najiuliza ni kipi cha kufuata. Je, ni syllabus ilivyoekekeza au maelekezo na miongozo mingine inayotolewa? Kwa mfano...
  3. The Festival

    Namna Serikali inapaswa kupambana na changamoto ya ukosefu wa ajira nchini

    Ni matumaini yangu kwamba sote tuko poa. Kwa wale ambao wana changoto tunawaombea kwa Mola Mkuu awatatulie shida zao. Moja kwa moja kwenye jambo husika. Kupata job serikalini sio shughuli ndogo. Mbaya zaidi hilo ndio kimbilio na tumaini kwa vijana wengi. Pitia jukwaa la ajira na tenda utapata...
  4. Sambazah World

    Unafikiri Tanzania imefikia sehemu unaweza kununua bidhaa na huduma mitandaoni kwa urahisi?

    Je unapitia changamoto zipi unaponunua bidhaa mtandaoni? Je nini kifanyike kusuluhisha suala hili kwenye nchi yetu Tanzania?
  5. L

    Ufufukaji wa uchumi wa China kunufaisha uchumi wa dunia unaokabiliwa na changamoto

    Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) hivi karibuni lilitoa ripoti, likipunguza makadirio ya ukuaji wa uchumi wa nchi kubwa kiuchumi duniani, isipokuwa China, ambayo uchumi wake unakadiriwa kukua kwa asilimia 5.2 kwa mwaka huu. Kabla ya hapo, Benki ya Dunia pia ilitoa makadirio yake ya ukuaji wa...
  6. K

    DOKEZO Wataalam wachache kwenye Huduma za CT-Scan katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro ni changamoto

    Baadhi ya Wagonjwa wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro wamelalamikia kuwepo kwa wataalam wachache wa kipimo cha CT-Scan kunahatarisha usalama wa wagonjwa wao. Wananchi hao wamesema mara kadhaa wanapofika hospitalini hapo wagonjwa wamekuwa wakichukua muda mrefu kupata matibabu huku...
  7. Wakili

    Changamoto ya ulevi: Jinsi inavyoumiza familia na jamii

    Habari wapendwa, Leo napenda tuzungumzie hili suala la ulevi na athari zake na jinsi linavyoumiza familia na jamii kwa ujumla. Wapendwa ulevi ni tabia mbaya ambayo mtu hujijengea taratibu akizani ya kua yupo sawa kumbe anajimaliza siku hadi siku. Kwa mfano ulevi wa pombe tuache bangi na sigara...
  8. J

    Aweso afanya mabadiliko Mkurugenzi Mamlaka ya Maji Korogwe, asisitiza utatuzi wa changamoto ya maji

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amefika wilayani Korogwe mkoa wa Tanga na kupokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Jokate Mwegelo kwa Ziara ya kikazi akiwa na lengo la kutatua changamoto mbalimbali na kufuatilia hali ya Utekelezaji wa Miradi ya Maji na hali ya utoaji wa huduma ya Maji eneo...
  9. DOMINGO THOMAS

    Fahamu hili kuhusu Fao la Urithi/Mirathi

    Je, wajua mnufaikwa wa Fao la Uzee (Old Age Pension) akishachukua kiinua mgongo na kuanza kulipwa monthly pension (Malipo ya kila mwezi) na baada ya miezi miwili/mitatu+ akafariki, Dependant wake wanakuwa hawana kitu cha kwenda kudai kwenye Mfuko? Kwa PSSSF tegemezi watakuwa hawana kitu cha...
Back
Top Bottom