Tunapo waacha watoto kudhurura na kuwapa uhuru ulopitiliza bila kujali kesho yao ndo chanzo cha watoto kuwa wazembe na kushindwa kujifunza vitu vya msingi kama masomo hii ndo sababu wanavuna ziro huko mashuleni. Wazazi chukuweni hatua stahiki ✍️✍️
Habari wakuu nina changamoto ya kufanya malipo aliexpress leo siku ya 5 nmejaribu hata kutumia account ya jamaangu bado nimejaribu kutumia visa card ya voda wap nmejarbu kuwasiliana na benk husika kuona kama kuna tatizo wamenambia wao hakuna tatizo nmewachek aliexpress pia na wao vivyo hvyo...
Kumekuwa na Kero ya kusuasua kwa mfumo wa PEPMIS kwa kitambo Sasa. Mara mtandao umefungwa, mara uliweka taarifa huzioni. Na mbaya zaidi hata huduma zile za kuunganishwa na Taasisi za fedha ni hazina ungano kwa Sasa.
Mimi binafsi nimepata changamoto katika maombi ya mkopo. Ambapo ninaambiwa...
AWESO AITAKA DAWASA KUSHIRIKIANA KWA KARIBU NA WENYEVITI WA MITAA
Waziri wa Maji, Jumaa Awesso ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar Es Salaam (DAWASA) kushirikiana kwa karibu na wenyeviti wa mitaa ili kuweza kutatua changamoto za maji pamoja na kurahisisha ufikishaji wa huduma...
Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) nawapongeza mmeanzisha mfumo mzuri wa wananchi kufuatilia taratibu za kupata cheti cha kizazi na vifo katika mtandao badala ya kuja kupanga foleni kwenye ofisi zenu.
Ila bado kuna changamoto nadhani kwakua watumishi sasa hawakutani na wateja nadhani...
Habari za leo wakuu,
Nianze kwa kusema hivi wanawake wasilaumu kwanini1 wanaachiwa watoto, wanatengeneza mazingira hayo wao wenyewe.
Mimi umebaki tu upendo kwa mtoto wangu wa nampenda sana bila hivo nilikuwa naachana na huyu mtu kwanza hasikii hajui mume wake nataka nini ktk maisha yangu japo...
Biashara ya Mtandaoni: Ushuhuda, Mafanikio, na Changamoto za Matapeli
Mimi ni mdau mkubwa wa biashara za mtandaoni, na jambo linalonivutia zaidi ni pale tunapoweza kuzungumza na kufanya biashara kwa njia rahisi. Watu wengi wamefaidika na biashara hii, wengine wakitengeneza mtandao mkubwa wa...
Mimi nilikutana na matangazo haya ya ajira kwenye nguzo za umeme bhn mshahara 410k. Nikapiga simu, wakaniambia niende kwenye interview kesho yake pale Chang'ombe Junction saa 12 asubuhi na niwe smart sana, wakaniasa.
Kesho yake, kama kawaida, nikaenda kutimba pale Chang'ombe. Nikampigia jamaa...
Kama hujaanza ujenzi hasa wa nyumba yako ya kwanza ya kuishi jitahidi sana upate elimu ya kutosha kwenye
Ununuzi wa ardhi/kiwanja
Mafundi wa kila idara
Makisio ya vifaa, ufundi
Muda sahihi wa kuanza ujenzi
Nini cha kuanza kufanya nknk
Fanya utafiti wa kutosha.. Pata makisio ya ujenzi kwa kila...
Katika utafiti uliofanyika nchini, kupitia kila kata, imebainika kuwa madiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliochaguliwa chini ya utawala wa Rais Magufuli, meaka 2020, kwa asilimia 90 hawataweza kuchaguliwa tena katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025.
Hii ni kutokana na sababu mbalimbali...
Bila kupoteza muda yafuatayo ni mapungufu ya club ya Yanga yanayopelekea ipate wakati mgumu uwanjani hasa inapocheza na timu zinazojitambua na zenye kutumia mfumo wa kujilinda.
1. Beki za pembeni zina mapungufu kwenye kushambulia. Mtazame Zimbwe halaafu linganisha na Boka utagundua Zimbwe is...
Siku chache baada ya Wananchi wa Kata ya Mwangeza, Wilaya ya Mkalama mkoani Singida kulalamikia kuchota dumu sita hadi 12 ili wapatiwe huduma ya afya katika Zahanati ya Dominiki ikiwemo kwa Wanawake wanaotaka kujifungua kutokana na changamoto ya maji, Mamlaka husika imekiri uwepo wa changamoto...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kutoa maoni kuwa Tovuti mpya ya mfumo wa TANCIS unasumbua tangu ulipozinduliwa Januari 20, 2025, maoni hayo yamepokelewa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
TRA ilizinduwa mfumo huo na kueleza una maboresho na utakaosaidia kurahisisha uondoshaji wa Hivi...
Kumekuwa na changamoto kwa takribani wiki moja sasa kwenye MFUMO wa ESS (Employee Self Service) kushindwa kupakia majukumu ya kiutumishi kwenye kipengele kilichomo ndani ya mfumo huo cha PEPMIS (Public Employee Performance Management Information System) bila kujua changamoto hizo zinatokana na...
Anonymous
Thread
changamoto
ess
mamlaka
mfumo
mfumo wa ess
watumishi
Matumizi ya Gesi Asilia Iliyoshindiliwa (CNG) yameanza kushika kasi Tanzania kutokana na gharama zake nafuu ikilinganishwa na mafuta ya petroli na dizeli. Tanzania ina akiba kubwa ya gesi asilia, hasa katika maeneo kama Mnazi Bay (Mtwara) na Songo Songo (Lindi), ambayo yanaweza kusaidia kuongeza...
Wakuu hivi karibun Nimeanza maisha ya ndoa. Mwanamke wangu ni aina ya wale wanawake ambao akifika kileleni basi kitanda chote kinakuwa tepetepe(kinalowa).
Tumekuwa tukitumia mashuka mengi kutandika kitandani kwa ajili ya kulinda godoro lakini naona kunakuwa na usumbufu mwingi wa kufua mashuka...
Usijishughulishe kumtafuta Asiekutafuta
Punguza ama acha kabisa kuomba! Kufa Kijerumani.
Zungumza kilicho muhimu tu ili kujiepusha na yanaoepukika!
Atakethubutu kukuonyesha dharau, confront Him/Her immediately.
Usile Chakula cha Mtu zaidi ya aLIvyokula cha Kwako!
Punguza vile unawatembelea Watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.