Kabati ya kioo cha Aluminium inauzwa, haina changamoto yoyote nabadilisha biashara tu

Kabati ya kioo cha Aluminium inauzwa, haina changamoto yoyote nabadilisha biashara tu

Bwege2030

Member
Joined
May 10, 2025
Posts
97
Reaction score
197
INAUZWA! KABATI YA KIOO CHA ALUMINIUM
1000201288.jpg

Ngazi 3, Milango 2 Kubwa ya Kuteleza
Muundo kama huu kwenye picha, lakini yangu ni kubwa zaidi!
Inafaa kwa: Duka la Dawa, Stationery, Vipodozi, Urembo

Bei: Tsh 420,000 tu (bei ya kuongea kiasi)
Mahali: Makere, Kasulu - Kigoma
Mawasiliano: 0614204155
WhatsApp: 0776932790
Muundo safi, kama mpya!
 
Zangu mwenyewe,kama ofa tu Lakini
Wewe unasema uko wapi, mawasiliano..ili kujua namna ya kutuma... Baada ya malipo
 
Back
Top Bottom