Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (Institute of Kiswahili Studies), known by its acronym TATAKI, is a research body dedicated to the research of the Kiswahili language and literature at the University of Dar es Salaam in Tanzania.
Nikiwa kama mkongwe katika siasa za chini kwa chini au ndani kwa ndani leo tena narudi kwenu watanzania wazalendo kuwakumbusha kuwa kamwe hakuna Chama chochote cha Siasa ambacho kitaleta mabadiliko ya kweli na ya enzi zaidi ya C.C.M. kwa maslahi ya wanyonge.
Nilipokuwa kijana sana nilianza na...
Kiswahili siyo tu kwamba ni lugha rasmi ya kazi katika mikutano ya Umoja wa Afrika, Jumuiya ya Afrika Mashariki, SADC, UNESCO na taasisi nyingine kubwa za kimataifa bali kwa miongo kadhaa, imekuwa ikifundishwa kwa ufahari katika taasisi za kitaaluma za hapa Urusi - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck...
afrika
afrika mashariki
jumuiya
jumuiya ya afrika mashariki
katika
kazi
kiswahili
lugha
mashariki
mikutano
nyingine
rasmi
sadc
taasisi
umoja
umoja wa afrika
unesco
Please Please,
My friends, ladies and gentlemen,
tusikae kimya, kutazama tu bila kukemea taasisi za kidini na vyama vya siasa vikiendelea kuhamasisha na kuchochea chuki, uhasama na migawanyiko, ambayo ni wazi inalenga kuamsha hasira na ghadhabu miongoni mwa jamii za waTanzania na pengine kuleta...
Mtafiti wa anthropolojia Hassan Ghazaly, mwanzilishi wa Jukwaa la Kimataifa la Nasser, amekutana na Balozi Dkt. Fayez Mustafa, Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na Mkuu wa Sekta ya Palestina na Maeneo ya Kiarabu Yanayokaliwa kwa Mabavu, pamoja na Dkt. Nawal Al-Arabi, Waziri...
Kuna mtazamo hasi sana umekuwa ukisambazwa kuwa wanawake wa Kinyakyusa wana kiburi, ni wababe, Lakini, je, umewahi kujiuliza kuna nini nyuma yake ?
Ndoa inamuhitaji mwanamke kujishusha (Submissive), Ndoa inamtaka mwanamke kumtii mme wake, ndoa inamtaka mwanamke kukubali mwanaume ndie kichwa cha...
Habari za wakati huu Wakuu.
Naomba msaada wa mawazo kuhusu utaratibu wa kubadilishiwa kituo cha kazi au kuhamia taasisi nyingine ya Serikali.
Mimi ni mkufunzi wa Useremala chini ya Wizara ya Elimu, lakini taaluma yangu ni Civil Engineering.
Kwa sasa nina changamoto ya kifamilia, kwani mzazi...
Baadhi ya wafanyakazi hawashindani tena kwa kuboresha utendaji wao wa kazi. Badala yake, wanashindana ili wawe karibu zaidi na wakubwa wao. Badala ya kuongeza ujuzi wao, wanajitahidi kujenga uhusiano na watu wenye mamlaka ndani ya taasisi.
Badala ya kuleta matokeo mazuri, wanashughulika...
kuna jambo nimeliona katika hii miaka miwili ya fedha ya 2025 na 2026, sijui nini kimetokea kwenye baadhi ya taasisi za Serikali, lakini hali ya ukata ni ya kutisha sana.
Kuna taasisi ukisikia jina lake unaweza kudhani watumishi wake wanakula mema ya nchi. Unasikia mtu anafanya kazi kwenye...
Habari wadau,
Uzi wa leo tunashona sekta ya afya hapa nchini malawi.
Wengi mnatambua kuwa kuna mfumo huu wa taasisi za afya za malawi.
Ambapo unapofika hospital inaenda kwa mlolongo ufuatao;
1. Unasajiliwa ambapo baadhi ya hospitali za serikali ya malawi hukichaji mpaka zaidi ya 10,000
2...
Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema kuwa uhusiano kati ya Tanzania na taasisi za fedha za kimataifa, ikiwemo Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), umeendelea kuimarika huku uchumi wa nchi ukionesha ukuaji wa kuridhisha.
Balozi Omar amesema hayo (12.10.2026)...
Naomba nitoe kero kuhusu mchakato wa zabuni katika baadhi ya halmashauri za Mkoa wa Kilimanjaro.
Kuna taasisi ambazo, kwa madai yangu, hutangaza zabuni lakini mchakato wake unaonekana kuelekezwa kumpendelea mzabuni fulani. Mzabuni mwingine anaposhinda badala ya yule anayependelewa, zabuni hiyo...
𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗔𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗭𝗨𝗡𝗚𝗨𝗠𝗭𝗢 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗔𝗠𝗨 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘𝗞𝗜𝗧𝗜 𝗪𝗔 𝗕𝗨𝗡𝗚𝗘 𝗟𝗔 𝗩𝗜𝗘𝗧𝗡𝗔𝗠
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Oktoba 5, 2026, amefanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Vietnam, Mhe. Nguyen Hong Dien, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), kando ya Mkutano wa 153 wa Umoja...
katika
kupitia
mabunge
mahitaji
mkuu
muhimu
mwigulu
mwigulu nchemba
nafasi
sheria
taasisitaasisi za umma
umma
wananchi
waziri
waziri mkuu
waziri mkuu mwigulu
waziri mkuu mwigulu nchemba
Magufuli alipoingia alileta unemployment ya kiasi kikubwa sana. Majeshi ambayo ndiyo yalikuwa yakiajiri kwa wingi kutoka JKT hayakuweza kuajiri au yaliajiri kwa number chache sana.
Kuficha aibu akaipa promo SUMA JKT ili ichukue vijana wanaotemwa JKT wakalinde ofisi za umma kwa ujira kiduchu...
Mheshimiwa Rais amenituma niwahakikishie kuwa Serikali itaendelea kutoa ushirikiano kwa taasisi zetu hizi za dini,
Dkt. Mwigulu Nchemba
Waziri Mkuu wa Tanzania
🗓️Oktoba 4, 2026
📍HANDENI, TANGA
—————————————————-
Amesema hayo alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Ibada ya Misa...
Septemba 30, 2026 Mwanamume mmoja nchini Nigeria anayefahamika kwa jina la Adeniyi Adeyemi alifikishwa Mahakama ya Abuja akituhumiwa kuunda kinyume cha sheria taasisi ya serikali, kujiteua kuwa mkuu wake na kufanikisha kutengewa fedha katika bajeti ya serikali. Kesi hiyo imeibua maswali kuhusu...
https://youtu.be/9zjBfqx1E9E?si=tRVVlcDNCgoNkbdJ
Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi, Na Nyumba la Wilaya Dodoma, Mhe. Omary Mbega, kupitia ABM FM radio 91.2 Akielezea Wajibu wa mdhamini katika dhamana ya hatimiliki ya ardhi katika taasisi za kifedha.
Quantum Wealth Fund Taasisi inayojinadi kujihusisha na uwekezaji kwenye soko la hisa la DSE kwa ushirikiano na Orbit Securities Limited, ni kweli imesajiliwa BRELA?
Je inatambuliwa na mamlaka ya Masoko na Mitaji?
Je inalipa kodi kwa shughuli inayojihusisha nayo ya kupokea pesa kutoka kwa...
Wakuu, naomba uzoefu na facts kutoka kwa watu waliowahi au wanaofanya kazi kwenye taasisi mbalimbali Tanzania, hasa kwenye eneo la Procurement/Supply Chain.
Kuna taasisi ambazo kwa nje zinaonekana kawaida, lakini ndani yake zina salary scales nzuri, procurement activities nyingi, field...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.