taasisi

Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (Institute of Kiswahili Studies), known by its acronym TATAKI, is a research body dedicated to the research of the Kiswahili language and literature at the University of Dar es Salaam in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Nafasi za ajira zinasimamiwa na taasisi badala ya utumishi, wasio na connection wanatoboa hapa ?

    Mfano kwa leo nimeona kuna tangazo la ajira TRA. Ni wao wenyewe wanasimamia zoezi, maombi yanatumwa kwao Wasio na connection wanatoboa hapa ? Boss yupo tayari kumpa ajira mtu asiemjua wakati Ndugu zake, Mtoto wake, ndugu wa mke wake hawana ajira ?
  2. ngara23

    Rais Samia nakuomba lifumue jeshi la Uhamiaji na taasisi zake

    Tumekuwa tukilaumu jeshi la police Kwa kukosa weledi na rushwa Sasa kwa uozo ulio jeshi la Uhamiaji ni ndo mkubwa zaidi, Kuna uzembe na rushwa sana 1. Kuhusu wachezaji wanne wa Singida Black Star kupewa uraia bila vigezo na kinyume cha Sheria Uhamiaji mnafanya hivi Kwa faida ya nani? Hamjui...
  3. D

    Mdogo wangu anatafuta taasisi ya kufanyia field ya project planning

    Habari za muda huu wanaJf. Kama kichwa kinavyojieleza,nina mdogo wangu anasoma "Bachelor of Project planning and community dvt" anatafuta taasisi ya kufanya mafunzo kwa vitendo(field) mkoa wowote Tanzania.Hivyo basi nimekuja kwenu naamin nitapata msaada wenu members wa humu juu ya hili suala...
  4. sajo

    Serikali pangisheni yaliyokuwa majengo ya Wizara na Taasisi mbalimbali DSM vijana tupate ofisi na ninyi mpate kodi

    Ni zaidi ya miaka 5 sasa toka Rais JPM alipoagiza Wizara zote za Serikali kuhamia jijini Dodoma yalipo makao makuu ya nchi. Agizo la rais ni sheria, hibyo lilitekelezwa kwa ukamilifu na sasa Wizara karibu zote zimehamia Dodoma ambapo zina majengo katika mji wa serikali Mtumba. Kwa miaka yote...
  5. Crocodiletooth

    Haya ndiyo mambo ya ajabu ya taasisi zetu - NIDA

    Binafsi nimejaribu kukitafuta Kitambulisho changu cha NIDA, bila mafanikio yoyote, ofisi za Kata hakipo, ofisi za serekali za mitaa hakipo, japo nilihama eneo, nikaendelea labda nilijikomfuzi, wapi sikufanikiwa kukipata, Dar ni kubwa mihangaiko ni mingi, nawashauri nida pale ambapo mtu alipeleka...
  6. H

    KERO Taasisi za Serikali chini ya NACTVET na mambo ya bima ya afya

    Wanajamvi ikiwa leo ni jumapili tukufu huku tukisherekea sikukuu ya Mapinduzi ya Zanzibar binafsi nina jambo linalonishangaza. Ambalo ni michango inayoitwa ya Bima ya afya inayochukuliwa na vyuo vya serikali na vile vilivyoko chini ya NACTVET. Ni jambo la kawaida kwa mwananchuo kutakiwa...
  7. M

    Lissu amewahi kushika nafasi gani ya juu katika taasisi yote ile na ameleta maendeleo gani?

    Lissu amewahi kushika nafasi gani ya juu ya uongozi na amefanyia maendeleo gani? Maana nafasi ya Mwenyekiti ni kubwa.
  8. Z

    Taasisi ya elimu ya juu imeanzisha chama cha kusaidiana kufuata dini ndani ya Ofisi ya serikali

    Kuna taasisi ya elimu ya juu imeruhusu umoja wa kusaidiana kwa misingi ya dini. Tafsiri yangu ni kwamba, kwa kuunda umoja huo, na kuhamasishwa na viongozi wa taasisi ni ishara ya kuwatenga watu wa dini zingine. Nimeona ushahidi kupitia kumbukumbu ya malipo ya mishahara (salary slip) ya mmoja wa...
  9. winnerian

    Kufifia kwa taasisi za serikali: Mfano TANROADS

    Taasisi nyingi za serikali zinapitia vipindi vigumu, ikiwa ni pamoja na changamoto mbili kuu: uhaba wa fedha katika kutekeleza majukumu yake na kuacha misingi ya kimuundo kwa taasisi hizo. Mfano wa wazi ni TANROADS. TANROADS (Tanzania National Roads Agency) ilianzishwa rasmi Julai 1, 2000...
  10. J

    Mbowe: Rais wa JMT ni Taasisi ila sisi kama Chadema ni Kikundi tu Cha Watu tunaojitolea hatuhitaji Term Limit!

    Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe ameahidi kuheshimu Ukomo wa Madaraka pindi Chadema ikiingia Ikulu Source: Crown media
  11. Mtoa Taarifa

    Leo Desemba 31, 2024 ni mwisho kwa Taasisi za Umma zinazohudumia zaidi ya Watu 100 kutumia Mkaa na Kuni Tanzania

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa amezikumbusha Taasisi na mashirika yote ya Serikali yaliyopo kote nchini Tanzania ambayo yanahudumia watu zaidi ya 100, kutekeleza bila shuruti agizo lake la kuitangaza Disemba 31, 2024 kuwa siku ya mwisho kwa matumizi ya...
  12. Mejasoko

    First impression at first sight ndiyo hubeba kibali cha mahusiano yoyote. Jipange vyema unapokwenda kukutana na mtu au taasisi kwa mara ya kwanza

    Usijieleze sana, maana haibadilishi chochote. Binadamu anakupenda ama kukukubali dakika tano tu za kwanza anapokuona, hata kabla hujajieleza. Namaanisha, binadamu anakukataa moyoni dakika tano tu za kwanza mara anapokuona kwa mara ya kwanza. BILA SABABU YOYOTE, yaani, JINSI ULIVYO TU...
  13. Mkalukungone mwamba

    Prof Lipumba: Taasisi ya Takwimu ya Taifa inaonesha kuwa miaka 7 iliyopita 2017 – 2023 Tanzania imewekeza wastani wa asilimia 46 ya pato la taifa

    Taasisi ya Takwimu ya Taifa inaonesha kuwa miaka 7 iliyopita 2017 – 2023 Tanzania imewekeza wastani wa asilimia 46 ya pato la taifa, kulingana na uwekezaji wa 46% pato la taifa lilipaswa kukuwa kwa nusu yake ambayo ni 23% lakini uchumi umekua kwa wastani wa asilimia 5.7 tu. Kwa miaka minne...
  14. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Mavunde Pamoja na Taasisi ya Dodoma Legends Watembelea Gereza Kuu Isanga Dodoma

    ▪️Washiriki Bonanza la Michezo na Askari Magereza ▪️Watoa misaada mbalimbali kwa wafungwa ▪️Wafanya ukarabati wa Jiko lq chakula kwa Wafungwa wanawake ▪️Jeshi la Magereza lapongezwa kwa matumizi ya Nishati Safi 📍Dodoma Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde, ametembelea Gereza...
  15. HORSE POWER

    Vipi taasisi hizi zikipitiwa na CAG?

    Habari ndugu zangu!! Kwa ufinyu wangu wa mawazo na elimu yangu duni nawaza tu kwamba sijui hali itakuaje siku CAG akipitia mahesabu ya TISS na TPDF.Maana kila mwaka huko anakokagua CAG wizi upo pale pale kama kawaida tena wa mabilioni ya shilingi.Serikali ipo,bunge lipo,TAKUKURU wapo lakini wizi...
  16. Yoda

    Hizi taarifa za kupachikwa majasusi/usalama kila taasisi zina ukweli gani?

    Hizi taarifa za kuwepo kwa majasusi/vipenyo(spies) kwenye vyama vya siasa, taasisi za kidini, timu za mpira, makampuni na taasisi nyingine nyingi za umma zina ukweli gani? Mfano katika vyama vya siasa wengine wanaotajawa katika hizi stori ni viongozi wa juu kabisa. Hivi kiuhalisia serikali...
  17. Mr Dudumizi

    Kumbukizi: Tusiwalaumu tena vijana wetu kwa kuendekeza mpira, tatizo lilianzia kwenye kauli za kiongozi mkubwa wa taasisi

    Habari zenu wanaJF wenzangu Kwa kauli hizi ndugu zangu, kuna sababu ya mtu mwenye akili timamu kuacha kushabikia mpira kweli?
  18. technically

    Wasomi wanamageuzi wa nchii wapo wapi? Mpaka mtu aliyepata division 0 anaongza taasisi kubwa hivi miaka 20?

    Kuna shida Tena sio kidogo wasomi wameenda wapi miaka 20 taasisi inaburuzwa na mtu aliyefeli shule na kufukuzaa wasomi kwenye chama.? Mtu Kama Dr Slaa na Zitto wanaondoka kihuni na wasomi kibao wanakimbia hiki chama Ana Nini Cha ziada huyu zero brain ambaye Hana hata shahada ?? Nina mashaka...
  19. Mzee wa Code

    Uamuzi wa Serikali kuhamia Dodoma inaonekana ni kama mtihani mgumu kwa baadhi ya Idara na Taasisi

    Dodoma ni Makao Makuu ya Nchi kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na hivyo kumekuwa na changamoto ya kutokuwepo kwa Viongozi waandamizi wa Serikali katika ofisi zao. Mwaka 2017, aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati John Magufuli, alitangaza rasmi kuhamia kwa...
  20. F

    Taasisi ya ndoa iko majaribuni

    Wanaume wanalalamika wake zao wanachepuka,wanawake nao wanalalamika wanaume wanachepuka,kama hiyo haitoshi wake wanataka kuliwa kwa mpalange na wanaume wanataka kula kwa mpalange,hivi mkichepuka bila kula au kuliwa kwa mpalange hamridhiki?
Back
Top Bottom