Askari wa Mashirika na Taasisi za Umma tuna raha sana

Askari wa Mashirika na Taasisi za Umma tuna raha sana

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Magufuli alipoingia alileta unemployment ya kiasi kikubwa sana. Majeshi ambayo ndiyo yalikuwa yakiajiri kwa wingi kutoka JKT hayakuweza kuajiri au yaliajiri kwa number chache sana.
Kuficha aibu akaipa promo SUMA JKT ili ichukue vijana wanaotemwa JKT wakalinde ofisi za umma kwa ujira kiduchu. Ndiyo maana huwa nasema serikali ya Magufuli ilikuwa na hali ngumu sana kiuchumi ila propaganda zilimbeba.
Taasisi za serikali sasa ni kama haziajiri tena Auxiliary police, security officer na security guards.
Sisi ambao tuliajiriwa na Kikwete tumekuwa hatuna kazi tena kwenye taasisi za umma.
Ukiamua unabadili kada , au unajichanganya kwenye kazi yoyote unayoona unafit au unakuwa supervisor wa ulinzi.
Unaingia kazini muda unaotaka wewe, unatoka kazini muda unaotaka wewe. Unaamua wewe kwa wiki au kwa mwezi uingie kazini siku ngapi.
Yet unalipwa pesa ya Overtime, patrols, nauli, lunch n.k.
Tangu nihitimu degree ya HR naona uzito kubadili kada . Sioni ma HR wakiwa na life zuri kuliko Mimi. Kazini wanaingia siku 5 hadi 6 kwa wiki. Posho mnalipwa sawa tena kuna posho askari tunalipwa HR halipwi.
Serikali ituongezee posho jamani kwani hatuna baya sisi na ni waaminifu sana.
 
Kwa nini huwa mna gubu sasa huko magetini hasa kwa age mates wenu wanaoingia na mikoko yao kupata huduma?
 
Kwa nini huwa mna gubu sasa huko magetini hasa kwa age mates wenu wanaoingia na mikoko yao kupata huduma?
Ukizeeka kwenye hii kazi mara nyingi unakuwa mchawi.
Ila sisi vijana hatuna baya, na sisi tuna mikoko yetu hata kama ni ya second au third hand
 
Unafanya kazi udsm afu unambie kuna posho kibao unapata udsm pale kuna njaa sana na unaa kile chuo hakistahili k
 
Back
Top Bottom