Ni kwamba lila kabisa lijijenge kwa mfuko Binafsi au? Hakuna mfuko wa pamoja kama taasisi nyingine za kidini? Naomba kuelekezwa taratibu
kwani makanisa mengine hayana utaratibu huo wa kuhamisha makasisi wake gentleman?By the way kujenga kanisa zuri ni utashi na maono ya mchungaji. TAG imekuwa na utaratibu mbaya wa kuhamisha hamisha wachungaji wake, Mchungaji anaona akijenga kanisa zuri atakuja kuhamishwa na kwenda kuanza upya kwingine.
TAG kuna ubinafsi wa kiwango kibaya sana ndio maana wako kama walivyo.Ni kwamba kila kanisa lijijenge kwa mfuko Binafsi au Hakuna mfuko wa pamoja kama taasisi nyingine za kidini?
Naomba kuelekezwa taratibu
Wachungani kuhama si ni utaratibu wa makanisa yote mkuu? Au mimi ndo sielewi.By the way kujenga kanisa zuri ni utashi na maono ya mchungaji. TAG imekuwa na utaratibu mbaya wa kuhamisha hamisha wachungaji wake, Mchungaji anaona akijenga kanisa zuri atakuja kuhamishwa na kwenda kuanza upya kwingine.
Ukitaka kupiga hela ya kanisa fungua kwenye jamii ya watu wenye hofu ya keshoHata ww ukiamua , unakiwanja chako Kibaha huko kwa mfipa. Ukaamua kiwe kanisa. Basi Unaweka mabati na kuanza kutafuta waumini.
Kwanza Unafuta washkaj zako wawili ambao atleast wana upako mfano unamweka min -me awe apostle na Seran awe kiongozi wa sifa na kuabudu.
😊😊😊😊
NB: hawaendelei kwasababu hawako centralized.
Mfano Mbeya makanisa ya Kilokole kila kanisa lina jina lake.
Ngumu sana kufanikiwa mkiwa wachache na hamna umoja au kusaidiana kutoka walio wengi.
Mna waumini 30. Na weng wa haya makanisa wana kipato cha chini, mjikusanye hadi mjenge wenyewe . Ni miaka 20 mtatumia.
Kila kanisa linajitegemea kujiendesha lakini kupeleka asilimia ya mapato makao makuu ni lazima.
Hata wewe ukiamua kufungua kanisa la TAG unaweza, muhimu unaenda kuomba kibali Kanisa lako linafunikwa unakua tawi la TAG.
Ni utapeli juu ya utapeli.
Binafsi hata mm naona hii ndio shida.Hawataki kua centralized.
Wangekua centralized ni rahis kusolve changamoto kama hizi mfano kwa Walutheri, wakatoliki, Moravian, Anglican & wasabato wakitaka kujenga hata sio kipengele inafanyika harambee moja tu inapatikana Cash 850M ahadi 900M ujenzi unaanza.Binafsi hata mm naona hii ndio shida.
Kakobe nilimsikia anasema ana makanisa 400 TZ nzima. (Atleast makanisa yake yako centralized kidogo).
Gwajima alisema ana waumini 2 mill TZ. Means ana makanisa mikoani.
Mwamposa sina uhakika kama ana branches na makanisa mikoani.
Na hawa sio TAG.
Na wote hawa wako kivyao vyao.
Ingawa wote ni makanisa ya kiroho.
Bado kuna mtu kajiona ana upako kafungua kanisa lake 1 na waumini 30. Na Haliko hata TAG wala kwa kakobe, gwajima wala mwamposa.
Maendeleo utapata wap?.
Wangekua centralized ni rahis kusolve changamoto kama hizi mfano kwa Walutheri, wakatoliki, Moravian, Anglican & wasabato wakitaka kujenga hata sio kipengele inafanyika harambee moja tu inapatikana Cash 850M ahadi 900M ujenzi unaanza.