Wakuu salama!
Kuna ukweli mmoja mkubwa sana ambao mahasla wengi huwa tunaufeli. Mara nyingi tunakimbilia kusoma historia za biashara zilizofanikiwa (kama akina Mo Dewji au GSM). Lakini ukweli ni kwamba, ukitaka kujua changamoto halisi za soko, usisome waliofanikiwa nenda kasome biashara...
Jumapili karmu
Kama unaona mazingira uliyopo yamebana na unatamani kuhama, zingatia yafuatayo kabla ya kufungasha virago:
1. Usiende Kichwa Kichwa: Usihame kwa kufuata mkumbo au msisimko wa kusikia flani kafanikiwa. Nenda ukiwa na mpango mkakati—unajua unaenda kufanya nini hasa
2. Andaa...
Salaamu wakuu
Mafanikio ya Mpira wa Tanzania ya mekuwa yakushangaza ndani ya hii miaka 6 jambo ambalo limekuwa la kuigwa kwa nchi jirani
Mwaka huu Kwa bara zima la Africa ni nchi 2 pekee zilizoingiza timu 4 ambazo ni Morocco na Tanzania
Swali ni je nani anatakiwa kupongezwa kati ya TFF au...
Dkt CHEMICAL ANAFUNDISHA NINI HUKO UDSM KAMA HAJUI NDOA NI SEHEMU YA MAFANIKIO YA MTU BOTH MWANAUME NA MWANAMKE?
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Ndoa ni moja ya vipimo vya mafanikio ya mtu. Hilo mtu yeyote ambaye anaakili timamu analijua. Sasa mtu umeenda shule mpaka umefika chuo kikuu...
Happy Nyerere day Tanzania 🇹🇿
Leo ikiwa ni kumbukumbu ya kifo cha muasisi wa taifa hili, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyezaliwa tarehe 13 Aprili 1922 na kufariki tarehe 14 Oktoba 1999, ni vyema tukajikumbusha historia yake na mchango wake katika taifa hili.
Nyerere wakati anafariki...
Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema kuwa uhusiano kati ya Tanzania na taasisi za fedha za kimataifa, ikiwemo Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), umeendelea kuimarika huku uchumi wa nchi ukionesha ukuaji wa kuridhisha.
Balozi Omar amesema hayo (12.10.2026)...
Ili apate cha kuiba; wengine wanakuombea mabaya, mfano:-
Daktari anataka uugue ili aende kukutibu
Wakili anataka uwe na kesi ili aweze kusimamia
Muuza majeneza anataka ufe ili auze majeneza
Nabii anataka urogwe ili akutoe mapepo
Mganga anataka urogwe na wachawi ili akupe tiba
Askari anataka...
Nimekua nikifikiria jambo hili kwa muda.
Kuna watu ambao zamani walikuwa wanawaambia watu kila kitu wanachopanga kufanya kama biashara, ujenzi, kazi wanayoomba, miradi wanayoandaa na hata mipango ya maisha. Lakini baada ya muda wanaamua kukaa kimya, wanaacha kuelezea kila hatua ya wanayopitia...
Hoja kubwa si kwamba “usimwamini mtu yeyote,” bali ni kwamba wazo pekee halitoshi kulinda thamani yake. Mwanadamu anaweza kuona wazo la mwingine, kuliboresha, kulitekeleza haraka, kupata mtaji, au kulipeleka kwenye soko kabla mwenye wazo hajafanya hivyo.
Kuna kosa ambalo watu wengi wenye...
Na Dr. Zack, WAF- New York
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi amesema Tanzania imepunguza vifo vya akina mama kwa asilimia 80 ndani ya kipindi cha miaka saba chini ya uongozi thabiti wa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan.
Mhe. Ndejembi amesema haya leo...
Miaka kadhaa iliyopita, wakati tukiwa mdogo na marafiki zangu wengi , miongoni mwa rafiki yangu wa karibu sana huyu ndugu yangu wote tumezaliwa mwaka mmoja tofauti ni tarehe na miezi,
Tulifanikiwa kusoma shule za mzingi pamoja ingawa kila mmoja alisoma shule yofauti ila tulikuwa madarasa...
Hivi unajua ya kuwa umaskini ni kukosa akili?
Kama ni kweli hakuna mtu anayependa umaskini kwa nini hatuko sawa?
Ulishawahi kujiuliza ni kwa nini, we share the same existence but live in different realities?
Kumbe mafanikio Sio jitihada wakuu, mafanikio ni ku shift paradigm..
Yaani...
Kisa cha Mtu Aliyekataa Kufa Moyo!
Unapopitia changamoto na kuona kama kila kitu unachojenga kinaporomoka, kumbuka kisa cha mwanamume aliyeshuhudia kiwanda chake kikiangamizwa na mabomu ya vita kisha tetemeko la ardhi likafagia kilichobaki!
Soichiro Honda alianza kwa kutengeneza vipuri vya...
Shirika lolote lisilo la kiserikali (NGO au Nonprofit), kufanikiwa katika utafutaji wa rasilimali fedha (fundraising) mara nyingi hutokana na kuomba fedha kwa watu sahihi. Kimsingi, fundraising yenye tija inahitaji uelewa wa kina na wa kimkakati wa "constituency" yako au kundi la watu wenye nia...
Baada ya kukua na kutambua jinsi watu wanakuwa controlled na hisia.
Watu ambao hawajui kuwa less attached na kupannic. Huwa sio kwamba ni wakali au wagai gai by nature. Na pia sio watu wakali by nature, huwa ni so weak. Ila ile reaction ina wa manipulate kudhani wako sahihi.
Kadri unavyo...
Katika kitu najifunza siku za hivi karibuni ni kuwa mafanikio hayaji by chance.
Kuna namna Mungu amemcraft kila kiumbe kutokana na uwezo wake, but we humans have a free will.
Na huu ndo mtego, the will to think we can manipulate reality, vijana wengi wanahisi mafanikio ni kuwa na hela bank...
Nimekuwa katika industry ya kilimo na ufugaji na nimejifunza mengi kwani kuna changamoto nyingi kuanzia unapoweka kuku bandani siku ya kwanza hadi unawatoa.
Kila wiki katika ufugaji inakuja na changamoto yake , umakini hasa unaitajika siku za mwanzo ukianza vibaya utaona kila rangi na unaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.