mafanikio

  1. Waufukweni

    Simba na Yanga zapewa heshima kwa mafanikio na mchango katika kukuza chapa ya Ligi Kuu Bara

    Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetoa zawadi kwa klabu za Simba na Yanga kama ishara ya kutambua mchango mkubwa katika kutangaza na kukuza chapa ya Ligi Kuu Bara ndani na nje ya bara la Afrika kutokana na mafanikio ya klabu hizo kwenye michuano ya CAF kwa ngazi ya klabu.
  2. S

    Mnaolinganisha mafanikio ya Rais Samia na Rais Nyerere, huenda mna tatizo la afya ya akili kwa kutozingatia ukweli huu hapa

    Kuna watu wamekuwa kero kama kelele za mbu karibu na sikio. Wanalinganisha mafanikio ya Raisi Samia na yale aliyofanya Raisi Nyerere enzi za uraisi wake. Wanashindwa kabisa kutambua Nyarere kama Raisi hawakuwa na wigo wa serikali kupata mapato alionao Samia hivi sasa. Leo hii ukilinganisha hela...
  3. Surya

    Hasa Vijana acheni uvivu, Njia ya mafanikio..

    We talk about Gift. au Talanta kila Mtu anayo ya kwake... Kwahiyo unatakiwa ujue Elimu sio Ufunguo wa Maisha, Kwa sasa ukija duniani na jambo la kifundishwa darasani hupati kazi, wasomi wa syllabus ni wengi sana. Sasa mbinu ya kujikwamua ni hii... Angalia wewe unaweza sana Kitu gani, alafu...
  4. The Watchman

    Kwanini wanawake wenye mafanikio wanaogopwa?

    Hawa ni wanawake wenye kiwango kikubwa cha elimu, fedha, umaarufu au hata madaraka katika jamii. Hoja ya wanaume wenye mawazo haya ni ugumu wa kuwaongoza wanawake wanaowazidi. “Mwanawake akipata kitu anakuwa jeuri sana. Hawezi kukusikiliza tena na atataka awe huru kufanya mambo yake bila...
  5. Chibule

    Vijana ambao hawapo kwenye Ndoa wanatakiwa kuwa na Mafanikio Kuliko Walioko Kwenye Ndoa, kivipi?

    Vijana wengi wasio na wake wanapaswa kuwa na mafanikio zaidi kuliko walivyo sasa. Lakini kwa sababu wanatumia pesa nyingi kwa wanawake ambao sio wake zao, ndio maana hawafanikiwi. Bro unajua mapenzi yanaweza kukurudiasha nyuma kama usipoingia kwa akili? Ila mapenzi ni matamu sometimes lakini...
  6. Yoda

    Kuna mafanikio makubwa kwa mwanamke wa kibongo zaidi ya kuolewa?

    Huwa naona kama ndoto kubwa zaidi waliyo nayo wanawake wengi wa bongo ni kuolewa. Hata wamama wengi unakuta kwa mfano wakiwa wanawaelekeza mabinti wao wanawaambia kauli kama hujui kupika/kufanya usafi/ au na uvivu huo utaolewa na nani. Hivi mwanamke kuolewa ndio mafanikio ya juu zaidi...
  7. Stephano Mgendanyi

    LGE2024 Tamko la CCM kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    TAMKO LA CCM KWA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeandaa tamko maalum kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024. Uchaguzi huu ni muhimu kwa maendeleo ya nchi yetu, kwani utahusisha kuchagua wenyeviti wa mitaa, vijiji, vitongoji, wajumbe wa kamati za...
  8. Mindyou

    LGE2024 Amos Makalla: Mafanikio yaliyoletwa na CCM nchini hayahitaji tochi

    Wakuu, Amos Makalla ameendelea kutoa dozi kwa wapinzani katika kipindi hiki cha kampeni. Hivi karibuni akiwa huko Ukonga jijini Dar Es Salaam, Makalla amesema kuwa maendeleo yaliyoletwa na CCM hayahitaji tochi na ndio maana itashinda kwasababu watu wana imani nayo. Makalla alisema kuwa...
  9. Balqior

    Kwa kilichomtokea Niffer, naanza kupata mashaka kuhusu mafanikio ya kipesa ya hawa celebrity entrepreneurs wetu wa kibongo

    Habarini, Ninaposema celebrity entrepreneurs, namaanisha vijana maarufu wanaotrend mitandaoni kwa kuwa na hela nyingi kama kina chief godlove, Ontario/ sirjeff Dennis wa forex, Niffer, na wanaofanana na hao. Huenda alichofanya Niffer kukusanya michango ya maafa kariakoo kina nia njema 100%...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Maombi ya Wazazi wako hayana mchango wowote katika mafanikio yako. Matendo yao Mema ndio sadaka kwa mafanikio yako

    MAOMBI YA WAZAZI WAKO HAYANA MCHANGO WOWOTE KATIKA MAFANIKIO YAKO. MATENDO YAO MEMA NDIO SADAKA KWA MAFANIKIO YAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hata waombe na kubinuka. Hata wafunge 40 kama Yesu. Hata wafunge Ramadhan na Shaban. Hata wagaregare na Kuvaa magunia. Ni Kazi bure tuu. Maombi...
  11. B

    Kuna mahusiano gani kati ya kiwango cha elimu na kiwango cha mafanikio kwenye maisha? Mafanikio ni nini?

    Sasa nianze kwa kutanguliza Hongera kwa wote ambao hamkukwepa umande lakini poleni ambao mlikwepa umande kwasababu zenye mashiko kama Ada, magonjwa na kufiwa na Wategemezi hali iliyopelekea kuanza kutafuta hela mapema. Lakini ifike mahala wasiosoma mtuheshimu ambao hatukukwepa umande...
  12. Mhaya

    Hii Kauli "Nyuma ya mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke" huwa ni ya uongo

    Ngoja tuambiane ukweli mchungu. ‘Nyuma ya mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke.’ Ondoa jambo hilo kichwani mwako. Tena liondoe kabisa. Nafuatilia namna matajiri walivyofanikiwa, hakuna aliyefanikiwa kwa ajili ya mwanamke. Kama yupo nikumbusheni. Mwanamke hapendi shida, mwanamke ni muoga, kama...
  13. dgombusi

    Je Mafanikio ni Matokeo ya Tabia, Sio Kitendo Kimoja?

    Wengi wetu tunatamani kufanikiwa, lakini ni wachache wanaojua siri ya mafanikio ya kweli. Mara nyingi tunaamini kuwa mafanikio yanatokana na kitendo fulani kikubwa au tukio maalum, lakini ukweli ni kwamba mafanikio ni matokeo ya tabia zetu za kila siku. Kama vile Aristotle alivyosema, “Sisi ni...
  14. dgombusi

    Mafanikio ni Matokeo ya Tabia, Sio Kitendo Kimoja

    Wengi wetu tunatamani kufanikiwa, lakini ni wachache wanaojua siri ya mafanikio ya kweli. Mara nyingi tunaamini kuwa mafanikio yanatokana na kitendo fulani kikubwa au tukio maalum, lakini ukweli ni kwamba mafanikio ni matokeo ya tabia zetu za kila siku. Kama vile Aristotle alivyosema, “Sisi...
  15. Gulio Tanzania

    Watanzania wengi wanapenda mafanikio lakini sio watoaji

    Nilikuwa kwenye uzinduzi fulani wa kituo Cha watoto yatima mtoa hotuba alikuwa akilalamika watanzania hawajitoi kusaidia watoto wao misaada mingi inatolewa na wazungu na matajiri huku watanzania wengi wanatoa pesa zao nyingi kwa manabii kuchangia harusi na kuvaa vizuri wakisahau kama Kuna watoto...
  16. Equation x

    Mahusiano kwako, yamekupa mafanikio au yamekurudisha nyuma kimaendeleo?

    Kila mmoja utamani kuingia kwenye mahusiano; haijalishi anapata faida au hasara, ingawa wapo wachache wanaopata faida, na pia wapo wengine wanapata hasara na kujikuta wanarudi nyuma miaka 20 iliyopita kimaendeleo. Sasa ndugu zangu nawauliza; Mahusiano kwako, yamekupa mafanikio au yamekurudisha...
  17. FAJES

    Biashara ya Tofali: Mafanikio na Changamoto zake.

    Wakuu amani iwe nanyi! Nafikisha kwenu Wajuvi na Wazoefu wa biashara za hapa nyumbani. Leo naomba mwenye uzoefu wa biashara ya kufyatua Tofali kwa Dar es Salaam atupatie mawili matatu ili kina sisi tunaoitizama biashara hii kama fursa ya kufanya hatujaingia mazima mazima. Karibuni sana Wakubwa.
  18. MSHUAH

    Fungua Milango ya Mafanikio: Hatua Muhimu za Kutimiza Malengo Yako

    Ndugu zangu wa Jamii Forums, Leo nimeamua kuanza safari ya kushirikiana nanyi kuhusu mafanikio na jinsi mtu anaweza kufikia malengo yake. Mara nyingi tunasikia watu wakisema "nataka kufanikiwa," lakini wengi hawajui wanapaswa kuanzia wapi au ni nini cha kufanya ili kufika kule wanakotamani...
  19. BwanaSamaki012

    Mwambie mwenzio: Nina toa uduma za Kitaalamu kwa Mafanikio ya Miradi ya Ufugaji Samaki

    Habari Wakuu! Ufugaji wa samaki ni utamaduni/maarifa mapya hivyo watu wengi wanastruggle sana kupata taarifa sahihi juu ya njia bora ya kufanya ufugaji wa samaki kibiashara Mimi ni mtaalamu wa ufugaji wa samaki ninatoa huduma zifuatazo ambazo ili kusaidia jamii kukuza uelewa na mwisho kufikia...
  20. kwisha

    Kupotea kwa ukristo ni mateso kwa watu wengine

    Kuna watu bado wanaukataa ukristo na kutukana sijui ukristo ni utapeli sijui nini Ninawagalia nachekacheka tu moyoni mwangu. Ukristo sio kwamba una sapoti ujinga bali una heshimu tamaduni ,imani, mawazo, ya watu wengine
Back
Top Bottom