Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Binafsi Nime undergo many circles of change, ila naona kabisa bado.
Kuna time, inabidi u let go of the old version ili a new you awe born.
Yaani kuna time, inabidi u empty out all the things uko attached to, ili uweze kuanza upya.
Hauwezi kubadilika kama nervous system yako bado inamuwaza ex, kama bado una mindset ya maumivu, umaskini, uzinzi, ulevi nk..
Kuna siku nilikuwa najiandaa na interview moja, ila nikajiangalia naona kabisa si fit, ile position..
Nilicho kifanya ni kujivika persona kama tayari nimesha wahi kufanya ile kazi, and trust me I killed it.
Ila wengi huwa bado tuna habour vitu, vya zamani ndani yetu tukidhani kuwa kuna miracle it's happen.
Hakuna miracle. Everything needs discipline and consistency.
Je, uko tayari kukubali huyo unaye dhani ndo wewe afe, ili wewe mpya aweze kuzaliwa? Uko tayari kuacha addiction, uongo, nongwa, chuki, majivuno na tamaa ziende?
Sio rahisi ila inawezekana.
It is not pain that we fear, it is the uncertainty of what lies beyond comfort.
Ijuma Kareem.