Yote anayosema Mange niliyasema kabla Hukoo nimetulia

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
Mwigulu kufukuzwa inakuja
Nchimbi nyumba yake kuzingirwa
Report ya Samia kusema wapinzani wameshirikiana na Nchimbi kufanya maandamano nayo nilisema na nyuzi zimo,

Mwisho kabisa nimeuliza swali kimkakati je yaweza hapo mbeleni Rais akaumwa akasema ninakaa pembeni ??
Nimekaa kimya week kadhaa yanayoendelea si Mazuri kabisa

Britanicca
 
Uongo haukusaidiii
 
oky

Vp kuhusu Mzungu wa Ilala?
 
Shida sio akili zako ndogo shida ni wanaokuamini kuwa na la maana kichwani

USSR
 
britanicca ,,,,,,,,,,mange Huwa anasema yote kwa pamoja wewe unaandika sentensi Moja unaondoka hadi mwezi mwing
Uwe unapitia nyuzi zake ukiwa na utulivu mengi Britannica huwa anayaandika kwa code
Ndio maana wengi huwa tunashindwa kuelewa, ila likishatoka jambo ndo unaona uzi unaibuka
 
Sasa napata picha

Ina maana CCM mtandao walionao Sa100 akimaliza muda wake nchimbie atachukua nafasi na wenda angemwaga mboga sasa sasa wakaamua wamuharibie
Ili ikitokea Sa100 akashindwa kumaliza muda wake anaapishwa Mr DEO ambaye anaenda kuongoza tena kwa miaka 10😂🙌

Kiufupi namna ya kutoka mikononi mwa wahuni bdo n mtiti jamaa wanawaza mbali sana
 
Back
Top Bottom