Watanzania SISI ndio watu wajinga zaidi kuwah tokea duniani wallah,
Hawa wanaharakati, waliamimisha watu waandamane jeshi lipo matokeao yake watu wakafa wao wanaishi, watu hawashtuki.
Sasa hivi bado tu wanaendelea kuleta TAARIFA ambazo badae huonekana si za kweli ni uongo lakini bado watu wanawasikiliza na kuwatii, nyimwa vyote si akili ya utambuzi.
Leo tena mtu anapangwa bado ana amini tena, eeh mungu naliombea taifa langu si wasomi si wasioe wasomi kwa tanzania ni ngumu sana kumtambua wakisimama pamoja, Yani tumekua sijui ni ma nini tu, inasikitisha sana