MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Ninachofurahi ni kuwa serikali hii iko smart sana. Majuzi mlisema Mama anaumwa mahututi ila mkaumbuka juzi alivyopokea mabalozi. Acheni kupiga ramli.
Rais ni binadamu, every human beings can fall sick, ila hata aumwe nini, hawezi kusema akae pembeni kwasababu watu wa jicho la tatu humu tumo, tuliambiwa kitu, kwenye sauti HII na tukaelezwa sababu ila hatukuzieleza hizo sababu!Mwisho kabisa nimeuliza swali kimkakati je yaweza hapo mbeleni Rais akaumwa akasema ninakaa pembeni ??
Nimekaa kimya week kadhaa yanayoendelea si Mazuri kabisa
Britanicca
Mkuu inawezekana ukawa unaandika mengi lakini uwasilishaji wako unawapa watu wakati mgumu.. unatumia codes sana... kwanini usiwe unaweka taarifa zako kwenye platforms kubwa kama huko meta, youtube , X , tiktok, n.k?Mwigulu kufukuzwa inakuja
Nchimbi nyumba yake kuzingirwa
Report ya Samia kusema wapinzani wameshirikiana na Nchimbi kufanya maandamano nayo nilisema na nyuzi zimo,
Mwisho kabisa nimeuliza swali kimkakati je yaweza hapo mbeleni Rais akaumwa akasema ninakaa pembeni ??
Nimekaa kimya week kadhaa yanayoendelea si Mazuri kabisa
Britanicca
Wanaweza kuendeleza mchakato wao huo huo bila kuona aibu na hakuna kitu tutawafanya.Mpango umeshabumburuka sijui itakuwaje
Uongo ulio wazi.japan inapokea wahamiaji kwa urahisi kufufua vijiji, changamkia fursa mkuu 😁
Hata 'patents" huwa haziandaliwi kipuuzi namna hii!'Mwigulu kufukuzwa inakuja
Nchimbi nyumba yake kuzingirwa
Report ya Samia kusema wapinzani wameshirikiana na Nchimbi kufanya maandamano nayo nilisema na nyuzi zimo,
Mwisho kabisa nimeuliza swali kimkakati je yaweza hapo mbeleni Rais akaumwa akasema ninakaa pembeni ??
Nimekaa kimya week kadhaa yanayoendelea si Mazuri kabisa
Britanicca
Kinachowaangusha Maria na Hilda ni kwamba hawafanyi verification and Due Diligence ya taarifa wanazopewa sometime wanalishwa "KASA aka MATANGO PORI" na watu wa mifumo ili kuwaondolea credibility.Jamaa habari zake 90% kweli.
Mange 80% kweli.
Hilda Newton na Maria Sarungi 55%
Sasa kwani Trh 6/11 imefika?Kuna Uzi humu niliwahi kuandika "endapo TL atahukumiwa kwa namna yoyote Samia atapigwa stroke mbaya sana". Na Leo narudia kusema Hilo.....
Kumbuka kwanza mwanzo wake ilikuwaje.Kwani aliyepo sasa amechaguliwa na wananchi?
MUNGU anaenda kuwatetea WaTanganyika. This time wasiiamini tena ccm.Mwigulu kufukuzwa inakuja
Nchimbi nyumba yake kuzingirwa
Report ya Samia kusema wapinzani wameshirikiana na Nchimbi kufanya maandamano nayo nilisema na nyuzi zimo,
Mwisho kabisa nimeuliza swali kimkakati je yaweza hapo mbeleni Rais akaumwa akasema ninakaa pembeni ??
Nimekaa kimya week kadhaa yanayoendelea si Mazuri kabisa
Britanicca
Kwa hiyo tuseme wewe hapa pekee ndiye umejaaliwa "akili ya utambuzi"!Watanzania SISI ndio watu wajinga zaidi kuwah tokea duniani wallah,
Hawa wanaharakati, waliamimisha watu waandamane jeshi lipo matokeao yake watu wakafa wao wanaishi, watu hawashtuki.
Sasa hivi bado tu wanaendelea kuleta TAARIFA ambazo badae huonekana si za kweli ni uongo lakini bado watu wanawasikiliza na kuwatii, nyimwa vyote si akili ya utambuzi.
Leo tena mtu anapangwa bado ana amini tena, eeh mungu naliombea taifa langu si wasomi si wasioe wasomi kwa tanzania ni ngumu sana kumtambua wakisimama pamoja, Yani tumekua sijui ni ma nini tu, inasikitisha sana
Hili hata kwenye hiyo katiba mbovu halimo.Kikatiba unaweza kuongozwa na Makamu wa Rais na kua Rais ambae hajawai kuomba kura kwa wananchi? Wazee wa katiba mfano Ndijembi kua Rais wakati hajawai kuchaguliwa na wananchi?
Kwenye maono ya 'HII' yako, tumswalie mtume ili Mwenyezi Mungu amwepushilie mbali Tulia Aksoni katika uongozi wa ngazi ya Urais.Rais ni binadamu, every human beings can fall sick, ila hata aumwe nini, hawezi kusema akae pembeni kwasababu watu wa jicho la tatu humu tumo, tuliambiwa kitu, kwenye sauti HII na tukaelezwa sababu ila hatukuzieleza hizo sababu!
Tukamsikia wenyewe kwa masikio yetu
tukashauri tena sasa there is nothing anybody can do bali kutulia tuu kusubiria matokeo!Wanabodi
Hili sio bandiko la kila mtu, ni bandiko la wale tuu wenye jicho la 3 na sikio la tatu.
Leo Rais Samia, akiwahutubia maofisa ugani, Ikulu ya Chamwino, kuna kitu Rais Samia amekisema kuhusu uchaguzi mkuu wa 2025, pale aliposema atarejea lini Kizimkazi. Rais Samia ameuzungumzia uchaguzi wa 2025 not expressly but impliedly
Juzi kati nilipandisha bandiko humu nikiuliza kuhusu Wasaidizi wa Rais Samia kama wanamsaidia kwa kumwambia ukweli Wasaidizi wa Magufuli walimuogopa hadi kushindwa kumsaidia, Je Wasaidizi wa Samia wanamsaidia kwa kumweleza ukweli au nao...
P
Wewe kweli ni kiazi hasa!anakua rais bila shida yeyote ile, kwakua itakua ni makamu wa rais anarithi kiti cha rais,
njia za kua makamu wa rais si kupitia sanduku la kura tu
Unajuwa huo siyo mwanzo wa "shida".Italeta shida
Pote uliposhauriwa na wadau kuwa upunguze Codes zako, sijaona ukicomment chochote.Mwigulu kufukuzwa inakuja
Nchimbi nyumba yake kuzingirwa
Report ya Samia kusema wapinzani wameshirikiana na Nchimbi kufanya maandamano nayo nilisema na nyuzi zimo,
Mwisho kabisa nimeuliza swali kimkakati je yaweza hapo mbeleni Rais akaumwa akasema ninakaa pembeni ??
Nimekaa kimya week kadhaa yanayoendelea si Mazuri kabisa
Britanicca
We akili zako ni km huyo kahaba Mangi Kimavi ambaye si mtanzania tena ila anatumia mazombie ya chadema kujipatia pesa, mtu ameshakana uraia wa nchi yetu nini kinamwasha? Atuachie nchi yetu ahangaike na mambo ya Marekani. Mwigulu tunaye na ndiyo atakuwa Rais 2030Mwigulu kufukuzwa inakuja
Nchimbi nyumba yake kuzingirwa
Report ya Samia kusema wapinzani wameshirikiana na Nchimbi kufanya maandamano nayo nilisema na nyuzi zimo,
Mwisho kabisa nimeuliza swali kimkakati je yaweza hapo mbeleni Rais akaumwa akasema ninakaa pembeni ??
Nimekaa kimya week kadhaa yanayoendelea si Mazuri kabisa
Britanicca
Naona watu wavivu au waoga wa kufungua code mnapambana kuhakikisha Britanicca aachane na code ngumu au siyoMkuu inawezekana ukawa unaandika mengi lakini uwasilishaji wako unawapa watu wakati mgumu.. unatumia codes sana... kwanini usiwe unaweka taarifa zako kwenye platforms kubwa kama huko meta, youtube , X , tiktok, n.k?
Nyuzi hapa JF zinawekwa codes hadi hamu ya kusoma inakata, inakuwa sasa ni kama unafanya puzzle games, ama unafanya mtihani... una taarifa nzuri kweli , ila sasa jaribu kurahisisha uwasilishaji, kama jf zinapigwa chini posts zako, weka huko kwengine halafu njoo hapa kutoa taarifa tu kwamba umepost kule...
Ama tengeneza hata ID nyingine ambayo uki post kule, hio ID itakuja hapa kutoa taarifa mfano "Britannica kwenye X amesema Nchimbi amejiuzulu", watu humu watakimbilia huko X na watasoma habari yako... ulimweng huu wa kidijitali na social media kuna njia nyingi sana za kufanya taarifa zifike..