Yote anayosema Mange niliyasema kabla Hukoo nimetulia

Yote anayosema Mange niliyasema kabla Hukoo nimetulia

Jamaa habari zake 90% kweli.
Mange 80% kweli.
Hilda Newton na Maria Sarungi 55%
Hao kina Newtona na Sarunge wape 05% inawatosha kwanza huwa habari zao ni za kuokoteza na kuungaunga

Halafu kwa mkubwa Britanicca yeye ni 98% hizo mbili ni za waiting time kwasababu anayoyasema yanachukua muda kutokea lakini huwa yanatokea
 
Mwigulu kufukuzwa inakuja
Nchimbi nyumba yake kuzingirwa
Report ya Samia kusema wapinzani wameshirikiana na Nchimbi kufanya maandamano nayo nilisema na nyuzi zimo,

Mwisho kabisa nimeuliza swali kimkakati je yaweza hapo mbeleni Rais akaumwa akasema ninakaa pembeni ??
Nimekaa kimya week kadhaa yanayoendelea si Mazuri kabisa

Britanicca
Tofauti yako na Mange.
1. Mange anatoa maelezo yanayoeleweka, ananyoosha kila kitu bila kupinda wakati wewe unatoa maelezo ambiguous kama mganga wa kienyeji au ''wale manabii''.
2......
3...
 
Naona watu wavivu au waoga wa kufungua code mnapambana kuhakikisha Britanicca aachane na code ngumu au siyo
Uvivu unaingiaje hapo..
Si uvivu, bali haina maana...
Huwezi nilazimisha nitumie mikono kufua wakati nina washing machine, kwamba nikifua kwa machine mimi ni mvivu... hujui naokoa muda na nguvu..

Dunia ilipofikia haya mambo ya codes hayana maana, hii sio 2000s kipindi hiko tunategemea Radio na TVs, kuficha ficha taarifa haisaidii chochote...
 
Mambo serious hua hayapatikani kwa urahisi kaza mwanaume
 
Mwigulu kufukuzwa inakuja
Nchimbi nyumba yake kuzingirwa
Report ya Samia kusema wapinzani wameshirikiana na Nchimbi kufanya maandamano nayo nilisema na nyuzi zimo,

Mwisho kabisa nimeuliza swali kimkakati je yaweza hapo mbeleni Rais akaumwa akasema ninakaa pembeni ??
Nimekaa kimya week kadhaa yanayoendelea si Mazuri kabisa

Britanicca
Mwisho kabisa nimeuliza swali kimkakati je yaweza hapo mbeleni Rais akaumwa akasema ninakaa pembeni ??
Nimekaa kimya week kadhaa yanayoendelea si Mazuri kabisa🥺🤔🙇🏿‍♂
 
Kwa hiyo tuseme wewe hapa pekee ndiye umejaaliwa "akili ya utambuzi"!

Binafsi siwezi kudai kuwa ninayo hiyo akili ya utambuzi unayodai wewe kuwa nayo, lakini ninachoamini kwa uwazi kabisa, Samia hana chake tena katika uongozi wa taifa hili.

Sasa wewe subiri hiyo ngwe nyingine ya kuwaua waTanzania unaodai hawana "akili ya utambuzi".
Nimesema SISI watanzania mkuu labda umeni note tofauti, shida matatizo yanapo tokea wanao umia ni ndugu zetu kaka, naomba nikuulize swali mpaka sasa umesha poteza ndugu au jamaa sababu za kisiasa mkuu? Kama ndio unaifahamu uchungu wake? Kwanini wanaharakati wasiwape watu TAARIFA sahihi?
 
Rais ni binadamu, every human beings can fall sick, ila hata aumwe nini, hawezi kusema akae pembeni kwasababu watu wa jicho la tatu humu tumo, tuliambiwa kitu, kwenye sauti HII na tukaelezwa sababu ila hatukuzieleza hizo sababu!

Tukamsikia wenyewe kwa masikio yetu
tukashauri tena sasa there is nothing anybody can do bali kutulia tuu kusubiria matokeo!
P
 
Attachments

  • IMG-20261009-WA7899.jpg
    IMG-20261009-WA7899.jpg
    422.5 KB · Views: 8
Mwigulu kufukuzwa inakuja
Nchimbi nyumba yake kuzingirwa
Report ya Samia kusema wapinzani wameshirikiana na Nchimbi kufanya maandamano nayo nilisema na nyuzi zimo,

Mwisho kabisa nimeuliza swali kimkakati je yaweza hapo mbeleni Rais akaumwa akasema ninakaa pembeni ??
Nimekaa kimya week kadhaa yanayoendelea si Mazuri kabisa

Britanicca
britanicca CCM ni mpango wa Mungu. Haiwezekani kila kitu kifanyike exactly kama ilivyo.
 
Hiki ndio kilitakiwa kiwe kiini cha utafiti wako... Jiulize, je taarifa zote wanazotoa ni za uongo?
Ikiwa ni za uongo wananufaika vipi na ikiwa tofauti pia manufaa ni yapi?

Je unafikiri kwanini hata hizo taarifa za "uongo" wananchi huzifurahia na kufarijika nazo!?

Mwisho naomba unifahamishe kulikua na maandamano zanzibar!? Sijaisikia hiyo...
Ndio Kun maandamano yalitokea Zanzibar miez michache nyuma inaonekana si mfatiiliaji, watu waliandamana sasa maria sarungi kupitia insta akadai walio andamana ni wabongo, na sababu ni ubaguzi wanaofanyiwa Zanzibar hivo wamekinukisha.

Ni uwongo, walio andamana si wabongo pekee walio andamana walikua wabongo na wazenji wenyewe sababu ni wale migambo wa jiji, walikua wanashika pikipik zinazo katiza stone town na kuzitoza pesa ndefu pamoja na biashara za wamachinga hiyo ndio ilikua sababu ya kuandaman wakiimba na kukimbia wakavamia ofisi zao pale stone town na kuvunja wakachukua pikipik nk .

Hivo maria sarungi alipotosha tangu hapo nikawa na hofu na TAARIFA wanazo toa mana hili tukio lilinikuta Zanzibar
 
*Inawezekana huko mbeleni Samia akauumwa akakaa pembeni ??
*Swala la Mwigulu linakuja ?
*Nchibi alishilikiana na UPINZANI kufanya maandamano?

*Haya yote yanatokea kwa masrahi ya nan?
*Huyu master minder wa huu mchezo ana nguvu kiasi Gani ?
*Vyombo vya usalama vipo wapi hakuna namna ya kuzuia kwa masrahi ya nchi??
*Mwisho wake ni lini ?
*Kama hali itakuwa hvi chuki za wanainchi dhidi ya serikali zitaongezeka mpaka asilimia mia moja .

Nchi ni Bora kuliko mtu yeyote?
 
Tofauti yako na Mange.
1. Mange anatoa maelezo yanayoeleweka, ananyoosha kila kitu bila kupinda wakati wewe unatoa maelezo ambiguous kama mganga wa kienyeji au ''wale manabii''.
2......
3...
Mtu wa system anaandika kwa code!

Huyo anapata feeding za taarifa Toka main source sasa kuziandika in details anaweza sababisha sintofaham kwa informers waaminifu!

Mange Hana cha kupoteza lakini huyu ana vingi coz ipo jamuhuri iliyomwamini na anaitumikia Hadi sasa!
 
Back
Top Bottom