Yote anayosema Mange niliyasema kabla Hukoo nimetulia

Yote anayosema Mange niliyasema kabla Hukoo nimetulia

Mwigulu kufukuzwa inakuja
Nchimbi nyumba yake kuzingirwa
Report ya Samia kusema wapinzani wameshirikiana na Nchimbi kufanya maandamano nayo nilisema na nyuzi zimo,

Mwisho kabisa nimeuliza swali kimkakati je yaweza hapo mbeleni Rais akaumwa akasema ninakaa pembeni ??
Nimekaa kimya week kadhaa yanayoendelea si Mazuri kabisa

Britanicca

Umeshachuja huna jipya
 
Sasa napata picha

Ina maana CCM mtandao walionao Sa100 akimaliza muda wake nchimbie atachukua nafasi na wenda angemwaga mboga sasa sasa wakaamua wamuharibie
Ili ikitokea Sa100 akashindwa kumaliza muda wake anaapishwa Mr DEO ambaye anaenda kuongoza tena kwa miaka 10😂🙌

Kiufupi namna ya kutoka mikononi mwa wahuni bdo n mtiti jamaa wanawaza mbali sana
Mbona hii hata sie wenye D moja na nusu (hazifiki mbili) tulisema tokea anateuliwa Njembi kwamba huyo ndio atakua Presidaa wetu.
 
Mwigulu kufukuzwa inakuja
Nchimbi nyumba yake kuzingirwa
Report ya Samia kusema wapinzani wameshirikiana na Nchimbi kufanya maandamano nayo nilisema na nyuzi zimo,

Mwisho kabisa nimeuliza swali kimkakati je yaweza hapo mbeleni Rais akaumwa akasema ninakaa pembeni ??
Nimekaa kimya week kadhaa yanayoendelea si Mazuri kabisa

Britanicca
Mzee wa Zilongwa mbali zitendwa mbali kama kawaida yake 😳 !
Kama vile hayumo 😳 !
Ngoja Tusubiri tuone !
 
Kinachowaangusha Maria na Hilda ni kwamba hawafanyi verification and Due Diligence ya taarifa wanazopewa sometime wanalishwa "KASA aka MATANGO PORI" na watu wa mifumo ili kuwaondolea credibility.
Siyo kila taarifa waweza ifanyia "verification" au "due diligence" mkuu. Ndiyo maana huwa wanakuambia "kwa taarifa tulizonazo ..." Maana yake hiyo ni tetesi tu. Ni hiari yako kuiamini kama ilivyo au kuifanyia verification wewe mwenyewe.
 
Watanzania SISI ndio watu wajinga zaidi kuwah tokea duniani wallah,

Hawa wanaharakati, waliamimisha watu waandamane jeshi lipo matokeao yake watu wakafa wao wanaishi, watu hawashtuki.

Sasa hivi bado tu wanaendelea kuleta TAARIFA ambazo badae huonekana si za kweli ni uongo lakini bado watu wanawasikiliza na kuwatii, nyimwa vyote si akili ya utambuzi.

Leo tena mtu anapangwa bado ana amini tena, eeh mungu naliombea taifa langu si wasomi si wasioe wasomi kwa tanzania ni ngumu sana kumtambua wakisimama pamoja, Yani tumekua sijui ni ma nini tu, inasikitisha sana
Kwahiyo Kama Mange angesema wanajeshi hawapo upande wetu basi Watanzania ndio hawawezi kupigania haki zao?

Mbona kila siku watu wanauawa na kuteswa? Inabidi upambanie haki yako hata kama utauawa.
Kwa akili zako wote akina Kinjeketile walikuwa wapuuzi?

Tunaongea kama watu wajinga sana ambao hata hatuijui historia ya kupambania haki hapa duniani.

Hao watesi wetu Wanatumia misinformation ili watu kama wewe mkate tamaa na kuona wanaharakati ni waongo. Hao wana harakati wanajitahidi kwa uwezo wao. Hata taarifa zao zikiwa sahihi asilimia 50 inatosha. Hawana resources nyingi kama ilivyo serikali.

Tarehe 29/10 vijana walifanikiwa kama sio hiyo private army ya Samia.
 
Mwigulu kufukuzwa inakuja
Nchimbi nyumba yake kuzingirwa
Report ya Samia kusema wapinzani wameshirikiana na Nchimbi kufanya maandamano nayo nilisema na nyuzi zimo,

Mwisho kabisa nimeuliza swali kimkakati je yaweza hapo mbeleni Rais akaumwa akasema ninakaa pembeni ??
Nimekaa kimya week kadhaa yanayoendelea si Mazuri kabisa

Britanicca
Haiwezekeni labda kama ni ugonjwa utakaopelekea bwana ametoa bwana ametwaa .....Endelea kuhabarisha kwa code walioelewa waelewe waliotoka kapa watoke kapa............Mambo ni Panangana Paranguka....Ccm joka kuu linaendelea kujionesha umbo lake halisi kotoka shimoni.....wale watoto na vitukuu vilivobaki shimoni navyo vitafuata kujionesha hadharani....kwavile CCM imeendelea kukiuka misingi ya kuanzishwa kwake basi mwisho unaku
Mwigulu kufukuzwa inakuja
Nchimbi nyumba yake kuzingirwa
Report ya Samia kusema wapinzani wameshirikiana na Nchimbi kufanya maandamano nayo nilisema na nyuzi zimo,

Mwisho kabisa nimeuliza swali kimkakati je yaweza hapo mbeleni Rais akaumwa akasema ninakaa

Mwigulu kufukuzwa inakuja
Nchimbi nyumba yake kuzingirwa
Report ya Samia kusema wapinzani wameshirikiana na Nchimbi kufanya maandamano nayo nilisema na nyuzi zimo,

Mwisho kabisa nimeuliza swali kimkakati je yaweza hapo mbeleni Rais akaumwa akasema ninakaa pembeni ??
Nimekaa kimya week kadhaa yanayoendelea si Mazuri kabisa

Britanicca
mbona unatoa code nyepesi wakati tulikubaliana utoe code ngumu?
 
Mwisho kabisa nimeuliza swali kimkakati je yaweza hapo mbeleni Rais akaumwa akasema ninakaa pembeni ??
Nimekaa kimya week kadhaa yanayoendelea si Mazuri kabisa🥺🤔🙇🏿‍♂
Hili swali la Britanicca ni la mkakati kwelikweli na huenda ikawa shauku ya watu wengi, lakini swali la msingi linabaki kuwa "who is next"? Huyu huyu Mh.? Hatataka kukaa hadi uzeeni?? Akitaka kuwa kama yule Bwana Jose wa ng'ambo pale tutabaki salama?
 
Kumbuka kwanza mwanzo wake ilikuwaje.

Aliyemchagua Magufuli, alimchagua na yeye pia.

Sasa, Ndejembi hajawahi kuwa mgombea mwenza na mtu!

Ndipo point ya mtu uliyemjibu iliposimamia.
Tunazungumzia Serikali haramu.

Point ya jamaa haina mashiko kwa watu wahuni wasiofuata utaratibu. Kwa maana ya kuwa wanaweza fanya lolote lingine la hovyo muda wowote. Hata kwao wenyewe.

Na mwisho wao ni mbaya sana.
 
Tofauti yako na Mange.
1. Mange anatoa maelezo yanayoeleweka, ananyoosha kila kitu bila kupinda wakati wewe unatoa maelezo ambiguous kama mganga wa kienyeji au ''wale manabii''.
2......
3...
His ambiguity is intentional na ina faida yake. Ukitoa taarifa nzito kwa lugha iliyonyooka bila ushahidi uzi unafutwa. JF yaweza hata kufungiwa ikiachia nyuzi za namna hiyo nyingi. At the same time huwezi kuwa na ushahidi wa taarifa ya kupenyezewa kupitia sources za siri. Hata huyo Mange si uliona META walimpiga ban. Uwazi uwazi wa taarifa za kupenyezewa mnaomsifia ulimponza. Uanaharakati wa masuala ya haki ni kazi ngumu sana mkuu. Tuwaelewe tu hawa wadau.
 
Kitu sijaelewa hapa ni kimoja tu, kama sio viwili au zaidi.

Ni kwamba Mange anatuhumiwa kuwa anatuhumiwa kunukuu mambo ya mleta uzi na kuyapaisha kama yake?

Au wore wanaleta taarifa zile zile ila watu wanampa credit Mange na kumsahau mleta uzi?

Au mleta uzi anathibitisha kwamba yeye na Mange wanayoyaleta yanatimia hivyo vyanzo vyao viko makini?

Nashindwa kuelewa

Tofauti moja kubwa, Mange hana Codes
 
..sio sawa mauaji yafanywe na Polisi na Usalama halafu lawama uwatupie wanaharakati.

..kilichotokea ni unyama uliochanganyika na uzembe kwa upande wa vyombo vya dola.

..tangu vita vya Maji Maji hakujawahi kutokea mauaji makubwa yaliyofanya na vyombo vya dola kama OCT 29.
Hujanielewa kaka, TAARIFA zingine zinakua si za kweli kaka angu mfano, wale vijana walio andamana zenji maria sarungi alisema ni wabongo, waandamane kisa ubaguzi, ila ukweli nikua walioandamana ni wazenji mchanganyiko na wabongo kwa shida tofauti kukamatwa pikipiki stone town na kukamatwa biashara za machinga na jiji, mi nilikua zenji muda huo, nikashangazwa na TAARIFA za maria je nani humpa TAARIFA, mbona zinakua si za kweli huoni kama mnatugawa, tutashindwa kuaminiana mkuu
 
Kwahiyo Kama Mange angesema wanajeshi hawapo upande wetu basi Watanzania ndio hawawezi kupigania haki zao?

Mbona kila siku watu wanauawa na kuteswa? Inabidi upambanie haki yako hata kama utauawa.
Kwa akili zako wote akina Kinjeketile walikuwa wapuuzi?

Tunaongea kama watu wajinga sana ambao hata hatuijui historia ya kupambania haki hapa duniani.

Hao watesi wetu Wanatumia misinformation ili watu kama wewe mkate tamaa na kuona wanaharakati ni waongo. Hao wana harakati wanajitahidi kwa uwezo wao. Hata taarifa zao zikiwa sahihi asilimia 50 inatosha. Hawana resources nyingi kama ilivyo serikali.

Tarehe 29/10 vijana walifanikiwa kama sio hiyo private army ya Samia.
Sawa kaka hujanielewa sipo hapa kumpinga wanaharakati, nacho zungumza kaka siku zote sema ukweli hata kama ni mchungu, sema, hii ni lindo lako la kesho utapo sahau kile ulicho wahi kukisema nyuma mana uongo Huwa haukumbukwi, leo unasema hivi kesho bike huoni kama inatengeneza mazongira ya kupuuziwa mkuu tujitahidi kutoa TAARIFA za kweli kaka ni silaha ya kesho utapo sahau kaka
 
Minong'ono kuhusu biashara ya silaha na Mexican cartels inazidi kubamba na kufungua watu macho.

Endapo maafisa wa JWTZ na Wizara ya Ulinzi wamehusika na "purchase order & delivery order" ya silaha hizo kabla ya kuangukia mikononi mwa wana usalama wa Marekani, hakika kitawalamba na kulazimika kutaja vigogo na familia maarifu zinazohusika na kashfa.

Unyeti wa wizara unaweza kusababisha mtu atafutiwe sababu ya kukaa pembeni na kukiachia kiti. Kumbe kuondolewa kwa Nchimbi kulighubikwa na mazongezonge mengi.
Ndio hili linaelezwa vizuri kwenye Uzi wa Tumia akili wa "Usaliti wa jemedari wa marekani"

tutazamie kwenye ile sequence and series ya elimination process Kuna vigogo huko kwa mabaka lazima wafanyiwe elimination pamoja na mwenyewe kufikikia hitimisho!!

Nawaza
 
Back
Top Bottom