Kwa ile issue ya wabongo hayakuwa maandamano But ilikua ni kweli wabongo walikuwa wanabugudhiwa...Ndio Kun maandamano yalitokea Zanzibar miez michache nyuma inaonekana si mfatiiliaji, watu waliandamana sasa maria sarungi kupitia insta akadai walio andamana ni wabongo, na sababu ni ubaguzi wanaofanyiwa Zanzibar hivo wamekinukisha.
Ni uwongo, walio andamana si wabongo pekee walio andamana walikua wabongo na wazenji wenyewe sababu ni wale migambo wa jiji, walikua wanashika pikipik zinazo katiza stone town na kuzitoza pesa ndefu pamoja na biashara za wamachinga hiyo ndio ilikua sababu ya kuandaman wakiimba na kukimbia wakavamia ofisi zao pale stone town na kuvunja wakachukua pikipik nk .
Hivo maria sarungi alipotosha tangu hapo nikawa na hofu na TAARIFA wanazo toa mana hili tukio lilinikuta Zanzibar
Nchi IPO salama chini ya jemedari daktari Samia.Nadhani kwa sasa lolote liwakute tu, maana kama wameshindwa kuongoza nchi wanakaa hapo kufanya nini?
Uongo hapo darajani Kuna wale wazee wauza baragashea, asali, mikate juisi wale ni WA bongo? Mbona walitimuliwa na jiji? Jitahidi muwe mnapata tarifa sahihiKwa ile issue ya wabongo hayakuwa maandamano But ilikua ni kweli wabongo walikuwa wanabugudhiwa...
Asante mkuu na pole kwa kutoa la moyoni, Nchimbi alituaga bila sisi kujua kama anatuaga japo tetesi za kuondoka zilikuja humu baada ya kutuasa tutadai katiba mpya. La sasa limeongelewa na dada wa taifa, huyu dada akileta yeyote taarifa inafika mpaka vijiji vya ndanindani huko... Na ninavyowajua hawatakubali kupitia njia ambayo Mange ameshaifunua kwa wananchi.Wanaweza kuendeleza mchakato wao huo huo bila kuona aibu na hakuna kitu tutawafanya.
Jifikiri: mbona kuna mbinu za kudhuru watu zinabumburuka mapema na kufahamika kwa umma, lakini bado zikatekelezwa?
Mfano wa Nchimbi kupoteza nafasi yake, ilifahamika mapema, hadi kupelekea ye'mwenyewe akaaga waTz kwa kuwaasa kupigania Katiba mpya?
Wadhani kusema: ...'kama ningeambiwa nitoe neno la mwisho kwa waTz, ningesema Watz piganieni Katiba mpya'...
Wadhani maneno hayo aliyatoa kwa bahati mbaya bila kuzielewa njama zilizokuwepo?
Wakumbuka ishu ya Mdude ilikuwaje?
Mkuu we acha tu!
Usidanganyike hawa wanajua wanachofanya na wananchi wanawachukulia walivyo, zipo taarifa zinakuwa za kweli na zingine ni propoganda za kisiasa, ndio maana unaona follows wanaongezeka kila siku kwao kitu ambacho kimekuwa kigumu kwa machawa wengineKinachowaangusha Maria na Hilda ni kwamba hawafanyi verification and Due Diligence ya taarifa wanazopewa sometime wanalishwa "KASA aka MATANGO PORI" na watu wa mifumo ili kuwaondolea credibility.
Panapokuwa na uminywaji wa haki, mjinga ni yule anayechagua kukaa kimya.Watanzania SISI ndio watu wajinga zaidi kuwah tokea duniani wallah,
Hawa wanaharakati, waliamimisha watu waandamane jeshi lipo matokeao yake watu wakafa wao wanaishi, watu hawashtuki.
Sasa hivi bado tu wanaendelea kuleta TAARIFA ambazo badae huonekana si za kweli ni uongo lakini bado watu wanawasikiliza na kuwatii, nyimwa vyote si akili ya utambuzi.
Leo tena mtu anapangwa bado ana amini tena, eeh mungu naliombea taifa langu si wasomi si wasioe wasomi kwa tanzania ni ngumu sana kumtambua wakisimama pamoja, Yani tumekua sijui ni ma nini tu, inasikitisha sana
Unajaribu kuwaza kama mimi, je watakubali tupate msiba mwingine? Si itakuwa ni aibu kwa nchi kupoteza wakuu wawili? Najaribu kuwaza, huenda akafika wakati akasema siwezi tena kutokana na hili na hili....Mwisho kabisa nimeuliza swali kimkakati je yaweza hapo mbeleni Rais akaumwa akasema ninakaa pembeni ??
Nimekaa kimya week kadhaa yanayoendelea si Mazuri kabisa🥺🤔🙇🏿♂
Unajaribu kuwaza kama mimi, je watakubali tupate msiba mwingine? Si itakuwa ni aibu kwa nchi kupoteza wakuu wawili? Najaribu kuwaza, huenda akafika wakati akasema siwezi tena kutokana na hili na hili....
Hebu fikiri upo jikoni unajua kila kitu kinachoendelea, labda mpo 3, alafu taarifa inaonekana humu imenyooka kama ilivyo jikoni, hapo si mtaanza kukamatana wenyewe? Wakati mwingine acha ije kwa namna mletaji anavyoona inafaa kwake.Shida yako wewe habari unazileta kimafumbo
Mi ndio maana nakuita mzee wa homework britanicca
Wewe ukileta habari nyooka
Badala ya kutuachia homework
Hebu fikiri upo jikoni unajua kila kitu kinachoendelea, labda mpo 3, alafu taarifa inaonekana humu imenyooka kama ilivyo jikoni, hapo si mtaanza kukamatana wenyewe? Wakati mwingine acha ije kwa namna mletaji anavyoona inafaa kwake.
Haya kazi kwakeHebu fikiri upo jikoni unajua kila kitu kinachoendelea, labda mpo 3, alafu taarifa inaonekana humu imenyooka kama ilivyo jikoni, hapo si mtaanza kukamatana wenyewe? Wakati mwingine acha ije kwa namna mletaji anavyoona inafaa kwake.
Inawezekana ni kweli hana aibu, kumbuka pia anajaribu kumkwepa dada wa taifa na wenzake hawatakubali waanikwe waziKwangu inawezekana ,yule mtu hana chembe ya aibu (maslahi yake mbele mambo mengine baadae)
100%✓
Nilivyoelewa anasema kile alisema nyuma ndicho alichokisema Mange, na ametusaidia kuelewa alichosema Mange ni sahihi.Kitu sijaelewa hapa ni kimoja tu, kama sio viwili au zaidi.
Ni kwamba Mange anatuhumiwa kuwa anatuhumiwa kunukuu mambo ya mleta uzi na kuyapaisha kama yake?
Au wore wanaleta taarifa zile zile ila watu wanampa credit Mange na kumsahau mleta uzi?
Au mleta uzi anathibitisha kwamba yeye na Mange wanayoyaleta yanatimia hivyo vyanzo vyao viko makini?
Nashindwa kuelewa
Tofauti moja kubwa, Mange hana Codes
haya mambo ya kupenda vitu laini laini ndo yametufikisha hapa hadi kumwona bashite anafaaMkuu inawezekana ukawa unaandika mengi lakini uwasilishaji wako unawapa watu wakati mgumu.. unatumia codes sana... kwanini usiwe unaweka taarifa zako kwenye platforms kubwa kama huko meta, youtube , X , tiktok, n.k?
Nyuzi hapa JF zinawekwa codes hadi hamu ya kusoma inakata, inakuwa sasa ni kama unafanya puzzle games, ama unafanya mtihani... una taarifa nzuri kweli , ila sasa jaribu kurahisisha uwasilishaji, kama jf zinapigwa chini posts zako, weka huko kwengine halafu njoo hapa kutoa taarifa tu kwamba umepost kule...
Ama tengeneza hata ID nyingine ambayo uki post kule, hio ID itakuja hapa kutoa taarifa mfano "Britannica kwenye X amesema Nchimbi amejiuzulu", watu humu watakimbilia huko X na watasoma habari yako... ulimweng huu wa kidijitali na social media kuna njia nyingi sana za kufanya taarifa zifike..
Kabisa mkuu nakumbuka nyuzi zakoMwigulu kufukuzwa inakuja
Nchimbi nyumba yake kuzingirwa
Report ya Samia kusema wapinzani wameshirikiana na Nchimbi kufanya maandamano nayo nilisema na nyuzi zimo,
Mwisho kabisa nimeuliza swali kimkakati je yaweza hapo mbeleni Rais akaumwa akasema ninakaa pembeni ??
Nimekaa kimya week kadhaa yanayoendelea si Mazuri kabisa
Britanicca
Amina, Amina, Amina Kuuuuubwa.Kuna Uzi humu niliwahi kuandika "endapo TL atahukumiwa kwa namna yoyote Samia atapigwa stroke mbaya sana". Na Leo narudia kusema Hilo.....
Yule si wa leo au kesho. Kisugar kinamramba balaaoky
Vp kuhusu Mzungu wa Ilala?