JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 9,120
- 9,727
Binafsi naamini Itakuwa picha za AI hizo.Mbona ni mzima kabisa. Muda mwingine mnadanganya au kupewa taarifa za kuwalenyesha muonekane ni waongo
Binafsi naamini Itakuwa picha za AI hizo.Mbona ni mzima kabisa. Muda mwingine mnadanganya au kupewa taarifa za kuwalenyesha muonekane ni waongo
Yakiharibika sana.CCM wana mbinu nyingi sana, ila huyu mama anawaharibia sana, kila mbinu anainyea😀
Kwa hiyo huyo bwana wako "chigulu" ndio kakuhakikishia kuwa 2030 ni zamu yake yeye!?We akili zako ni km huyo kahaba Mangi Kimavi ambaye si mtanzania tena ila anatumia mazombie ya chadema kujipatia pesa, mtu ameshakana uraia wa nchi yetu nini kinamwasha? Atuachie nchi yetu ahangaike na mambo ya Marekani. Mwigulu tunaye na ndiyo atakuwa Rais 2030
Well said Kaka. Hawa wapumbavu wanajisahaulisha kuwa wapigania haki wengi wameuawa tena wengine hapa hapa Tanzania wakipigania Uhuru kama akina Mondlane .Kwahiyo Kama Mange angesema wanajeshi hawapo upande wetu basi Watanzania ndio hawawezi kupigania haki zao?
Mbona kila siku watu wanauawa na kuteswa? Inabidi upambanie haki yako hata kama utauawa.
Kwa akili zako wote akina Kinjeketile walikuwa wapuuzi?
Tunaongea kama watu wajinga sana ambao hata hatuijui historia ya kupambania haki hapa duniani.
Hao watesi wetu Wanatumia misinformation ili watu kama wewe mkate tamaa na kuona wanaharakati ni waongo. Hao wana harakati wanajitahidi kwa uwezo wao. Hata taarifa zao zikiwa sahihi asilimia 50 inatosha. Hawana resources nyingi kama ilivyo serikali.
Tarehe 29/10 vijana walifanikiwa kama sio hiyo private army ya Samia.
Mwigulu kufukuzwa inakuja
Nchimbi nyumba yake kuzingirwa
Report ya Samia kusema wapinzani wameshirikiana na Nchimbi kufanya maandamano nayo nilisema na nyuzi zimo,
Mwisho kabisa nimeuliza swali kimkakati je yaweza hapo mbeleni Rais akaumwa akasema ninakaa pembeni ??
Nimekaa kimya week kadhaa yanayoendelea si Mazuri kabisa
Britanicca
Okay; kumbe mataifa ya nnje USA EUROPE ISRAEL ndiyo yaliyomteka polepole, mdude soka na ndiyo waliompa lissu kesi ya uhaini; ndiyo wanaokamata wapinzani na kuwapa kesi za ugaidi,Kuna kitu kinaitwa "Original plan"" kuingiza Rais ambaye hajawahi kugombea"
Mama alipaswa kushika kwa muda TU kipindi kile,lakini kwa kua alionyesha ana Nia ya dhati ya kufuata maelekezo ya "the state" yapo kwenye Uzi wa "operation imesitishwa the state wamesema apewe muda"
Sasa alipopewa nafasi hakufuata maelekezo Yale "katiba ni kijikaratasi" ndipo plan ya mwanzo ilibidi itekelezwe!
Utekelezaji wake ndio huo "Desert mission, operation PJLK!mpango wenyewe ukawa "No REFORM NO ELECTION, mission nchi kavu ambayo ni Tanganyika!
Lengo lilikua kumtia hatiani kwa mauaji na kuleta dosari kwenye uongozi wake kama ilivyo sasa mtego wa ICC!
Script ikachezwa na upinzani Plus iner cycle ya ccm wazalendo plus mataifa ya makubwa ya nje yaani "usa, Europe Israel via CIA,MOSSAD,M16 n.k ndio maana Thabit kombo anasema "vurugu za uchaguzi zilianzia nje ya nchi ndio zikaja ndani"
Kifupi Hali IPO hivyo!
Na sasa tupo karibu na kilele!
Uchaguzi wa 2025 haaukua vita vya ccm na upinzani bali mataifa makubwa USA,EUROP,ISRAEL VS FALME ZA KIARABU, RUSSIA,CHINA N.K kwenye rasilimali za nchi hii
Nawaza na kuwazua kutokana na Duru jamvini na yanayoendelea!!
Aweke link 😄 😄 😄 ccm mmefika mwisho wa kufikilianayosema Mange niliyasema kabla Hukoo nimetulia
wewe ni boya tuuu
kwanza kama uliyasema Ushahidii uko wapi hujaweka link
2.kumbe ni anayoyasema na siyaliyotokea hapo ni ugoro juu ya ugoro
😆 😄 😄 Are you serious??britanicca CCM ni mpango wa Mungu. Haiwezekani kila kitu kifanyike exactly kama ilivyo.
anyway a screen shotAweke link 😄 😄 😄 ccm mmefika mwisho wa kufikili

Hujanielewa kaka, TAARIFA zingine zinakua si za kweli kaka angu mfano, wale vijana walio andamana zenji maria sarungi alisema ni wabongo, waandamane kisa ubaguzi, ila ukweli nikua walioandamana ni wazenji mchanganyiko na wabongo kwa shida tofauti kukamatwa pikipiki stone town na kukamatwa biashara za machinga na jiji, mi nilikua zenji muda huo, nikashangazwa na TAARIFA za maria je nani humpa TAARIFA, mbona zinakua si za kweli huoni kama mnatugawa, tutashindwa kuaminiana mkuu
Ukipewa taarifa na source lazima uingie chimbo kwanza kama Da Mange anavyofanya akiona ni TANGO PORI(KASA) anaitupilia mbali ila hao wakipewa taarifa wao wanairusha tu.Usidanganyike hawa wanajua wanachofanya na wananchi wanawachukulia walivyo, zipo taarifa zinakuwa za kweli na zingine ni propoganda za kisiasa, ndio maana unaona follows wanaongezeka kila siku kwao kitu ambacho kimekuwa kigumu kwa machawa wengine
Kigogo wa enzi za JPM yule ndiyo alikuwa accurate kwa 99.9%.Siyo kila taarifa waweza ifanyia "verification" au "due diligence" mkuu. Ndiyo maana huwa wanakuambia "kwa taarifa tulizonazo ..." Maana yake hiyo ni tetesi tu. Ni hiari yako kuiamini kama ilivyo au kuifanyia verification wewe mwenyewe.
Alikuwa hatari sana,,Kigogo wa enzi za JPM yule ndiyo alikuwa accurate kwa 99.9%.
Unashangaa wanaharakati wakati mamlaka za serekali zinasema uongo wa wazi na hustuki? 2023 walisema itatokea elinino na haikutokea, na sasa wamesema elinino itaanza mwishoni mwa September 2026, lakini hadi leo ni uongo wa wazi, na Bado utataka tuwaamini TMA wanaolipwa kwa Kodi zetu. Hiyo October 2025 tume ya uchaguzi walitangaza kura za uongo wa wazi kuwa Samia kapata kura 31m, hilo kwako si tatizo, bali tatizo unaliona kwa wanaharakati!Watanzania SISI ndio watu wajinga zaidi kuwah tokea duniani wallah,
Hawa wanaharakati, waliamimisha watu waandamane jeshi lipo matokeao yake watu wakafa wao wanaishi, watu hawashtuki.
Sasa hivi bado tu wanaendelea kuleta TAARIFA ambazo badae huonekana si za kweli ni uongo lakini bado watu wanawasikiliza na kuwatii, nyimwa vyote si akili ya utambuzi.
Leo tena mtu anapangwa bado ana amini tena, eeh mungu naliombea taifa langu si wasomi si wasioe wasomi kwa tanzania ni ngumu sana kumtambua wakisimama pamoja, Yani tumekua sijui ni ma nini tu, inasikitisha sana
Na taarifa za elinino ni kweli mkuu wangu? Maana hadi mitihani ya shule imebadilishiwa muda. Huko ulipo mafuriko yameanza?Hiki ndio kilitakiwa kiwe kiini cha utafiti wako... Jiulize, je taarifa zote wanazotoa ni za uongo?
Ikiwa ni za uongo wananufaika vipi na ikiwa tofauti pia manufaa ni yapi?
Je unafikiri kwanini hata hizo taarifa za "uongo" wananchi huzifurahia na kufarijika nazo!?
Mwisho naomba unifahamishe kulikua na maandamano zanzibar!? Sijaisikia hiyo...
Je utabiri wa elinino inaonyesha kuwa hiyo serekali ni smart? Juzi kapokea Balozi wa uarabuni, ila leo wa wa US na Uswisi wamepokelewa na Kombo! Kwenye ukweli na uongo hakuna wa Kumnyooshea kidole mwenzake.Ninachofurahi ni kuwa serikali hii iko smart sana. Majuzi mlisema Mama anaumwa mahututi ila mkaumbuka juzi alivyopokea mabalozi. Acheni kupiga ramli.
Peleka ujinga mbali, kuna raslimali gani Tanzania za kupiganiwa hivyo ambazo hizo nchi za nje haziwezi kuzipata bila machafuko? Hizo nchi za nje ndio zilisema Samia atangazwe kwa kura 31m? Kungekuwa na hizo raslimali tungekatwa Kodi kwenye miamala ya simu?Kuna kitu kinaitwa "Original plan"" kuingiza Rais ambaye hajawahi kugombea"
Mama alipaswa kushika kwa muda TU kipindi kile,lakini kwa kua alionyesha ana Nia ya dhati ya kufuata maelekezo ya "the state" yapo kwenye Uzi wa "operation imesitishwa the state wamesema apewe muda"
Sasa alipopewa nafasi hakufuata maelekezo Yale "katiba ni kijikaratasi" ndipo plan ya mwanzo ilibidi itekelezwe!
Utekelezaji wake ndio huo "Desert mission, operation PJLK!mpango wenyewe ukawa "No REFORM NO ELECTION, mission nchi kavu ambayo ni Tanganyika!
Lengo lilikua kumtia hatiani kwa mauaji na kuleta dosari kwenye uongozi wake kama ilivyo sasa mtego wa ICC!
Script ikachezwa na upinzani Plus iner cycle ya ccm wazalendo plus mataifa ya makubwa ya nje yaani "usa, Europe Israel via CIA,MOSSAD,M16 n.k ndio maana Thabit kombo anasema "vurugu za uchaguzi zilianzia nje ya nchi ndio zikaja ndani"
Kifupi Hali IPO hivyo!
Na sasa tupo karibu na kilele!
Uchaguzi wa 2025 haaukua vita vya ccm na upinzani bali mataifa makubwa USA,EUROP,ISRAEL VS FALME ZA KIARABU, RUSSIA,CHINA N.K kwenye rasilimali za nchi hii
Nawaza na kuwazua kutokana na Duru jamvini na yanayoendelea!!