akili mwili mzima
JF-Expert Member
- Nov 13, 2025
- 2,662
- 5,558
Mwanaume kuwa chawa ndio dalili kuu ya ushoga!Mwanaume kuja na story za mangi ni dalili za ushoga
USSR
Mwanaume kuwa chawa ndio dalili kuu ya ushoga!Mwanaume kuja na story za mangi ni dalili za ushoga
USSR
Mwigulu kufukuzwa inakuja
Nchimbi nyumba yake kuzingirwa
Report ya Samia kusema wapinzani wameshirikiana na Nchimbi kufanya maandamano nayo nilisema na nyuzi zimo,
Mwisho kabisa nimeuliza swali kimkakati je yaweza hapo mbeleni Rais akaumwa akasema ninakaa pembeni ??
Nimekaa kimya week kadhaa yanayoendelea si Mazuri kabisa
Britanicca
Samahan kaka kama nimekosea, ila lengo langu si baya mkuu, hawa watu TAARIFA wazitiazo nyingi si sahihi, kitu amabcho kina leta mashaka baina yetuUmeandika ukumer dogo...
Unajua ni watu wangapi wamekufa nje ya hayo maandamano? Unajua ni watu wangapi wamekufa na kupata ulemavu kwa kutetea haki na kusema kweli?
LINDA ****** HUO DOGO NA MENGINE UACHE YAKUPITE.....
Kama unakumbuka majuzi zenji watu waliandamana, sasa TAARIFA iliyotolewa na maria sarungi insta haikua ya kweli kuhusu tukio lenyewe, mi nipo zenji nakwambia alicho ongea maria hakikua na ukweli sijui Kwa nini alidanganya au aliempa TAARIFA alimdanganyaUmeandika ukumer dogo...
Unajua ni watu wangapi wamekufa nje ya hayo maandamano? Unajua ni watu wangapi wamekufa na kupata ulemavu kwa kutetea haki na kusema kweli?
LINDA ****** HUO DOGO NA MENGINE UACHE YAKUPITE.....
Hivi mzungu wa ilala 2015 alikuwa team Eli na RA + EJN?oky
Vp kuhusu Mzungu wa Ilala?
Mwigulu kufukuzwa inakuja
Nchimbi nyumba yake kuzingirwa
Report ya Samia kusema wapinzani wameshirikiana na Nchimbi kufanya maandamano nayo nilisema na nyuzi zimo,
Mwisho kabisa nimeuliza swali kimkakati je yaweza hapo mbeleni Rais akaumwa akasema ninakaa pembeni ??
Nimekaa kimya week kadhaa yanayoendelea si Mazuri kabisa
Bashite anatumia ukaribu wake na wanamtandao kuwachomea wenzakeMwigulu kufukuzwa inakuja
Nchimbi nyumba yake kuzingirwa
Report ya Samia kusema wapinzani wameshirikiana na Nchimbi kufanya maandamano nayo nilisema na nyuzi zimo,
Mwisho kabisa nimeuliza swali kimkakati je yaweza hapo mbeleni Rais akaumwa akasema ninakaa pembeni ??
Nimekaa kimya week kadhaa yanayoendelea si Mazuri kabisa
Britanicca
Kwamba yule mama hauzi ngada ?Uongo haukusaidiii
Kwamba mama hashirikiani na magenge ya biashara haramu? Kuuza ngada na silaha za magendo?naweza kuziita ni ndoto nyevu
Vichwa vyenu sijui huwa vimejaa nini?Kikatiba unaweza kuongozwa na Makamu wa Rais na kua Rais ambae hajawai kuomba kura kwa wananchi? Wazee wa katiba mfano Ndijembi kua Rais wakati hajawai kuchaguliwa na wananchi?
Wewe uliona ukajiridhisha?Kwamba yule mama hauzi ngada ?
Kwamba mama hashirikiani na magenge ya biashara haramu? Kuuza ngada na silaha za magendo?
Hiki ndio kilitakiwa kiwe kiini cha utafiti wako... Jiulize, je taarifa zote wanazotoa ni za uongo?sijui Kwa nini alidanganya au aliempa TAARIFA alimdanganya
Bonge la idia yenye ukweli flaniSasa napata picha
Ina maana ccm mtandao walionao sa100 akimaliza muda wake nchimbie atachukua nafasi na wenda angemwaga mboga sasa sasa wakaamua wamuharibie
Ili ikitokea sa100 akashindwa kumaliza muda wake anaapishwa Mr DEO ambaye anaenda kuongoza tena kwa miaka 10😂🙌
Kiufupi namna ya kutoka mikononi mwa wahuni bdo n mtiti jamaa wanawaza mbali sana
Makebouongo mtaji
Huyo makebo atakuwa basha wako unaempa mgongo