Kuna kitu kinaitwa "Original plan"" kuingiza Rais ambaye hajawahi kugombea"
Mama alipaswa kushika kwa muda TU kipindi kile,lakini kwa kua alionyesha ana Nia ya dhati ya kufuata maelekezo ya "the state" yapo kwenye Uzi wa "operation imesitishwa the state wamesema apewe muda"
Sasa alipopewa nafasi hakufuata maelekezo Yale "katiba ni kijikaratasi" ndipo plan ya mwanzo ilibidi itekelezwe!
Utekelezaji wake ndio huo "Desert mission, operation PJLK!mpango wenyewe ukawa "No REFORM NO ELECTION, mission nchi kavu ambayo ni Tanganyika!
Lengo lilikua kumtia hatiani kwa mauaji na kuleta dosari kwenye uongozi wake kama ilivyo sasa mtego wa ICC!
Script ikachezwa na upinzani Plus iner cycle ya ccm wazalendo plus mataifa ya makubwa ya nje yaani "usa, Europe Israel via CIA,MOSSAD,M16 n.k ndio maana Thabit kombo anasema "vurugu za uchaguzi zilianzia nje ya nchi ndio zikaja ndani"
Kifupi Hali IPO hivyo!
Na sasa tupo karibu na kilele!
Uchaguzi wa 2025 haaukua vita vya ccm na upinzani bali mataifa makubwa USA,EUROP,ISRAEL VS FALME ZA KIARABU, RUSSIA,CHINA N.K kwenye rasilimali za nchi hii
Nawaza na kuwazua kutokana na Duru jamvini na yanayoendelea!!