Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
kwani kuna ushindani kati ya britanicca na mange kimambi ? kwamba nani analeta habari za ndani ?
britanicca CCM ni mpango wa Mungu. Haiwezekani kila kitu kifanyike exactly kama ilivyo.
Watanzania SISI ndio watu wajinga zaidi kuwah tokea duniani wallah,
Hawa wanaharakati, waliamimisha watu waandamane jeshi lipo matokeao yake watu wakafa wao wanaishi, watu hawashtuki.
Sasa hivi bado tu wanaendelea kuleta TAARIFA ambazo badae huonekana si za kweli ni uongo lakini bado watu wanawasikiliza na kuwatii, nyimwa vyote si akili ya utambuzi.
Leo tena mtu anapangwa bado ana amini tena, eeh mungu naliombea taifa langu si wasomi si wasioe wasomi kwa tanzania ni ngumu sana kumtambua wakisimama pamoja, Yani tumekua sijui ni ma nini tu, inasikitisha sana
Makamu ni mzanzibar?
Kuna kitu kinaitwa "Original plan"" kuingiza Rais ambaye hajawahi kugombea"*Inawezekana huko mbeleni Samia akauumwa akakaa pembeni ??
*Swala la Mwigulu linakuja ?
*Nchibi alishilikiana na UPINZANI kufanya maandamano?
*Haya yote yanatokea kwa masrahi ya nan?
*Huyu master minder wa huu mchezo ana nguvu kiasi Gani ?
*Vyombo vya usalama vipo wapi hakuna namna ya kuzuia kwa masrahi ya nchi??
*Mwisho wake ni lini ?
*Kama hali itakuwa hvi michache nadhan tuhaja ya mapinduzi ya kijeshi
Nchi Bora kuliko mtu yeyote?
Wapi alisema kikwete kafa? Leta huo uzi kama kweli.Kikwete ameshakufa kama ulivyowaaminisha wafuasi wako?!!!
siku zote mauaji yanafanywa na mtu aliyeshika silaha , sasa sijui kama wanaharakati walishika silaha siku hiyo..sio sawa mauaji yafanywe na Polisi na Usalama halafu lawama uwatupie wanaharakati.
..kilichotokea ni unyama uliochanganyika na uzembe kwa upande wa vyombo vya dola.
..tangu vita vya Maji Maji hakujawahi kutokea mauaji makubwa yaliyofanya na vyombo vya dola kama OCT 29.
Mmmhje yaweza hapo mbeleni Rais akaumwa akasema ninakaa pembeni ??
Yani nikipata nauli tu😐japan inapokea wahamiaji kwa urahisi kufufua vijiji, changamkia fursa mkuu 😁
Uliona wapi mbara hana kichogo!. Kwahiyo Wabara saizi asili yetu imekuwa Oman?.Makamu ni mzanzibar?
imarisha uwezo wako wa kufikiri, yale mafumbo yanaeleweka sanatatizo lake wewe unaandika mafumbo mwishowe hayo mafumbo hugeuka ngonjera, lakini Mange yeye ananyoka kama rura na humwaga mchele hadharani kwa hiyo inakuwa rahisi kupembua kati ya mchele na pumba, punguza mafumbo bana.
It takes a witch to recognize a witch.Mwanaume kuja na story za mangi ni dalili za ushoga
USSR
Wanaza kifuture zaidj, tunapumbazwa na miss gryoko nuoko awardaSasa napata picha
Ina maana CCM mtandao walionao Sa100 akimaliza muda wake nchimbie atachukua nafasi na wenda angemwaga mboga sasa sasa wakaamua wamuharibie
Ili ikitokea Sa100 akashindwa kumaliza muda wake anaapishwa Mr DEO ambaye anaenda kuongoza tena kwa miaka 10😂🙌
Kiufupi namna ya kutoka mikononi mwa wahuni bdo n mtiti jamaa wanawaza mbali sana
Kuna huyu waziri aliyepigwa marufuku na Mike Pompeo ya kukanyaga marekani, unamkumbuka? Inakuwaje siku za hivi kitambo anawakoromea wafanyakazi wa wizara isiyomhusu kana kwamba yeye ni PM?Naandikaga nyuzi za kutosha hapa
Kama mama yake aliolewa na mgogo, kwanini awe mtanganyika bandia? Au mama kaolewa na mgogo wakati yeye kishazaliwa?Asili yake ni Mzanzibari. Kwa sasa ni Mtanganyika bandia, kwa sababu mama yake ambaye alikuwa mzanzibari aliolewa na mgogo.
video za dada wa Taifa za jana ziko wapi, mtuwekee humuNakumbuka ulisema.Kwa sasa Mimi ninakuamini wewe na Mange kwa maswala ya _za ndani" .