KERO Serikali ilipe hela za likizo kwa wakati kuwezesha watumishi wakati wa likizo

KERO Serikali ilipe hela za likizo kwa wakati kuwezesha watumishi wakati wa likizo

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

aliya

Member
Joined
Aug 11, 2022
Posts
23
Reaction score
20
Serikali tunaomba ihakikishe Watumishi wa umma tunalipwa fedha zetu za likizo kabla ya kuanza likizo, ili kutuwezesha kusafiri kwenda nyumbani na kutumia likizo zetu kwa utulivu.

Hatua hii itawasaidia watumishi kukidhi gharama za usafiri na mahitaji mengine muhimu tunapojiandaa kwenda kuungana na familia zetu wakati wa likizo.

Tunaiomba Serikali kulipa kipaumbele suala hili ili watumishi tunufaike na haki zetu kwa wakati.
 
Back
Top Bottom