Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 6,007
- 15,216
Hii dunia sio mwamwedi ngamia kuishi congo au nguruwe kuishi jangwani.
Maisha ya dunia yana badilika na kubadilika kila siku.
Leo ulijua kuna mobile money wakati enzi za zamani ulikuwa unatuma pesa kwa kutumia basi.
Hata barua posta ziliogopa email na leo njia ambazo kwa sasa dhahabu au thamani ya kitu fulani kitakuwa ndio thamani ya demand na supply.