kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. SAYVILLE

    Sipendezwi na wanachama wa Simba wanaotoa taarifa za klabu kabla ya klabu yenyewe

    Hili nitalielezea kwa ufupi sana ila naomba ujumbe uwafikie wahusika na wawajibike. Kuna haka kamtindo na katabia ka baadhi ya wanachama wa Simba, nimewahesabu wawili mpaka sasa ambao wana mtindo wa kujitokeza na kutoa taarifa za klabu ya Simba kabla ya taarifa rasmi kutolewa na klabu yenyewe...
  2. W

    Ni kama sielewi naombeni ufafanuzi, Kumewahi kuwa nchi au falme inayoitwa Palestina kabla ya 1948 inayoongozwa na waarabu kabla ya 1948 ?

    Maana nimechoka kufanya research siikuti Palestina iliyowahi kuwa nchi au Falme ikiwa chini ya waarabu Nahitaji kuoneshwa Falme iliyoitwa Palestina na mfalme alieiongoza kama ilivyokuwa kwa Israel ya wayahudi chini ya Mfalme Sauli, Daudi, Solomon, Herodi, n.k.
  3. MK254

    Trump alisema asikute huo uchafu hapo, hao mateka waachiwe kabla hajafika ofisini, na tayari HAMAS wamekubali

    Trump alipiga mkwara kwamba akiingia akute mateka wameachiwa la sivyo kutakua jehanamu, naona HAMAS, magaidi wenye mlengo wa kiislamu wamekubali amri, yule jamaa ni chizi, patanyooka sana hapo ukanda huo...... Hamas has accepted draft agreement for Gaza ceasefire and hostage release, officials...
  4. B

    Angalizo la usalama: Hala Hala kabla ya Hatari, "Johh Pambalu aongezewe ulinzi!"

    Wametekwa kina Maria, Kibao, Soka, Kipanya na wengi wengine. Kwa hotuba hii ya John Pambalu: Bila shaka ujumbe utakuwa umewafikia akiwamo mwamba, wazi wazi kuwa: "Pesa kitu gani?" Kwamba, pesa makaratasi! Wanadhibitiwa vipi wasionunulika hawa? Kwani Lissu kushambuliwa suala la kutofika...
  5. NACKO

    Ni jambo gani, sasa unaliamini tofauti kabisa na vile ulivyokuwa ukiliamini kabla hujawa mtu mzima?

    Wakuu natumaini mu wazima wa afya,.... Katika maisha, binadamu tumekuwa watu wa kujifunza mambo mbali mbali kila siku, hali inayopelekea WATU kubadili mitazamo na baadhi ya imani pale inapobidi,... Kwangu mimi , nilipokuwa mtoto, nilikuwa nikiwaona WATU WAZIMA wakiongea PEKE YAO njiani, basi...
  6. snipa

    Uwezekano wa 1 USD kufika 2600+ Tanzania Shilling kabla ya mwisho wa mwezi, Technical analysis.

    Kwanza kabisa tumeshuhudia Tzsh ikigain momentum over the last end of the last year, lakini maswali ya kujiuliza Je ni economic factors zilizofanya Tzsh kufika about 2300/= per 1$ au ni circulation factors Kwa maana ya bank kuinject more $ on circulation, na fact nyinginezo ambazo ni mbali na...
  7. Dalton elijah

    Mambo Ya Kuzingatia Kabla ya Kuanza Ujenzi

    Karibu tuelimishane mambo kadhaa muhimu kabla ya kufanya ujenzi MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUANZA UJENZI NOTE: Kufuata taratibu za kitaalamu katika UJENZI kunaweza kusaidia kupunguza gharama za ujenzi mpaka 15% pamoja na kukuepushia hasara inayoweza kutokea mbeleni, sambamba na kukupatia kitu...
  8. sinza pazuri

    Pre GE2025 Uropokaji wa Tundu Lissu ni kilema hawezi kubadilika. Tumkatae kabla hajaleta maafa

    Wafuasi wa Tundu Lissu wamekuwa wakimtetea huyu 'masia' wao kuwa ni mkweli, kanyooka, penye nyeusi anaita nyeusi, ni msafi. Lakini siku zinavyozidi kwenda inajidhiilisha Tundu Lissu sio mkweli bali ni mropokaji. Lissu anaropoka jambo lolote ambalo anahisi wafuasi wake watapenda kulisikia na...
  9. Tlaatlaah

    Kuna mgombea uongozi wa CHADEMA ngazi ya Taifa anaweza kuenguliwa kabla ya Uchaguzi asipojirekebisha

    Kwakua tayari inasemekana amejiandaa kwa hali hiyo endapo hilo litatokea, na kwamba anayo destination mpya ya uhakika ya kufanikisha malengo yake. Kwa makusudi, mgombea huyo anasema na kutenda kinyume na katiba ya chadema ili tu achukuliwe hatua, halafu kisha afanye mass defections aloipanga na...
  10. B

    Neno "tafuta hela" limeua dhana nzima ya neno" mahusiano" na" upendo"

    Kigezo Cha kuwa kwenye mahusiano kimekuwa kimoja🤔tu utasikia watu mtaani Wakina dada wanasema "tafuta hela"?! Utaweza kummliki huyo demu Lakini watu waliojipata kifedha mfano "vunja bei " wakati fulani alipublish sana swala la Kuhonga Ina maana hakuna aspect nyingine zinazowakutanisha watu...
  11. chakii

    Takwimu zinaonyesha kabla ya Uhuru mwaka 1961 asilimia 80 ya wasomi kwa ngazi ya PhD na Professor walikuwa wachagga

    Kheri ya mwaka mpya WanaJF
  12. Poppy Hatonn

    Kitabu cha Kabendera kinajadiliwa kabla hakijasomwa

    Watu wamesikia tu Kabendera kaandika kitabu wanaanza kukijadili. Nadhani ingekuwa bora kusubiri wakisome kwanza hicho kitabu. Sasa hivi Serikali itakuwa inafikiria ichukue hatua gani kuhusu hicho kitabu. Mpaka hapo,watu wawe na subira. Vinginevyo katika kuzungumza maneno mengi bila kuwa na...
  13. Loading failed

    Satr Anise zipi ni salama? nimesoma mahali kuna zenye sumu. Noamba ushauri kabla sijazitumia

    Wakuu wangu habari za wakati huu.. Naombeni msaada wa haya madude. Hapa chini Nataka niwe na kunywa chai ya star anise na nimeenda sokoni kununua star anise. Cha kushangaza wakati na peruzi peruzi kabla sijanywa nikakutana na hili tishio huku lisemalo star anise za kichina ndiyo salama...
  14. Rorscharch

    Walimu jiongezeni maarifa mitandaoni kabla ya kuingia Darasani maana wanafunzi wenu wanawaona vilaza mkijongea hapo ubaoni na kushika chaki

    Kwa kizazi hiki cha kidigitali, kama mwalimu unaendelea kufikiri kwa mtazamo wa kianalogia, ni wazi kwamba wanafunzi wako watakudharau sana. Fikiria, unawafundisha kuwa kuna sayari tisa, lakini wao wakigoogle wenyewe wanagundua kuwa zipo zaidi ya 1,000. Unategemea watachukulia masomo yako kwa...
  15. eden kimario

    Tanzania hatujawahi kuwa na Marais au Mawaziri ambao kabla ya madaraka waliwahi kuendesha mradi wowote na wakafanikiwa

    Tuwe wakweli tu kama unamjua yeyote ambaye kabla ya kuwa mbunge, waziri au rais aliwahi kuendesha mradi wowote na ukafanikiwa. Inawezekana ndio maana Tanzania yetu inaendelea kuwa chini tu badala ya kwenda juu. Kwa sababu inaendeshwa na watu ambao uwezo wa kuendesha jambo lolote...
  16. M

    ARIDHI NI MTAJI HAKIKA.

    kabla sijafikisha miaka 35 nataka nimiliki plot /viwanja/mashamba kwenye kila mkoa Tanzania Bara, Mungu anitangulie kwenye hili jambo, nimebaini utajiri wa kizazi kijacho upo katika aridhi, usipomiliki aridhi baada ya miaka 20 hali itakuwa mbaya sana, Aridhi inaenda kuwa dili.
  17. M

    Dunia inautulivu fulani kabla mfalme wake mpya kuingia madarakani mnamo Januari 20, 2025

    Binadamu ni kiumbe anaeishi Kwa Sheria na moja wapo ya Sheria zake ni pamoja na kuwa na kiongozi, popote penye mkuasnyiko wa binadamu lazima wapate kiongozi wao Hata kusanyiko dogo zaidi la watu wawili lazima mmoja awe anamwongoza au kumzidi angalau kidogo mwenzie hapo ndo kusanyiko litadumu...
  18. Expensive life

    Wakuu huu mwaka 2025 unapoenda sehemu iwe barber shop, restaurant etc, kabla yakupata huduma ni bora ukauliza kwanza bei yalinikuta

    Niliwahi kuingia barbershop moja humu ndani kuna full kiyoyozi huduma si mchezo masaa mawili kinyozi anakunyoa hana haraka. Nikanyoa si unajua tena wadada wa barber shop kaka uso wako una mafuta sana ngoja tukusafishe uso, nikatoka nimeg’aa ile mbaya, ikaja bill macho yalinitoka 45000. Uzuri...
  19. Father of All

    Wakati unafunga mwaka, elewa, kabla ua ya kumtelekeza au ulimtelekeza mtoto soma hii ujue na kuelewa tafadhali

    Bill Clinton au William Blythe aliyekuwa rais wa Marekani, Jeff Bizos tajiri mkubwa duniani, Steven Jobs mwanzilishi wa Microsoft, na wengine wengi SOMA HAPA walitelekezwa na baba zao wakatokea kuwa maarufu na wenye mafanikio. Je katika mazingira haya, hawa wababa watelekezaji wana haki yoyote...
  20. R

    Nina miaka 24 anataka kunipa mimba kabla ya ndoa ili ajue kama nina kizazi

    Mimi binti wa miaka 24, sijaolewa ila nina mchumba wangu ambaye tuko kwenye mahusiano huu ni mwezi 9, ananipedna na mimi nampenda, shida inakuja hivi, wakati tunaanza mahusiano aliniambia kuwa anataka kunioa. Lakini kabla ya ndoa anataka nibebe mimba ili kupima kama nina kizazi au la kwani kuna...
Back
Top Bottom