PostGE2025 Nikweli Wicknell Chivayo ndiye aliyelie import Kontena la Silaha kabla ya October 29?

PostGE2025 Nikweli Wicknell Chivayo ndiye aliyelie import Kontena la Silaha kabla ya October 29?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Nawaza nawaza na kuwazua!

The state kazini,mtajwa (aliepewa muda aandike katiba mpya akashupaza shingo)imekua too late kwake!wanayakata matawi yake ili iwe too easy to go for it!

Natarajia kuona washirika wake waaminifu huku kwetu nchi kavu watawafuata waliotangulia hivi karibuni,
Tusubiri tuone!
 
Kama ni kweli je, huenda kifo chake kinahusiana na waliompa tenda ili kufuta ushahidi wa moja kwamoja?

Vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi ya Tanzania vina mengi ya kujitafakari.

Kosa lilianzia pale walipo ruhusu bandari yetu ichukuliwe mbele ya macho yao kizembe kabisa.
Hebu acheni hizi mambo, tuko kwenye msiba, acheni tumalize msiba, mtu apumzishwe kisha ndipo kufuatilia sijui contena la nini!.
Kupitia kurasa zake mtandaoni, Rais Samia meandika;
Kwa niaba ya Serikali na wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, natoa salamu zetu za dhati za rambirambi kwa familia za wale wote waliopoteza wapendwa wao pamoja na wananchi
Nimefarijika sana kwa maneno haya, ya rais wetu kuwafariji wafiwa kufuatia kifo cha bonge, ila ningefarijika zaidi, kama Rais wetu, pia angetoa statment yenye maneno ya faraja kama haya, kwenye lile tukio letu lile!.

Mimi nilimuanzishia nyuzi mbili humu
1. Shuhudieni Mambo Makubwa Mazuri ya Bonge wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo! Je, Hapa Kwetu Alifanya Nini?
2. Kumbe Bonge wa Zimbabwe ni Mtu wa Pisi Kali. Licha ya Kuonekana Tipwa Tipwa, ni Mtu wa Kazi na Anapiga Kazi Kweli Kweli kwenye mambo yetu yale

Japo huyu Bonge, hakuwa Mtanzania, lakini alikuwa rafiki kipenzi na mtu wetu, rafiki na mtu wetu ni rafiki yetu, mtu wetu akifiwa na rafiki yake ni sisi tumefiwa na rafiki yetu!.

Nichukue fursa hii kutoa pole kwa mtu wetu,
Watanzania Tunamlilia!

Rip Bonge za Zimba

Mzee Pasco.
 
Hebu acheni hizi mambo, tuko kwenye msiba, acheni tumalize msiba, mtu apumzishwe kisha ndipo kufuatilia sijui contena la nini!.

Nimefarijika sana kwa maneno haya, ya rais wetu kuwafariji wafiwa kufuatia kifo cha bonge, ila ningefarijika zaidi, kama Rais wetu, pia angetoa statment yenye maneno ya faraja kama haya, kwenye lile tukio letu lile!.

Mimi nilimuanzishia nyuzi mbili humu
1. Shuhudieni Mambo Makubwa Mazuri ya Bonge wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo! Je, Hapa Kwetu Alifanya Nini?
2. Kumbe Bonge wa Zimbabwe ni Mtu wa Pisi Kali. Licha ya Kuonekana Tipwa Tipwa, ni Mtu wa Kazi na Anapiga Kazi Kweli Kweli kwenye mambo yetu yale

Japo huyu Bonge, hakuwa Mtanzania, lakini alikuwa rafiki kipenzi na mtu wetu, rafiki na mtu wetu ni rafiki yetu, mtu wetu akifiwa na rafiki yake ni sisi tumefiwa na rafiki yetu!.

Nichukue fursa hii kutoa pole kwa mtu wetu,
Watanzania Tunamlilia!

Rip Bonge za Zimba

Mzee Pasco.
Wewe kummk subiri zamu yako,adhabu ya kumteka polepole iko palepale.
 
Sio Bashite Wala Abduli au Mu 7 tena?

Chadomo mnatangatanga sana
Usisingizie Chadema, kuna watanzania wazalendo kuliko wewe, tena wana CCM.
Umejibu swali langu hapo Juu?
Hao ulio wataja unawajua wewe, lakini imani na wajibu wa mwana CCM, (kama unaikumbuka) inasema, Nchi hii italindwa na kila mwananchi, kila mzalendo na hasa kila mwana CCM
 
Back
Top Bottom