Ushauri wanaopewa vibali vya kumiliki silaha wapimwe akili kila mwaka pls..else tutazika wengi kwa hali hii..pls n pls

Ushauri wanaopewa vibali vya kumiliki silaha wapimwe akili kila mwaka pls..else tutazika wengi kwa hali hii..pls n pls

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
KUTOKANA NA MAMBO YANAYOENDELEA KILA SIKU

MARA MUME.KAMUUA.MKE NA SILAHA

MARA MKE KAMUUA MWENZIE NA SILAHA

TUNASHAURI HAWA WATU MNAOWAPA SILAHA WAMILIKI WAPEWE MITIHANI YA KUANGALIAA AKILI ZAO KILA MWAKA TAFADHALI

MKUMBUKE MNAVYOWAPA WENGINE WANAKUWA NA FURAHA KWENYE NDOA ZAO

LAKIJI WANAPOPATA HUJUI HUKO KATI STRESS ZINAZOPATIKANA KTK MAHUSIANO YAO

NA MENGINE KUTOKEA HAYA YANAYOTOKEA

PIA NASHAURI HAWA WENYE NDOA....

MUWAPE SEMINA MAALUM KABLA YA KUWAPA SILAHA NA WANAPOKUJA KU RENEW VIBALI WAPEWE SEMINA PIA NA MADHARA YA SILAHA KWENYE NDOA NA JE IKITOKEA MMENYIMANA PULLANI NN KIFANYIKE??

MMEUZIANA NN KIFANYIKE WASAIDIEN WAPENDWA ELSE TUTAAJAZA WATU WASIO NA HATIA PALE UNINUNIO NK

MUNGU NISAIDIE HATA KISU NISIKISHIKE

NINAPOCHUKIA NIENDELEE KUKIMBILIA JULIANA CLUB ..KITAMBAA CHEKUNDU
BUTTERFLY NK

🙏 🙏 🙏
 
nafkiri kiwango cha hasira ndo ingekaa vyema hasa pindi apatapo maudhi,akiudhiwa au kukwazwa na jambo lolote kwenye harakati za maisha kabla ya kupewa ambapo jambo hilo ni gumu sana sana. mana lenye kumuudhi huyu kwa yule ni la kawaida sana.
 
Ukileta uzenge unapigwa shaba tu hakuna namna......

Matukio mengine ni too emotional...uncontrolled........ sio kwamba Mtu hamnazo
 
Silaha si kwaajili ya wanyama bali binadamu. Kaa kimkakati usimuudhi wala usitengeneze mazingira ya kuudhiwa na mtu, know your place, control your anger. Otherwise mtakwisha.
 
Wapimwe kila mwaka Kwa gharama za nani?

Haya matukio ya mme/mke kuua yameanza miaka mingi na hayataisha. Njia nzuri ni Elimu ya kucontrol emotion na kumove on itolewe kwa msisitizo

Mali na "Usaliti"

Huku jukwaani kuna mdau baada ya mke wake kuuza mechi kwa ghdhabu akaenda kumgong mama mkwe + mimba juu, alafu akamilizia na mdogo wake mke wake + mimba juu then akakata misaada yote,

it's crazy vile baadhi ya watu wanachukulia Usaliti too personal
 
Kama umetumia tukio la ndugu Kweka kummiminia risasi mkewe basi jua hata panga kisu fimbo rungu na silaha nyingine nyepesi zingeweza kutumia kwa kifupi kila kitu ni silaha
 
Back
Top Bottom