Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Biblia na hata Qoran vinasema mamlaka yote chini ya ardhi yanatoka kwa Mungu.
Binadamu tuyatumie vema.
Msingi wa yote ni ukweli.
Ukweli ni upanga ukatao pande zote mbili.
Ukweli haufichi maovu.
Mtu anaweza fanya maovu akifikiri ukweli haumwoni.
Sasa mtu huyo akiambiwa aje hadharahi ajitakase kwa kusema ukweli, anakimbia.
Viongozi wetu vyombo vya ulinzi na usalama wamejionyesha hadharani kuwa wanataka maovu yao yasijulikane hasharani.
Ukweli unawadai, na wajue kuwa ukweli huo ni Mungu mwenyewe.
Wanadaiwa ukweli na Mungu.