Kwenye swala la ndoa nakuelekezea silaha waziri Dk Gwajima.

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
8,105
Reaction score
20,307
Wewe waziri Dk Gwajima kinachofanya mpaka leo ndoa za kimila hazina cheti halali ni nini?
Kwa sasa ili ndoa ipate cheti ni lazima iwe ya kanisani, msikitini au kiserikali tu ,swala hili linasikitisha sana.
Kuongezeka kwa single mothers, watoto wa mtaani sababu ni wewe waziri Gwajima na wizara yako kulifanya swala la ndoa kuwa gumu sana na lenye gharama.

Swala la ndoa lilitakiwa liwe simple yani wakwe wakielewana na kupeana mahali kulingana na mila na desturi zao basi vijana wao wapewe cheti halali ila pia wakitaka kuongeza cheti cha kanisani au msikitini ni sawa,
Lakini hili swala la kusema kama huna cheti cha kanisani au msikitini hupati huduma hata ya Bima ya afya siyo Sawa na tutaendelea kushuhudia ongezeko la single mothers.
Jaribu kuoa kimila alafu utake kumlipia Bima ya afya mke wako uone kitakachokupata. Utaambiwa mpaka ukaape kwa mkuu wa wilaya

First Prev2 of 2

Write your reply...
Post reply
Attach files Insert quotes…

Similar Discussions​

Share:
FacebookXBlueskyLinkedInRedditWhatsAppEmailLink

TopBottom
 
Swala la ndoa vijana wapewe cheti halali ila pia wakitaka kuongeza cheti cha kanisani au msikitini ni sawa,
Kwa kukusaidia tuu, kwa Tanzania, cheti cha ndoa ni kimoja tuu, kile cha kiserikali!, hakuna cheti cha kanisani wala cha msikitini, kule ni aina tuu ya ndoa ama ya Kikiristu, Kiislamu, kiserikali au ya kimila, Wenyeviti wote wa vijiji ni wasajili wa ndoa za kimila na zina cheti halali kile kile cha kiserikali.

P
 
Nchi Hii Viongozi Wakisimama Mbele Kwenye Kilili Utasema Hawa Watu Wanayaishi Maisha Ya Viapo Vyao Na Niwasafi
Kuongea Na Matendo Yao
Msiba Wa Masaburi Jiwe Alisema
Ninyi Watoto Hapa Msibani Ni Wachache Wapo Ndugu Zenu Wengi Msigombee Mali Bali Ishini Kwa Upendo
 
Kwa kukusaidia tuu, kwa Tanzania, cheti cha ndoa ni kimoja tuu, kile cha kiserikali!, hakuna cheti cha kanisani wala cha msikitini, kule ni aina tuu ya ndoa ama ya Kikiristu, Kiislamu, kiserikali au ya kimila, Wenyeviti wote wa vijiji ni wasajili wa ndoa za kimila na zina cheti halali kile kile cha kiserikali.

P
Alipoanza kusema cheti Cha kanisani,msikitini nikajua tu hajui hata anachoongelea
 
Wewe waziri Dk Gwajima kinachofanya mpaka leo ndoa za kimila hazina cheti halali ni nini?
Kwa sasa ili ndoa ipate cheti ni lazima iwe ya mahakamani, kanisani, msikitini tu ,swala hili linasikitisha sana.
Kuongezeka kwa single mothers, watoto wa mtaani sababu ni wewe waziri Gwajima na wizara yako kulifanya swala la ndoa kuwa gumu sana na lenye gharama.

Swala la ndoa lilitakiwa liwe simple yani wakwe wakielewana na kupeana mahali kulingana na mila na desturi zao basi vijana wao wapewe cheti halali ila pia wakitaka kuongeza cheti cha kanisani au msikitini ni sawa,
Lakini hili swala la kusema kama huna cheti cha kanisani au msikitini hupati huduma hata ya Bima ya afya siyo Sawa na tutaendelea kushuhudia ongezeko la single mothers.
Usijali swala lako litapata ufumbuzi MiGa. Na kwa kuwa bwawa la Nyerere na sgr na stendi za Magufuli everything will be alright.
 
Kwa kukusaidia tuu, kwa Tanzania, cheti cha ndoa ni kimoja tuu, kile cha kiserikali!, hakuna cheti cha kanisani wala cha msikitini, kule ni aina tuu ya ndoa ama ya Kikiristu, Kiislamu, kiserikali au ya kimila, Wenyeviti wote wa vijiji ni wasajili wa ndoa za kimila na zina cheti halali kile kile cha kiserikali.

P
Yes cheti kinatolewa na RITA. Iwe ndoa ya kikristo, kiislam, civil, na kimila.
Hivyo siyo kweli ndoa za kimila hazina cheti. Ni suala la kufuata tu utaratibu.
 
Kwa kukusaidia tuu, kwa Tanzania, cheti cha ndoa ni kimoja tuu, kile cha kiserikali!, hakuna cheti cha kanisani wala cha msikitini, kule ni aina tuu ya ndoa ama ya Kikiristu, Kiislamu, kiserikali au ya kimila, Wenyeviti wote wa vijiji ni wasajili wa ndoa za kimila na zina cheti halali kile kile cha kiserikali.

P
Watu wanaoana kijijini huwa wanapewa cheti cha ndoa?
 
Back
Top Bottom