Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
ok ticha,Siyo Tension ni Attention.
ualimu ni wito gentleman š
ok ticha,Siyo Tension ni Attention.
Ebu tupe tangazo la hali ya hatari aliyotoa IGP au CDF mkuu ili twendelee kukusanya ushahidi wa kuwatesa hawa miccmSwali la pili.
Nani alikupa ruhusa ya kutangaza hali ya hatari.
Nchini Tanzania, mtu mwenye mamlaka ya kutangaza hali ya hatari ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mamlaka haya yamefafanuliwa kisheria chini ya Ibara ya 32 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.
Mambo ni mengi.
Kwa hiyo mna miadi aje kuwa shahidi wako? mtu aache kazi zake kisa upuuzi ..SI mlikimbia huko canada na belgium mbona mmerudi hata familia zenu ziko huko .Na nani, waliokimbia nchi.
Adhabu ya kufanya au kuhamasisha maandamano yanayolenga kupindua serikali au Rais nchini Tanzania ni adhabu ya kifo, kwa kuwa kitendo hicho huhesabiwa kuwa ni kosa la uhaini (treason). [1, 2]Na nani, waliokimbia nchi.
Hizo sheria mbona zipo tu tangu uhuru, jambo la msingi katoe ushahidi apatikane na hatia ndipo itumike vingenevyo itaendelea kuwepo hadi wajukuu wako waikute.Adhabu ya kufanya au kuhamasisha maandamano yanayolenga kupindua serikali au Rais nchini Tanzania ni adhabu ya kifo, kwa kuwa kitendo hicho huhesabiwa kuwa ni kosa la uhaini (treason). [1, 2]
Maelezo ya Sheria
- Sheria Husika: Kosa hili linatawaliwa na Kanuni ya Adhabu (Penal Code, Sura ya 16) pamoja na Sheria ya Uhaini Na. 2 ya mwaka 197
Wamewaonea huruma sana , mlitakiwa kupigwa zile za pump gun ili mkome
Haya Maswali unamuulizia wapi? Maana Kesi ya Lissu ni ya Uhaini haisiani na Polisi
Zimetumika sasa , rudi kusoma ..Mlistahili kabisa , bado TEC .Hizo sheria mbona zipo tu tangu uhuru, jambo la msingi katoe ushahidi apatikane na hatia ndipo itumike vingenevyo itaendelea kuwepo hadi wajukuu wako waikute.
Fala mwenzie umekuja front.Km we siyo boya zaidi yake jaribu kuwadhuru,
Haswa.Mambo ni mengi.
Inaonyesha bado upo hapo Amboni kwenye mapango. Itakuwaje wewe ulisahaulika na kubaki hapo wakati hayo mapango yaliposafishwa?Zimetumika sasa , rudi kusoma ..Mlistahili kabisa , bado TEC .
Haujui kusoma ,unatetea ufala.Inaonyesha bado upo hapo Amboni kwenye mapango. Itakuwaje wewe ulisahaulika na kubaki hapo wakati hayo mapango yaliposafishwa?
Upo hapo Tanga, na mapango yapo hapo hapo, na akili zako zote zinaonyesha kuwa ni mtu wa huko mapangoni. Sasa unataka uambiwe nini zaidi ya kukumbusha tu ya yale yaliyopita.Haujui kusoma ,unatetea ufala.
Adhabu yenu ni kifo kisheria ,hajalishi unatokea wapi..Piga kelele ila ukweli ,mlistahilj kifo.Upo hapo Tanga, na mapango yapo hapo hapo, na akili zako zote zinaonyesha kuwa ni mtu wa huko mapangoni. Sasa unataka uambiwe nini zaidi ya kukumbusha tu ya yale yaliyopita.
Usifikiri kujiingiza ndani ya CCM na kukitumia chama hicho kutimiza malengo yale yale mliyokuwa nayo tokea mwanzo kutawaponya.
Unawapangia wengine kifo kwani wewe utaishi milele au bibi yako bado binti.Adhabu yenu ni kifo kisheria ,hajalishi unatokea wapi..Piga kelele ila ukweli ,mlistahilj kifo.
Mnatakiwa kuuliwa ,watu walifuatilia njma zenu mapema san , mkaanza kweli kuchom vituo vy polisi na kuwaua.Unawapangia wengine kifo kwani wewe utaishi milele au bibi yako bado binti.
Hitler alikuwa na mawazo ya kijinga kama yako alizani dunia ataimaliza, Tanzania ina watu million 80 Samia atawauwa wangapi ili kutimiza haja yake, na je, akiwamaliza ndipo anategemea kuishi kwa raha? Mawazo ya kijinga.Mnatakiwa kuuliwa ,watu walifuatilia njma zenu mapema san , mkaanza kweli kuchom vituo vy polisi na kuwaua.
Hauna elimu ,adhabu yake ni kifo.