Wazolee
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 4,177
- 4,887
Kwani kulikuwa hakuna hali ya hatariSwali la pili.
Nani alikupa ruhusa ya kutangaza hali ya hatari.
Mambo ni mengi.
Ndio maana vituo vya mwendokasi mlivyochoma moto havijakarabatiwa Ili vitumike kama ushahidi