Takwimu za kupika hiziYou are not even a developing country.
Wakati wa Nyerere Tanzania literacy rates zilikaribia kufika 100%, hususan wakati wa Elimu ya Watu Wazima, hata wale wazee wa zamani walifundishwa kusoma na kuandika wakajua.
Sasa hivi Tanzania kuna mikoa literacy rates zipo chini ya 75%. Maana yake, kuna mikoa Tanzania, kati ya watu wanne, mmoja hajui kusoma na kuandika.
How is that developing?
Takwimu za kupika kuonesha hali ni nzuri ndiyo zinaonesha hivyo, maana yake takwimu halisi ni mbaya zaidi ya hivyo.Takwimu za kupika hizi
Sikatai kuwa hatuna changamoto kama taifa, ila tumepiga hatua nzuri sana ukilinganisha na 20 years ago (2006). Mbona Marekani pia wajinga wapo na wanabaka mpaka watoto wadogo.Takwimubz akupika kuonesha hali ni nzuri ndiyo zinaonesha hivho, maana yake takwimu halisi ni mbaya zaidi ua hivyo.
Huhitaji takwimu kujua Tanzania kuna wajinga wengi. Huhitaji takwimu kujua wajinga wengi wa Tanzania wanazaana sana, na hivyo wanaongeza wajinga kwa kasi kubwa sana.
Hata hao wajanja wao wanaokuja hapa JF ukiwasoma unaona wazi tu ujinga umezidi mambo ya maana.
Wewe unatetea nchi yako kizalendo zaidi, kwa hiyo hata ukiona ukweli, utaupinga tu, kwa sababu huna nia ya kutafuta ukweli, una nia ya kutetea nchi yako kizalendo.
Hakuna mtu mwenye uungwana ambae bado yuko ndani ya police wa Tanganyika. Kwa mtazamo wangu hakunaa hata mmoja.Wapo askari waumgwana na wenye roho njema sana, ila ni wachache. Tusifanye generalization, tutakuwa tunawakosea wengine wenye karama za uungwana na ukarimu.
Walikufanya nini kaka?
Kupiga hatua kila nchi inapiga hagua.Sikatai kuwa hatuna changamoto kama taifa, ila tumepiga hatua nzuri sana ukilinganisha na 20 years ago (2006). Mbona Marekani pia wajinga wapo na wanabaka mpaka watoto wadogo.
Tumepiga sana hatua ingawa watu wapuuzi bado wapo katika ofisi za umma na hata za watu binafsi.
Polisi wanapendwa na ccm.polisi siwapendiiii
Yeah, Tanzania maisha ya mtu hayana thamani especially kwa hii awamu ya SamiaThamani ya maisha ha mtu Tanzania iko chini sana.
Ndiyo maana balozi za nchi za nje zinatoa pole kwa Watanzania October 29, lakini serikali ya Tanzania imekaa kimya.
Tushazoea kuuana mtu akifa tunaona "It's just another person dead".
Hakuna utu tena.
Marekani si nchi nzuri ya mfano kuiangalia kwenye maendeleo ya watu.Yeah, Tanzania maisha ya mtu hayana thamani especially kwa hii awamu ya Samia
Ila hapo kwa kuzoea kuuana, mbona na huko Marekani tunasikia watu wanauana sana. Kama mwaka huu tu kufikia robo ya tatu ya mwaka kuna vifo 9700 vya risasi Marekani na zaidi ya majeruhi 18000. Jana tu kuna mwanafunzi wa Ghana amepigwa risasi na vijana wenzake The Bronx, New York
Seems hata kwenye some developed countries watu wamezoea kuuana
My assumptionsMarekani si nchi nzuri ya mfano kuiangalia kwenye maendeleo ya watu.
Kwa nini umeitaja Marekani?
Hapana.My assumptions
Kwa sababu ndio nchi unayosemaga upo, so I assumed you were talking about Tanzania in contrast to where you are.