Uzi maalumu Uliza swali lolote kuhusu mafundisho ya Wasabato utajibiwa kwa usahihi kabisa

1. Kwanini Wasabato Jumapili Hadi Ijumaa wanasuka lakini jumamosi wanafumua nywele ili waendesha kanisani?
2. Kwanini vijana wanaishi na walezi wasio hawana heshima na utii kwao. Yuko radhi kumsikiliza msabato Baki ambaye si ndugu yake.
 
Kwa mujibu wa maandiko haipasi mwanamke kusukari nywele kama njia ya kujipamba. Kuhusu hao wadada wanaosuka siku nyinginezo kasoro jumamosi wanafanya makosa kwa mujibu wa itikadi za kisabato
 
Asante mkuu... ni sahihi kupika siku ya SABATO?
 
Nini tofauti kati ya sda na masalio.
ngoja ni sabusikilaibu kabisa.
SDA kwa maana ya seventh day adventist church iko chini ya uongozi wa General Conference na makao makuu ni Maryland Marekani

Wasabato masalia ni kikundi cha Wasabato waliojitenga na sda kwa sababu ya tofauti za kitikadi
 
Kuna unabii nimeusoma kwenye blog moja hivi unazungumzia kanisa asi la sda ni lipi kati ya hayo mtumishi
 
Wadau hamjamboni nyote?

Kwa wenye hoja yeyote kuhusu itikadi za kisabato au swali au ufafanuzi karibuni sana
1. Bibi Ellen G White ni nani kwenye Kanisa lenu la Wasabato?

2. Kwa nini mnalichukia Kanisa Katoliki kuliko madhehebu mengine?

3. Kwa nini mnamchukia mdudu wetu pendwa Kitimoto?

4. Kwa nini mna masharti kama waganga wa kienyeji? Chai ya rangi marufuku, kuongezewa damu marufuku, kambale marufuku, kusuka nywele marufuku, kuolewa na mkatoliki marufuku, nk.
 
Kwanini wasabato sio wachoyo kama wana sherehe kanisani ata mpita njia tu wanamkaribisha
Asante mkuu.. Kanisa la WASABATO linasisitiza sana ushikaji wa amri kumi za MUNGU.

Ambazo kwa ufupi ni kumpenda MUNGU na mwanadamu, na ndio maana hata wakati wa makambi ukilala njaa umejitakia mwenyewe .
Asante!!!
 
1. Bibi Ellen G White ni nani kwenye Kanisa lenu la Wasabato?

2. Kwa nini mnalichukia Kanisa Katoliki kuliko madhehebu mengine?

3. Kwa nini mnamchukia mdudu wetu pendwa Kitimoto?

4. Kwa nini mna masharti kama waganga wa kienyeji? Chai ya rangi marufuku, kuongezewa damu marufuku, kambale marufuku, kusuka nywele marufuku, kuolewa na mkatoliki marufuku, nk.
Namba 2 sio kweli...
Ufunuo 18:4 MUNGU anatoa wito kwa watu wake kutoka BABELI na kumrudia MUNGU
 
Kwanini Mnatuita sisi WAKATOLIKI makafiri? na kwa nini mnawakataza mabinti wenu tusiwaoe?
 
Back
Top Bottom