Wadau hamjamboni nyote?
Uzi huu una lengo la kuweka kumbukumbu za kihistoria sahihi na kuepusha upotoshaji.
Kinachotakiwa ni ushahidi wa kutosha kuwa Wasabato wamewahi kuteswa au kuuawa au makanisa yao kuchomwa moto au kuzuiwa kufanya ibada zao.
Tafadhali muwasilishe na maeneo husika, idadi...
Asili na Kuanzishwa: Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) lilianzia mkoani Mbeya (Igale, Mbalizi) mnamo mwaka 1939, likitokana na uamsho wa Kipentekoste uliotokea Azuza nchini Marekani. [
Uongozi wa Kiasilia: Mwaka 1967, umissioni wa wageni ulikabidhi madaraka kwa viongozi wazawa, na...
Roman Catholic imeanzia kale sana, tofauti na hawa wanaojibagaiza kutoka kanisa la kwanza huku wakiwa hawana ushahidi wowote! zaidi ya kuwa na Biblia kubwa kama kitanda. Anyway tuachane na hayo
hapo juzi Tulifanya sherehe kubwa ya mtakatifu Agatha wa sicily. Huyu Bi dada alikuwa mtu na nusu...
Moja ya ishara iliyotajwa kuambatana na waaminio ni kusema kwa lugha mpya katikaMarko 16:17
Paulo akielezea hili, alisema katika 1 kor 14:2 "maana yeye anenaye kwa lugha hasemi na watu,bali husema na Mungu;maana hakuna asikiaye lakini anena mambo ya siri katika roho yake.
Nimekuwa nafuatilia...
Weekend Kareem. Niko hapa St. Peter's, Oyster Bay, kwenye Bar ya kanisa.
Niko na wadau wangu wa miaka mingi, imani zao ni za msimamo mkali dhidi ya ulaji wa Nguruwe, a.k.a Kitimoto.
Wananichana makavu. Ili uishinde roho ya ulaji wa Kitimoto, ni lazima uishinde pombe, kinyuma na hapo, hata...
Naomba niwakutanishe hawa ndugu walipoteana tangu wadogo:
Mashahidi (JW)
Wasabato (SDA)
Wamormoni (LDS)
1) Makao Makuu
2) Viongozi wa juu
3) Ubatizo
4) Vitabu
5) Wamishonari
6) Makutano makubwa
7) Vijana wa Bwana ni Jeshi kubwa 😁
8) Random
(Nb: Mimi sio muumini wa kanisa...
Kutoka 20:8-11
Ina waamru wasabato wote kutokufanya kazi yoyote Ile yeye wala mke wake,watoto wala wafanyakazi wake zamani wakiitwa watumwa. Ikaenda mbali ikasema hata punda wa msabato imeandikwa asifanye kazi yoyote kwa mujibu wa amri hiyo.
Ajabu ni kwamba wasabato wanatuhubiria sana kuwa...
Wanazuoni na wenye elimu karibuni tujadili. Kwa mujibu wa Wasabato Vatican ndiyo Mnyama mkubwa wa Ufunuo 13 ambaye ataungana na Mnyama mwingine wa 2 Marekani kuwatesa watu wa Mungu ambao ni Wasabato na kuwalazimisha kuabudu Jumapili badala ya siku ya Sabato ambayo ni Saturday. Sasa naona...
Imekuwa kawaida sana kusikia migogoro, ubadhilifu wa fedha na matumizi mabaya ya madaraka ndani ya taasisi za kidini. Lakini ukweli ambao wengi wanaogopa kuusema hadharani ni kwamba baadhi ya taasisi hizi zimegeuka kuwa vijiwe vya kunufaisha wachache chini ya mwavuli wa imani.
Kwa upande wa...
Uhakika ni kwamba kande lipo tiyari kwa ajiri ya maandalizi ya sabato hapo kesho.
Mkiwa katika shamrashamra za kuipokea Sabato Takatifu naombeni mtuweke wazi leo hii.
Kwa miaka kazaa katika kujifunza kwangu maswali ya imani (Dini)
Nimekutana na madhehebu mengi mnayofanana kama Mashahidi wa...
Tunahitaji kuona makundi ya kijamii yenye mitazamo tofauti yakionyesha mshikamano na undugu pia. Tunahitaji mechi zifuatazo;
1. Wasabato vs Wakatoliki
2. CCM vs CHADEMA
3. Maustaadh vs Wamiliki wa mabucha ya kitimoto
4. Wives vs Sidechicks
5. Sukuma Gang vs Msoga gang
6. Walokole vs Wanywa...
Wadau naomba ushauri wenu kuhusu hoja husika. Msimamo wa wasabato kanisa katoliki ni alama ya ant Christ kwa mujibu wa the book of revelation.
Sasa inakuwaje kalenda yao wakatoliki na Warumi iwe sahihi na waitumie kujua kuwa Sabato ni siku fulani?
Kazi ya wasabato ni kushika tu sabato au kuongoza watu kufanya haki kwa muujibu wa unabii ?
watu wamekufa na kuibiwa haki zao wasabato mbona hamuongelei hili suala?
Mimi naweka unabii hapa wa siku za mwisho, kama wasabato ni watu wa mungu na hawaongozi watu kufanya haki hawastahili kuingia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.