Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
Niombee tutoa nafasi kwa ndugu zetu Wasabato duniani kote watupatie elimu
Lugha zisizo na staha mwiko
Lugha zisizo na staha mwiko
Japan Wasabato wapoHivi china na Japan kuna wasabato?
Na Iran je...vipi na Pale Vatican city?
Huyu alitoa tafsiri za Biblia kwa kilatini na kiyunani, aliweka vitabu vyake ambavyo havikua na uvuvio vya roho mtakatifu, lkn pia ndo aliandika barua ya kusema waromani waidhinishe siku ya J2 kutoka Jumamos na akasema Sabato ilikua ya kale.Niombee tutoa nafasi kwa ndugu zetu Wasabato duniani kote watupatie elimu
Lugha zisizo na staha mwiko
Makao makuu ya wabato ni wapi? Yalipo hamna waislam?Japan Wasabato wapo
Irani walikuwepo baada ya Mapinduzi ya Kiiislam, Wairan walivunja makanisa yote ya Kikrsisto ikiwemo na wasabato, usabato ulikuwepo zamani Iran wakati huo iran ikiitwa Uajemi.Wasabato waliingia Iran 1911.
Vatican ni Makao Makuu ya Roma, sijui km ulishawai kumuona Mwanachadema pale Lumumba.
Oya kavulata unaitwa hukuJapan Wasabato wapo
Irani walikuwepo baada ya Mapinduzi ya Kiiislam, Wairan walivunja makanisa yote ya Kikrsisto ikiwemo na wasabato, usabato ulikuwepo zamani Iran wakati huo iran ikiitwa Uajemi.Wasabato waliingia Iran 1911.
Vatican ni Makao Makuu ya Roma, sijui km ulishawai kumuona Mwanachadema pale Lumumba.
Oyawee kavulata uje huku unaitwa njoo utoe maelezoHuyu alitoa tafsiri za Biblia kwa kilatini na kiyunani, aliweka vitabu vyake ambavyo havikua na uvuvio vya roho mtakatifu, lkn pia ndo aliandika barua ya kusema waromani waidhinishe siku ya J2 kutoka Jumamos na akasema Sabato ilikua ya kale.
Alisikika Msabato Mmoja....Japan Wasabato wapo