Pombe ndio chanzo kikuu cha Waislam na Wasabato kula kitimoto

Pombe ndio chanzo kikuu cha Waislam na Wasabato kula kitimoto

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,914
Reaction score
168,320
Weekend Kareem. Niko hapa St. Peter's, Oyster Bay, kwenye Bar ya kanisa.

Niko na wadau wangu wa miaka mingi, imani zao ni za msimamo mkali dhidi ya ulaji wa Nguruwe, a.k.a Kitimoto.

Wananichana makavu. Ili uishinde roho ya ulaji wa Kitimoto, ni lazima uishinde pombe, kinyuma na hapo, hata ukiwa umebobea kiasi gani kwenye mafundisho yako makali ya dini lazima tu mnyama a.k.a mdudu atakuangusha tu.
 
hairuhusiwi mimi nimekula nikiwa kwenye harakati za mtu mweusi ila sijawahi kupata utamu wa hayo makitu kama watu wanavyo msifia
Unajua kwa nini hujapata utamu wa kitimoto?

Kwa sababu ya hayo maneno uliyolishwa huko nyuma, kwamba kitimoto yuko hivi, kitimoto yuko vile.

Sasa tuliza kichwa, sahau shida zako, futa mawazo ya zamani juu ya mnyama huyu pendwa, kisha anza kumtafuna.

Utanishukuru!!
 
Kwenye kanisa la Magomeni kuna siku Mchungaji kauliza, nani nyumbani kwao wanakula nyama ya nguruwe? Madogo kibao wakanyoosha mikono juu., Mchungaji akaanza kuwashambulia wazazi.
Madhehebu ambayo waumini hufuatiliana maisha binafsi na kupeleka kanisani hufanya waongeze usiri tu na siyo kuacha.

Kulewa kwa siri ni kipengele,ndiyo sababu kukuta msabato mlevi ni ngumu.
 
Back
Top Bottom