Pombe ndio chanzo kikuu cha Waislam na Wasabato kula kitimoto

Pombe ndio chanzo kikuu cha Waislam na Wasabato kula kitimoto

Kwanza yule Mzee simuamini, sidhani kama anaijua bibilia vizuri, maana nikimuuliza maswali deep yahusuyo bibilia ananza kunipotezea kisha anahama kwenye siasa na kuanza kunieleza siasa za akina Mfaume Kawawa na Bibi Titi.

Anajua fika. Na amefanikiwa kukufanya umuone hajui.
Hataki baadaye umuulize kama anaujua ukweli why haufuati
 
Anajua fika. Na amefanikiwa kukufanya umuone hajui.
Hataki baadaye umuulize kama anaujua ukweli why haufuati
Nakubaliana nawe kwa kiasi fulani, kwa sababu kipindi fulani alikuwa anaanza tu kuusoma ule mstari wa kwenye bibilia, "masikini mpe pombe asahau shida zake..." (Sijui unapatikana kwenye kitabu gani).

Halafu huyooooo! Kwenye kilabu cha pombe. Dah! Kumbe ni defensive mechanism tu!
 
Weekend Kareem. Niko hapa St. Peter's, Oyster Bay, kwenye Bar ya kanisa.

Niko na wadau wangu wa miaka mingi, imani zao ni za msimamo mkali dhidi ya ulaji wa Nguruwe, a.k.a Kitimoto.

Wananichana makavu. Ili uishinde roho ya ulaji wa Kitimoto, ni lazima uishinde pombe, kinyuma na hapo, hata ukiwa umebobea kiasi gani kwenye mafundisho yako makali ya dini lazima tu mnyama a.k.a mdudu atakuangusha tu.
Bar ya kanisa ??
 
Madhehebu ambayo waumini hufuatiliana maisha binafsi na kupeleka kanisani hufanya waongeze usiri tu na siyo kuacha.

Kulewa kwa siri ni kipengele,ndiyo sababu kukuta msabato mlevi ni ngumu.
Babu yangu alikuwa anakunywa sana, ananywea ndani tu yeye, anakula mabata, kamongo, gogogo, nembe, mbofu, na makambale kama hana akili nzuri
 
Nakubaliana nawe kwa kiasi fulani, kwa sababu kipindi fulani alikuwa anaanza tu kuusoma ule mstari wa kwenye bibilia, "masikini mpe pombe asahau shida zake..." (Sijui unapatikana kwenye kitabu gani).

Halafu huyooooo! Kwenye kilabu cha pombe. Dah! Kumbe ni defensive mechanism tu!

😀😀😀
Kunywa pombe sio dhambi lakini.
U
Inategemea unakunywaje.
Na wewe ni nani
 
Back
Top Bottom