min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Nguruwe ana utamu wake ukimla anakuloga hauwezi achaKwa namna anavyoonekana hapo hata bure siwezi kumla! š
Nguruwe ana utamu wake ukimla anakuloga hauwezi achaKwa namna anavyoonekana hapo hata bure siwezi kumla! š
Hahaahaaaa.....kamongo hapana aseeee, kwanza anatisha sana hata kwa muonekano wake. Nilibahatika kuwaona Igunga wakiwa wametoka kuvuliwa walikuwa wengi sana zaidi ya thelathini , size tofauti tofauti wakubwa kwa wadogo. Jamaa walikuwa na marungu wanawapiga kwenye vichwa ili kuwaua halafu wanawatengeneza kisha wanawakatakata vipande wanauza.ile shombo ndo yenyewe sasa tena ukimkuta yule alokomaa ni hatari sana kinacho niudhi ni ile kunata nata
aseee nimecheka mnooo eti unamuotaš¤£š¤£š¤£š¤£,, umeanza kumtumia ukubwani eeeh? maana kama ingekua ni utotoni hata usingeona maajabu
Hahahaaaa.......š¤£š¤£ Unaota vipi unafukua fukua mkuu š¤£
Ila swala la mwili kuvimba au kuwasha baada ya kula vyakula ni kawaida Kwa watu wengi, mwingine akila nyama ya mbuzi anavimba, kwahiyo shida siyo nguruwe.
Mimi Kuna kipindi nilivimba Sana baada ya kula mayai nikayachukia Sana
Ile pua ndio tamu mno, ina cartilage fulani hivi ukitafuna ina lia karchu karchu , tamu mnoHahahaaaa.......
Pua la nguruwe ujue linafukua kuzidi magreda , bulldozer, excavator, tractor, backhoe na mitambo yoote uijuayo šš
Jamaa rajabu anakugonga hatari tena hua anapeleka hone anaonba lile futq (ngozi itolewe kabisa ili hone wasijue )basi jamaaanamtolea lingozi la nje anapeleka kilo 3 anaenda weka kwenye friji anatafuna mdogo mdogo hadi kijshe anaagiza tenaWeekend Kareem. Niko hapa St. Peter's, Oyster Bay, kwenye Bar ya kanisa.
Niko na wadau wangu wa miaka mingi, imani zao ni za msimamo mkali dhidi ya ulaji wa Nguruwe, a.k.a Kitimoto.
Wananichana makavu. Ili uishinde roho ya ulaji wa Kitimoto, ni lazima uishinde pombe, kinyuma na hapo, hata ukiwa umebobea kiasi gani kwenye mafundisho yako makali ya dini lazima tu mnyama a.k.a mdudu atakuangusha tu.
Kama upo Dodoma weekend kwenye marathon ya kutafutia madanga na mashangazi. Tembelea pale Cathedral au Mipango kwa Masista wa St Gema. Huko utakutana na kitimoto iliyoandaliwa kwa viwango vya kimataifa.Umpate akiwa kakaushwa na kachumbari yenye kapilipili
šššššHatari sana ššIle pua ndio tamu mno, ina cartilage fulani hivi ukitafuna ina lia karchu karchu , tamu mno
š½š½š½š š šIle pua ndio tamu mno, ina cartilage fulani hivi ukitafuna ina lia karchu karchu , tamu mno
ni kweli anatisha mnoo mi siwezi hata kumgusa akiwa mzima au amekufa, namsubiri mezani pekeakeHahaahaaaa.....kamongo hapana aseeee, kwanza anatisha sana hata kwa muonekano wake. Nilibahatika kuwaona Igunga wakiwa wametoka kuvuliwa walikuwa wengi sana zaidi ya thelathini , size tofauti tofauti wakubwa kwa wadogo. Jamaa walikuwa na marungu wanawapiga kwenye vichwa ili kuwaua halafu wanawatengeneza kisha wanawakatakata vipande wanauza.
Kitimoto nimekula ukubwani (mambo ya rika) aseeee nilijuta!!.... Nilivimba halafu nikawa nawashwa mwili wote najikuna kwa takrinani siku tatu nikaona isiwe taaabu nikaachana nae huyo mdudu. Baada ya miaka mingi nikaja kushawishiwa nikala tena acha niote!. Nilikuwa nikilala usingizi naota nafukua fukua na pua lake lile halidhuriki na viwembe , vijiti, miiba , misumari chaaaaaahhhhh!....Kwakweli Mungu ameumba daah!
Yani kwenye nguruwe ukiniuliza vitu vitamu ni pua ulimi na masikio , halafu visikaang'we vichemshwe tu ni mwendo karchu karchu tuš½š½š½š š š
Yeye ni mchungaji wa kilokole.ššš
Kunywa pombe sio dhambi lakini.
U
Inategemea unakunywaje.
Na wewe ni nani
Nikifika huko nitatafuta hilo chimboKama upo Dodoma weekend kwenye marathon ya kutafutia madanga na mashangazi. Tembelea pale Cathedral au Mipango kwa Masista wa St Gema. Huko utakutana na kitimoto iliyoandaliwa kwa viwango vya kimataifa.
Hakuna kitu kinachoweza kujaribu au kujenga kama maneno.Mimi pia nimekulia kwenye familia za madhehebu tofauti,
Kipindi Fulani nilikuwa Kwa wasabato, pale kitimoto Ilivyokuwa inazungumzwa mpaka unaogopa.
Sifa zote mbaya anapewa nguruwe, mpaka nikawa naogopa Sana.
Nikiona au kusikia mtu Fulani anakula kitimoto basi roho inakereka Sana nahisi hata kutapika.
Utoto bwana.
Sasa nikawa nakumbuka marehemu mama alikuwa anakuja na mafuta ya kitimoto anapikia wali tunakula fresh tu na wali mtamu Sana.
Nikatoka pale Kwa wasabato nikahamia Kwa Kwa Wakatoliki, pale Kila Jumapili lazima kitimoto Mzee arudi nayo akitoka misa ya asubuhi.
Nikajua kuona kumbe nguruwe ni nyama ya kawaida tu ila Inategemea umekulia mazingira Gani.
Kwahiyo mtu ambaye hali kitimoto kama wasabato au waislam namuelewa, inatokana na malezi yake na mambo aliyoambiwa.
Mambo mengi ya ajabu wasabato wanakwambia hata kula Bata Mungu amekataza, kula kambale Mungu amekataza š¤
Muache ale maisha. Ilimradi alipe billsYeye ni mchungaji wa kilokole.
Analewa chakari.
Naota ndoto za kutisha kama vile Kufukua fukua na pua lake lile....Kamongo alinishinda kbs! Nyama yake sio tamu halafu iko na kijishombo fulani cha kukera
Nguruwe ni mtamu lakini kila nikila nyama yake nadhurika ~ naota ndoto za kutisha kama vile kufukua fukua na pua lake lile, Kuna wakati niliwahi kuvimba mwili wote sambamba na kuwashwa hatari
Ile pua ndio tamu mno, ina cartilage fulani hivi ukitafuna ina lia karchu karchu , tamu mno
Kweli au si kweli?šInalia kwachu kwachu kwachu....duu
Je mataifa Wakristo wanapaswa kufuata mila na desturi ambayo ni mambo ya Agano la kale la wayahudi nikiwa na maana Torati na sheria za kiyahudi badala ya Imani kwa Yesu Kristo kama msingi wao?Wasabato msingi mkuu wa imani yao ni Biblia.
Hilo ndio jambo la kwanza unatakiwa uliweke kichwani.
Wasabato wanaamini Biblia ni kitabu kitakatifu kilichoandikwa na watumishi wa Mungu, manabii, mitume na wafalme waliovuviwa kile kiitwacho Roho mtakatifu.
Katika Biblia, upande wa Torati.
Mungu anatoa amri ya vitu ambavyo watu wanatakiwa Wale(hivi huitwa vyakula) na vitu ambavyo havitakiwi kuliwa(huitwa visivyoliwa).
Nguruwe ni mojawapo ya wanyama walioharamishwa wasiliwe kwa mujibu wa Biblia. Kwa namna hiyo Wasabato hawamli Nguruwe kwa sababu ipo amri inayomzuia Nguruwe asiliwe.
Hata hivyo sio Nguruwe tu ambaye haliwi.
Wapo viumbe na wanyama wengine ambao sio chakula kwa mtu, mfano
Mbwa, sungura, ngamia, nyoka, binadamu n.k. wote hao waliharamishwa wasiliwe