Pombe ndio chanzo kikuu cha Waislam na Wasabato kula kitimoto

Pombe ndio chanzo kikuu cha Waislam na Wasabato kula kitimoto

Acha kutisha watu mkuu 🤣
*Damu ya nguruwe na ya binadam hazitofautiani kwa macho mpaka upime
*Size ya moyo wa nguruwe na binadam ni sawa
*Nguruwe hula nyama na majani kama binadam
*Nguruwe na binadam wapo kundi moja kisayansi
*Nguruwe jike hupata hedhi kama wema sepetu na kajala(watakuja kusema siyo hedhi)
 
Kuna msabato mlevi?
Kibao mimi na wajua wengi ambao wanakula kitimoto na pombe juu.hata hao wengine nao wamo.siku moja nilikaa kigrosari fulani hivi pia kuna kitimoto .wakaja muslim fulani wakiagiza wakala baadaye mmoja akauliza ni nyama gani anaambiwa ni mdudu.akasema astakafulaa tuliokuwa pale mbavu zilivunjika.
 
Huyo muislam kalishwa hajala
 
Unajua kwa nini hujapata utamu wa kitimoto?

Kwa sababu ya hayo maneno uliyolishwa huko nyuma, kwamba kitimoto yuko hivi, kitimoto yuko vile.

Sasa tuliza kichwa, sahau shida zako, futa mawazo ya zamani juu ya mnyama huyu pendwa, kisha anza kumtafuna.

Utanishukuru!!

Mimi pia nimekulia kwenye familia za madhehebu tofauti,

Kipindi Fulani nilikuwa Kwa wasabato, pale kitimoto Ilivyokuwa inazungumzwa mpaka unaogopa.
Sifa zote mbaya anapewa nguruwe, mpaka nikawa naogopa Sana.

Nikiona au kusikia mtu Fulani anakula kitimoto basi roho inakereka Sana nahisi hata kutapika.

Utoto bwana.

Sasa nikawa nakumbuka marehemu mama alikuwa anakuja na mafuta ya kitimoto anapikia wali tunakula fresh tu na wali mtamu Sana.

Nikatoka pale Kwa wasabato nikahamia Kwa Kwa Wakatoliki, pale Kila Jumapili lazima kitimoto Mzee arudi nayo akitoka misa ya asubuhi.
Nikajua kuona kumbe nguruwe ni nyama ya kawaida tu ila Inategemea umekulia mazingira Gani.

Kwahiyo mtu ambaye hali kitimoto kama wasabato au waislam namuelewa, inatokana na malezi yake na mambo aliyoambiwa.

Mambo mengi ya ajabu wasabato wanakwambia hata kula Bata Mungu amekataza, kula kambale Mungu amekataza 🤔
 
na usabato wangu nishashindwa kuacha kula Kamongo ni mtam sana yule Nyoka, ila hiyo kiti fire ishanishinda inakaa kooni mno na kunijaza tumbo
Kamongo alinishinda kbs! Nyama yake sio tamu halafu iko na kijishombo fulani cha kukera

Nguruwe ni mtamu lakini kila nikila nyama yake nadhurika ~ naota ndoto za kutisha kama vile kufukua fukua na pua lake lile, Kuna wakati niliwahi kuvimba mwili wote sambamba na kuwashwa hatari
 
Screenshot 2026-07-24 182227.png

Screenshot 2026-07-24 182250.png
 
Kamongo alinishinda kbs! Nyama yake sio tamu halafu iko na kijishombo fulani cha kukera

Nguruwe ni mtamu lakini kila nikila nyama yake nadhurika ~ naota ndoto za kutisha kama vile kufukua fukua na pua lake lile, Kuna wakati niliwahi kuvimba mwili wote sambamba na kuwashwa hatari
ile shombo ndo yenyewe sasa tena ukimkuta yule alokomaa ni hatari sana kinacho niudhi ni ile kunata nata

aseee nimecheka mnooo eti unamuota🤣🤣🤣🤣,, umeanza kumtumia ukubwani eeeh? maana kama ingekua ni utotoni hata usingeona maajabu
 
Kamongo alinishinda kbs! Nyama yake sio tamu halafu iko na kijishombo fulani cha kukera

Nguruwe ni mtamu lakini kila nikila nyama yake nadhurika ~ naota ndoto za kutisha kama vile kufukua fukua na pua lake lile, Kuna wakati niliwahi kuvimba mwili wote sambamba na kuwashwa hatari
🤣🤣 Unaota vipi unafukua fukua mkuu 🤣

Ila swala la mwili kuvimba au kuwasha baada ya kula vyakula ni kawaida Kwa watu wengi, mwingine akila nyama ya mbuzi anavimba, kwahiyo shida siyo nguruwe.

Mimi Kuna kipindi nilivimba Sana baada ya kula mayai nikayachukia Sana
 
Back
Top Bottom