Pombe ndio chanzo kikuu cha Waislam na Wasabato kula kitimoto

Unajua kwa nini hujapata utamu wa kitimoto?

Kwa sababu ya hayo maneno uliyolisha huko nyuma, kwamba kitimoto yuko hivi, kitimoto yuko vile.

Sasa tuliza kichwa, sahau shida zako, futa mawazo ya zamani juu ya mnyama huyu pendwa, kisha anza kumtafuna.

Utanishukuru!!
siwezi kusahau mafundisho ya utotoni nilofundishwa kwa upendo,, it is not easy🙂
 
Hivi kwa nini ninyi wasabato hamumzimii kabisa kitimoto?

Hebu nieleze kinagaubaga.

Wasabato msingi mkuu wa imani yao ni Biblia.
Hilo ndio jambo la kwanza unatakiwa uliweke kichwani.

Wasabato wanaamini Biblia ni kitabu kitakatifu kilichoandikwa na watumishi wa Mungu, manabii, mitume na wafalme waliovuviwa kile kiitwacho Roho mtakatifu.

Katika Biblia, upande wa Torati.

Mungu anatoa amri ya vitu ambavyo watu wanatakiwa Wale(hivi huitwa vyakula) na vitu ambavyo havitakiwi kuliwa(huitwa visivyoliwa).

Nguruwe ni mojawapo ya wanyama walioharamishwa wasiliwe kwa mujibu wa Biblia. Kwa namna hiyo Wasabato hawamli Nguruwe kwa sababu ipo amri inayomzuia Nguruwe asiliwe.

Hata hivyo sio Nguruwe tu ambaye haliwi.
Wapo viumbe na wanyama wengine ambao sio chakula kwa mtu, mfano
Mbwa, sungura, ngamia, nyoka, binadamu n.k. wote hao waliharamishwa wasiliwe
 
Hapa nimekuelewa mkuu.
 
Hapa nimekuelewa mkuu.

Iko hivyo.

Kumbuka nyuma kidogo, kuna miaka binadamu alikuwa analiwa na baadhi ya jamii za watu.

Sasa ukiuliza why nguruwe asiliwe, mtu mwingine atakuuliza kwa nini asikugeuze wewe Chakula. Tena unaambiwa nyama ya mtu ni tamu na inachumvi fulani amazing hasa ukimuweka kwenye jiko kama la oven
 
Hizo pombe na kitimoto kula wewe ila JF imejaa waporipori kama wewe, wanaamini kuna bar ya kanisa St Peters na halafu ukiweka jina oysterbay ndio wanakuamini kabisa mlugaluga mwenzao uko Dar
 
Madhehebu ambayo waumini hufuatiliana maisha binafsi na kupeleka kanisani hufanya waongeze usiri tu na siyo kuacha.

Kulewa kwa siri ni kipengele,ndiyo sababu kukuta msabato mlevi ni ngumu.
Nakubaliana na wewe, kumkuta msabato mlevi ngumu Sana, ni kama hamna.
 
Iko hivyo.

Kumbuka nyuma kidogo, kuna miaka binadamu alikuwa analiwa na baadhi ya jamii za watu.

Sasa ukiuliza why nguruwe asiliwe, mtu mwingine atakuuliza kwa nini asikugeuze wewe Chakula. Tena unaambiwa nyama ya mtu ni tamu na inachumvi fulani amazing hasa ukimuweka kwenye jiko kama la oven
Unajua Kila mtu anatoa sababu zake juu ya hilo.

Kwa mfano baba yangu (mchungaji wa kilokole) aliniambia wasabato hawamli kitimoto kwa sababu yesu alipokuwa anawatoa mapepo wachafu kutoka kwenye mtu fulani, wale mapepo wakamuomba yesu kuwa wanataka waingie katika miili ya nguruwe, yesu akawaruhusu ndiyo maana nguruwe wakawa najisi 😅
 
Alikudanganya.
Alileta siasa na ushabiki ili kulinda Dini na dhehebu lake.

Huku akijua kabisa Nguruwe kwenye torati ni haramu sio kwa kuliwa bali hata kugusws kabisa.

Wapo wanyama ni haramu hawaliwi lakini unaweza kuwagusa
 
Kwanza yule Mzee simuamini, sidhani kama anaijua bibilia vizuri, maana nikimuuliza maswali deep yahusuyo bibilia ananza kunipotezea kisha anahama kwenye siasa na kuanza kunieleza siasa za akina Mfaume Kawawa na Bibi Titi.
 
Back
Top Bottom