mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Wenzangu bao tatu mnapigaje? Mbona mimi moja tu nakinai kupita maelezo!

    Au ndo kuumwa kwenyewe?!!!!!! Yaani nikimaliza Kuna hali flani ya kuchafukwa inanitokea mpaka najishangaa nilikuwa nahangaikia nini'?!! Hali ipo hivyo kwa Kila niliyepita nae......kutoka wa kishua haswa Hadi wa uswahilini. Hata yule Mnorway niliyebahatika kule Arusha Hali ilikuwa hivi hivi...
  2. R

    Haya mapenzi ya Trump kwa Israel afanyiwe DNA test yawezekana ni myahudi, Maelfu ya mabomu ya MK-84 yaliyozuiliwa na Biden yamewasili Israel

    Wiki ya kwanza tu baada ya kurejea Ikulu, Rais wa Marekani Donald Trump aliharakisha usafirishaji wa shehena ya mabomu 1,800 aina ya MK-84, kila moja likiwa na uzito wa tani moja, mabomu hayo yamewasili rasmi Israel siku ya Jumamosi, tarehe 15 Februari 2025 kwenye bandari ya Israel. Uamuzi...
  3. Carlos The Jackal

    Ni nani ameikalia CHADEMA MEDIA TV mbona inamuhujumu TUNDU LISSU ?

    Toka Jana Mwenyekiti yuko kwenye Harakati zake za kichama. Online TVs zimepigwa Pini, hiii CHADEMA MEDIA mbona Iko nyuma sana ?. Tundu LISSU Kwa Sasa anahitaji kutazamwa LIVE Masaa yote. LISSU TIMUA HAO JAMAA WA CHADEMA MEDIA ,SAJILI VIJANA WAPYA.
  4. Jidu La Mabambasi

    Wardrobe ya Nama mbona wakati mwingine inakosa standards!

    Mimi Jidu ni mnazi wa Mama Samia, ila kwa safari ya Addis Ethiopia, wardrobe imekosa viwango. Wapambe wa mama mkoje lakini? Sare alizovaa mama hapa haziko Diplomatic na utafikiri anaenda kitchen party! Mjue kwamba mama ni kioo cha watanzania wote. Ref Daily News front page.
  5. JOSEPHAT_07

    Je, LBL sio Matapeli kama Matapeli wengine?

    Nikampuni ambayo ukiweka pesa kidogo kuna pesa unalipwa mwaka mzima kilasiku. Kuna video ukazaa unatakiwa uzi view. Ila sijaielewa vizuri. Naomba maelezo kwa mwenye kuijua
  6. GENTAMYCINE

    Mimi mnanisema kwa Ututsi (Unyarwanda) wangu mbona Yeye pia Kwao mi Oman?

    Tena 85% ya Ndugu zake (hasa Kaka zake) wako nchini Oman na wanashangaa kuona tukisema ni Mwenzetu.
  7. GENTAMYCINE

    Huu uhuru anaopewa Bilionea Elon Musk na Rais Trump unatokana na nini? Mbona ni kama vile Musk ndiyo Rais wa Marekani?

    Maaumuzi mengi tena yenye Unyeti anatoa Elon Musk huku Rais Trump akionekana Kukubaliana nayo hata kama Wachambuzi Nguli wa Siasa za Dunia wanasema ni Hatari kwa Ustawi wa Marekani. Kuna Clip naiona sasa Elon Mask yuko Ikulu na Mwanae na anafanya Vituko vya kila aina huku Mwanae nae akiifanya...
  8. Eli Cohen

    Hii helicopter mpya ya Iran mbona ni kama imeundwa na mtoto wa shule ya msingi kwa kutumia mabox

    Naona wana maono ya uhakika kabisa kuivamia washington na tel aviv na mabox, hongera sanaa kwao.
  9. GENTAMYCINE

    Oya mbona hii Taarifa ya Max Zengeli anaondoka kuelekea Morocco inafichwa sana kwa Sisi wana Yanga SC wenye Uchungu?

    Kwahiyo wana Yanga SC tumeamua kutumia 'Inshu' ya Chasambi ili Kuificha kwakujua kuwa Sisi Mashabiki ni hohe hahe?
  10. Miss Natafutwa

    Wanaume mna moto wa peke yenu. Siamini!

    Juzi tu hapa baada ya kupata kazi nikapata na mpenzi. Eti leo tena nimeachwa Hivi ninyi wanaume mtachezea wanawake mpaka lini? Kwani ungesema kama umekuja kwangu bila kuingiza gia ya ndoa si ningekuelewa tu? Najuta kumpa thamani yangu. Nawachukia wanaume kuanzia leo. Mnatesa sana wanawake...
  11. D

    Kama USA Urais ni taasisi mbona Trump anajifanyia anavyotaka?

    Mara afukuze wafanyakazi anavyotaka, Mara aajiri anavyotaka, Mara ayafute mashirika anavyotaka, Mara aifute mikataba ya watangulizi wake hovyohovyo, Leo tena ameamuru sarafu flani isitengenezwe tena. Sasa hii imekaaje?!! Kumbe uraisi Raha sana.
  12. Greatest Of All Time

    Huyu mtoto mbona kama wa Kilonzo Musyoka?

    Aliewahi kuwa Makamu wa Raisi wa Kenya, Mh.Kalonzo Musyoka amfariji mtoto wa rafiki yake wa muda mrefu, marehemu Daniel Kimanzi! Umegundua nini kwenye hii picha?
  13. Waufukweni

    Azim Dewji awajibu wanaomponda Chasambi, adai "mimi mbona nampenda Maxi, je mi ni Yanga?

    Mfadhili wa zamani wa Simba SC, Azim Dewji amesema haoni maana yoyote ya kosa la Ladack Chasambi katika mechi ya Fountain Gate lizue mjadala kwa sababu alishawahi kumtaja mchezaji wa Yanga Maxi Nzengeli kama mchezaji kioo chake. Dewji amesema yeye pia anampenda Maxi Nzengeli na ndiye mchezaji...
  14. Mallerina

    Hivi mbona nyie wakaka hamtununuliagi tu maua na tuzawadi?!

  15. Waufukweni

    Ahmed Ally amjibu Ally Kamwe tuhuma za mbeleko: "Simba Kubebwa? Mbona Kimataifa Tumeongoza Kundi?"

    Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally, amemjibu Msemaji wa Yanga SC, Ally Kamwe, kufuatia tuhuma alizozitoa za Simba kubebwa na waamuzi katika Ligi Kuu. Kupitia ujumbe wake, Ahmed; Soma: Malalamiko ya Yanga kuhusu refa Kayomba ni ya kijinga Msemaji wa Yanga SC, Ally Kamwe, alitoa tuhuma kali...
  16. Mwanadiplomasia Mahiri

    Wananzengo wanaulizia Hifadhi ya Taifa ya Burigi Chato mbona hatuisikii, Je bado ipo?

    Hifadhi hii ilianzishwa wakati wa awamu ya tano, wanyama wakasafirishwa kutoka maeneo mbalimbali kuelekea Chato kwenye kitovu cha utalii. Muda umepita, hifadhi hii haisikiki tena. Wadau wanaulizia bado ipo, au wanyama washarudi kwenye sehemu zao za asili?
  17. Kangosha

    KERO TANESCO mbona mnakata sana umeme Mtwara?

    Kwa kipindi cha mwezi wote wa Kwanza hadi leo kuanza mwezi wa pili kumekuwa na kukatika umeme mara kwa mara katika maeneo ya mji mwema na maeneo mengine ya Mtwara. TANESCO mnaturudisha sana nyuma sisi ambao ni wajasiriamali tunaotegemea Umeme kujipatia riziki. Kwa siku umeme unaweza kukatika...
  18. kadeti

    Mbona Mji wa Kahama una guest house nyingi hivi ..?

    Jamani mji wa kahama una lodge na Guests house nyingi Sana...kulikoni .. Ndo kusema ni mji wa kibiashara Sana kuliko mji wowote Kanda ya Ziwa... Na madada powa nao hawako nyuma ni wengi wa kutosha ukicheza vibaya umeondoka nao...na hivi Trump anaenda kukomesha mchakato wa Msaada wa ARV kupitia...
  19. A

    Mbona huyu Bisimwa kiongozi wa M23 anongea kiswahili fasaha hivi?

    Huyu kiongozi wa M23 kwa nini anaongea kiswahili cha Dar es salaam kabisa? Hiki siyo kiswahili cha Congo. Wacongo kiswahili Chao tunakifahamu vizuri, hiki kiswahili cha huyu jamaa siyo cha wacongoman kabisa. Bado nahisi tuna shida mahali. Tanzania 🇹🇿 tuache mambo ya ujirani mwema...
Back
Top Bottom