Miongoni mwa siri zilizofichuliwa leo kuhusu Mkataba wa kuiuzia kampuni ya Waarabu Bandari za Tanzania, imo habari kwamba Bandari zitakazohusika ni zile za Tanganyika Pekee, za Zanzibar hazitahusika.
Ikumbukwe kwamba Bandari ni miongoni mwa mambo ya Muungano, ikiwa kama jambo hili lina faida...
bandari za zanzibar
dp world
dubai
jamiiforums
kuhusu
kulalamika
kura
mbona
mzanzibari
naomba
neema
rais
rais samia
samia
tupige kura
ubishi
utanzania
waziri
world
zanzibar
Nimekumbuka video hii ya nabii mmoja huko Afrika kusini aliyasema haya mwaka jana, cheki hii iko you tube. hii issue ya kuuzwa bandari inaweza kuwa kosa la kwanza
KUNA tuhuma nzito zinazoendelea kwenye umma kuhusiana na baadhi ya saini za mkataba wa Tanzania na Dubai kuwa zimeghushiwa...na inaweza kutuletea shida baadae upande mmoja ukaja kusema hautambui mkataba huo.
Hizi tuhuma kwanini wengi hawazingumzii zaidi wanabishana kuhusu kauli ya Mbowe...
Inasononesha sana hali hii ya SINTOFAHAMU inayoendelea kulikumba taifa kwa kile kinachotajwa ufisadi mkubwa kupitia mkataba uhusuo bandari yetu na Waarabu.
Mwanzoni alikuwa anaonekana yupo sawa kiuongozi lakini kwa kinachoendelea ni wazi ni pigo kuu kisiasa na AIBU kwake.
Kipi kimemkuta Rais...
Wananzengo mmeamkaje leo?
Kuanzia wiki ya mwisho ya mwezi Mei hadi kuingia Juni 2023 hali ya hewa imekuwa ya mvua na hatujui hizi ni mvua gani.
Msimu wa Mei kuelejea Julai huwa ni aghalabu kuwa na mvua kwani mazao yanakuwa yanakaribia kuvunwa.
Lekini ukimya wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA)...
Wiki hii kumekuwa na delays nyingi sana za ndege za ATCL.hii inasabibsha usumbufu sana sana.
Ushari wa bure,kama una ticket ya ATCL,Saa ya kuondoka haina uhakika.Yaani ni kama treni ya kwenda kigoma hiv.
Halafu communication ni poor hiv
UPDATES.
Tumetoka Dar leo saa 11:30 jioni kuelekea...
Msimamo wa Serikali ni kuwa Haina dini, ila watu wake ndiyo wenye dini. Labda, inaweza ikawa ni kweli.
Serikali imetuambia pia kuwa haiamini katika uchawi, lakini ni wachache watakaoweza kulipokea hilo!
Kwani Mwenge ni nini kama siyo uchawi?
Inasemekana, Mbio za mwenge ziliasisiwa na mchawi...
Bajeti ya Waziri Mohamed Mchengerwa imewasilishwa bungeni leo hadi sasa hakuna kelele zozote za rushwa kwa wabunge kama ilivyokuwa kwa wizara ya nishati.
Heko wizara ya maliasili kwa kuendesha mambo yenu kwa uwazi na kuacha wabunge waichambue bajeti yenu kwa manufaa ya watanzania sio wenzenu wa...
Je wajua ??
1. Raisi halipi kodi
2. Makamu wa raisi halipi kodi
3. Waziri mkuu halipi kodi
4. Mawaziri hawalipi kodi
5. Manaibu mawaziri hawalipi kodi
6. Wakuu wa mikoa hawalipi kodi
7. Wakuu wa wilaya hawalipi kodi
8. Wabunge hawalipi kodi
Hawa wote hakuna hata Senti Moja...
Poleni sana Wananchi kwa kupoteza mchezo jana. Naamini nafasi bado ipo kama mtaenda na mipango na mbinu sahihi ugenini.
Nikirudi kwenye mada hapa, shida yangu ipo kwenye namna ya ahadi ya Rais kuhusu kutoa Milioni ishirini na namna ilivyofanyika.
Mjadala huu haufungamani na upande wowote...
Halafu mlivyo wa hovyo badala ya Kuitangaza vyema kwa kusema kuwa Yanga SC imefungwa Kiuwezo mnachokifanya sasa ni kutafuta Wasikilizaji wenye Uyanga na kuwalazimisha waseme kuwa Yanga SC itaenda kupindua Matokeo / Meza Jijini Algiers nchini Algeria kwa Kuwafunga USM Alger FC na kuwa Mabingwa wa...
Aisee nimeshangaa kundi kubwa la watu walioshangilia timu yao kutolewa na Wydad kwa mbinde na kusema hawadai, wamekufa kiume cha ajabu zile kauli hazihakisi nyuso zao zilizovyo kwasasa. Admin wa Simba anajitahidi sana kupost taarifa, matukio, kumbukumbu, n.k kwenye page rasmi ya Simba lakini cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.