Kwa uelewa wangu mdogo wa boxing baada ya kuufatilia ni kwamba,
Points zinapotangazwa mfano 56 kwa 59 bila kutaja majina ni kwamba yule bondia aliyeingia mwanzo points zake ni zile zinazotajwa mwanzo na zinazotajwa mwisho ni za bondia wa mwisho kuingia. Na hata majina yanavyoandikwa kwenye tv...
Kumbe inawezakana kabisa Mungu anawaogopa viumbe wake aliowaumba mwenyewe?
Tunaambiwa shetani aliumbwa na Mungu Sasa iweje amemshindwa kumuangamiza mpaka watunishiane misuri na mostly shetani huyu anaonekana ana nguvu kumzidi huyu Mungu.
Does it come to our ears as true logic kwamba shetani ni...
Niliwahi kukaa Iringa hapo kwa miaka kama miwili,
Katika vitu nilovyokuwa na shauku ya kuvihakikisha ni ule usemi wa wahehe kusifika kujinyonga.
Nilitegemea kusikia habari za kujinyonga kila wiki ila nilichoambulia kwa muda huo wote kuna mwanafunzi alijinyonga kitu ambacho hakikunistua.
Baba yake Mbowe (Aikaeli Mbowe) ni mmoja wa waasisi wa CHADEMA. Fataher-in-law Mbowe (Edwin Mtei, Baba wa Lilian Mtei) ndiye kiongozi mkubwa wa kwanza ndani ya CHADEMA thats why wengine wanasema CHADEMA ni 'chama chake'.
Back in days hapa Moshi palikuwa na Mzee Philemon Ndesamburo, he was...
Zamani ilikuwa akitoa habari tu lazima members kibao tukimbilie kuisoma na malikes kama yote. Yaani baada ya dakika mbili tatu tu utakuta kuna pages kibaaao, views nyingi mnooo. Habari zilishiba, zilivutia sababu zilikuwa 'halisi' kutokana na kugusa eneo lake la uelewa na ujuzi.
Ghafla likaja...
Habari wana bodi ni matumaini Yangu kuwa wote ni wazima wa afya.
Mimi ni Kijana wa kitanzania miaka 23 pia mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya ualimu sayansi.
Siku ya Leo nimewaza Sana ambayo yanaweza boresha sekta ya elimu na maisha ya walimu kwa ujumla kama ifuatavyo;
01. Kuwe na Kodi ya...
Wasaalam!
Kutokana na kuwa jobless kulana ndio imekuwa sehemu ya kupunguzia mawazo.
Leo ikanibidi nimtafte X wangu mmoja angalau tupashe kiporo, tukapanga mida ya saa 10 atakuja geto tufanye yetu.
Shetani hakuniangusha saa 10 katimba geto tukaanza kufanya yetu katikati ya mchezo akanambia...
Kulikoni hakuna ushabiki wowote kenye hili dimba la wanawake, sababu?
Naangalia hapa wasichana wanachea mpira safi kabisa, nadhani vitimu vyetu vya Taifa wanaweza kuvifunga magoli mengi tu hasa vya Africa.
FORTUNE GLOBAL 500
-The Fortune Global 500, also known as Global 500, is an annual ranking of the top 500 corporations worldwide as measured by revenue. The list is compiled and published annually by fortune magazine.
The following is the list of top 10 companies in 2022.
Fortune Global 500...
Mheshimiwa Mbowe nimefualtilia kwa makini mkutano wako siku ya leo huko Mutukula mkoani Kagera ambapo chama kina operesheni ya +255 Katiba mpya + Okoa bandari zetu. Lakini nimeshangazwa na hotuba yako nzima hukugusia kabisa suala la bandari wala katiba mpya nikashangazwa sana.
Iweje Mwenyekiti...
Uzi wa mapishi umedoda jamani watu sijui tupo kwenye mifungo mikavu, rudini kundini tuanzae madigo diko mapya. Mtag mwana mapishi wako pendwa umualike arudi uzini tushee mapishi mapya na kukumbusha ya zamani pia. Kuna lishe za afya na za watoto pia ni vyema tunaukaza uzi wa mekoni.
Utaratibu wa kutoa post za "Thank You" kupitia mitandao ya kijamii kwa wachezaji au makocha wa benchi la ufundi wanaokoma kuitumikia timu umekuwa ni utaratibu mpya ulioanza kutumiwa na timu zetu hivi karibuni. Ukiangalia kwa makini namna tangazo la "Thank You", imeonekana kama ni unafki fulani...
Tangu mjadala wa BANDARI kuanza sijamsikia Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Kinana akizungumzia Mkataba wa Bandari, au ameshagundua hili ni bomu linaloweza kuua Chama.
au kama kuna clip mnayo ya Mze Kinana akisifia mkataba wa bandari. muiweke hapa kwa ajili ya rejea
Kila nikifungua kituo chochote cha TV ni huduma za maji tu. Nikafikiri labda ni hivi vituo vilivyozoeleka ambavyo haters huvihusisha na CCM wakati mwingine lakini kumbe sivyo kwani hata nilipofungulia kituo cha CHADEMA TV nao nikakuta wanarusha habari ya uzinduzi wa mradi wa maji yaani...
Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo anasema ni wajinga wanaokosoa mkataba wa IGA kauli hii ni kinyume cha Katiba na Sheria za nchi na Miiko ya Viongozi wa CCM kuhusu kuheshimu utu na uhuru
wa kutoa maoni.
Kauli yake nyingine ni ile aliyoitoa kwenye Mkutano wa hadhara wa mikoa ya nyanda za juu...
Simba SC bado wanaendelea Kuonyesha jinsi gani wanaelekea pazuri kuwa Klabu yenye Uweledi.
Tayari Mchezaji Sakho wa Simba SC tumeshajua Kauzwa wapi ila kwanini Mtikisa Manyonyo, Mvaa Bukta Kata K na Mjichubuaji si tu hawaonekani bali hata hatutangaziwi Hatima zao wakati Wafuatiliaji wa Masuala...
Wanasema ukiwa mtu wa kutembea na kila mwanamke unajiletea mabalaa/mikosi wakimaanisha unakaribisha umaskini kwenye maisha yako, mbona kuna watu nawafahamu ni wanabadilisha wanawake kila kukicha, miaka nenda rudi, ila bado kipesa wako vizuri, na navowafahamu pesa zao si za kishirikina.
Hio...
Kama kuna mahala kwa sasa ambako Wakazi wake wanalia kwa Kuibiwa na Vibaka mchana na kuingiliwa na Majambazi nyakati za Usiku ni wale Waishio maeneo ya Mbweni.
Kuna maeneo kama Kawe, Mwenge, Kunduchi, Mgulani, Ukonga, Gongo la Mboto, Makumbusho, Mbweni, Oysterbay Msaada Kontena, Kurasini na...
Sauti ya Rais ni faraja,
Rais, kwa sauti yake, ni dira ya nchi na wananchi
Lakini pia, yeye ndiye kocha mkuu, kunapotokea wasaidizi wake wameelemewa uwanjani, yeye hutokea kubadili upepo wa mchezo
Sasa yapata mwezi na ushee nchi ipo kwenye mzozo wa mkataba wa bandari!
Kila upande...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.