Taarifa zimezagaa kuwa mmoja wa mateka wawili wa kitanzania waliokuwa huko Gaza ameshafariki dunia.Mateka huyo anaitwa Clemence Felix Mtenga, mwenye umri wa miaka 22.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyotolewa na Bbc Israel ilikubali kuwa kweli ameuwawa lakini katika orodha za waliotajwa kufa tayari...
Waziri mkuu wa Israel, Benjamini Netanyau amenukuliwa akisema kwa jeuri na majivuno kuwa, jeshi la Israeli (IDF) litafika kila eneo lisiloweza kufikiwa huko Gaza na hakuna kima, pimbi au mende wa kiHamas ataachwa salama.
Jeshi la Israeli kwa sasa liko katika viunga vya mitaa yote ya jiji la...
Wala sio Mbali Wala sio zamani, ni Jana! Janjaweed wameua wanawake, wazee na Watoto zaidi ya 700. Sijasikia mtanzania Mwenye kuwashwawashwa na mauwaji haya as if nothing happened!
Nadhani hawa hawana damu, sio Ndugu zetu, sio wenzetu hawa ndio maana! Ila Sasa ingekua Ukraine au...
Naamini hata wewe umeshasikia mtu akiwadiss vijana waishio au wafanyao biashara Makumbusho hasa wale wauza simu. Mitandaoni na mitaani mara nyingi utasikia stori kuhusu vijana wa Makumbusho.
What is it with these guys from nakymbusho? Ni uhuni, ulofa, waovyo, utapeli, etc
⁸
Sijajua Simba SC mchezo ujao anacheza na nani ila namuonea huruma kwani ule mpira nilioucheza dhidi ya Al Ahly FC kwao na Waarabu kuutafuta muda mwingi kwao (hao nitakaokutana nao NBC Premier League) baada ya jana kumfunga mbabe wake mtu naenda kuucheza maradufu yake na nikimsamehe sana napiga...
Aidha tatizo ni kutoelewa kingereza au nini haswa, wengi wameelewa kwamba ile kura iliyopigwa kusitisha vita ili kuruhusu misaada iwafikie wahanga, kwamba hiyo ina maana wameunga mkono Palestine au maugaidi ya HAMAS.
Kingine msiolelewa kingereza, mkatafute mtu awatafsirie nini maana ya...
Njia pekee ya Israel kujilinda kwa sasa ni kutoa DOZI
Nakumbuka siku ya kwanza Israel ilipovamiwa, Hamas waliitwa kila aina ya majina ya kishujaa na shangwe zilipigwa sana kiasi kwamba watu hawa walianza kuota ndoto za mchana kwamba Israel inaenda kumezwa ?
Hali ya sasa ni tofauti kabisa, watu...
Kama alishindwa miaka ile nini atakachoweza sasa hivi?
Ule ujio wa Undertaker Kamanda RC wa zamani DSM Paul Makonda mapkezi yake ya leo ni warning sign.
Yalikuwa Kiduchu sana hayaendani na promo.
Kama anaweza kujipima basi ni leo.
Waswahili husema Nyota njema huonekana asubuhi.
Wanaccm...
Hii ni kukutaarifu tu kuwa mkandarasi wa barabara ya Tanga to Pangani umemlipa bilioni 3 kuanza kazi haonekani site Tanga mjini wala Pangani? Hii ilikuwa ni mara ya mwisho sometime in September uliposema hayo mbele ya camera
Mvua zinanyesha ni tope tupu kila mahali! Mwambie basi aje...
Hiki Chuo Kikuu ni kikubwa, sasa unapoingia kwenye Website yao huoni huo ukubwa!
Website imekaa ki- utumbo utumbo tu!
Mtu unajaribu ku- access information , mfano: UDSM selection list 2023/2024 pdf.
Hiyo pdf yenyewe uki - click huioni! Ni utumbo mtupu!
Waisraeli wanaamini ukiua mmoja wao, hata ujifiche wapi kwa namna moja au nyingine watakukuta tu hata kama itachukua miaka hamsini, watakuwinda kwenye pembe zote za dunia. Kwa mfano ma-NAZI waliohusika kwenye maamuzi ya kuua Wayahudi, pindi baada ya Hitler kupigwa halafu Ujerumani kuangushwa...
Wananchi wanateseka hasa akina Mama machinga kama wauza barafu, saluni, vinywaji baridi nk.
Tuliaminishwa kuwa tatizo la umeme litapungua sana katika muda wa wiki mbili lakini haya yamekuwa ni maneno tu huku wananchi wakiteseka sana.
Umeme unakatika saa moja asubuhi na unarudi saa moja usiku...
Jana dunia nzima ilikuwa inaamini kwamba Israel kalipua hospitali lakini ajabu ni kwamba muda wote huo Al Jazeera alificha video za ushahidi kwamba bomu lililorushwa na Hamas lilijamu angani na kushuka kwa kishindo kwenye hospitali ya Gaza kupelekea mlipuko na vifo vya wapalestina kibao.
Hii ni...
Iran amekuwa wazi ya Israeli ni uovu usiokubalika na wao kama nchi hawatakuwa watazamaji.
Israel kaamuriwa na baba yake, hakuna kuivamia Gaza isije kuwa taabu Bure! Aachie maji na mafuta haraka kwenda Gaza. Kisha wote wajipange upya. Yasije yakawa makubwa, maana madogo yana nafuu.
Kwamba...
Kwanza nikiri watoto wa vigogo wengi wamesoma sana na wana bidii sana kwenye masomo.
Zamani niliaminishwa vijijini kwamba watoto wa matajiri hawapendi shule na kwamba huwa wanafeli.
Baada ya kusogea mbele ki elimu nikahama mkoa niliokuwa naishi huko vijijini nilikutana na ulimwengu wa tofautu...
Ukiangia orodha ya watu matajiri Nchini Kenya na Tanzania utakuta Wahindi na Waarabu ndio wanaongoza kwa mali na utajiri
Cheki orodha ya watu matajiri nchini Kenya hapo chini.
Tizama pia list ya matajiri kutoka Tanzania.
Na hapo kwenye list ya Tanzania ni kwa bahati mbaya tu Reginald Mengi...
Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi amekemea vikali na kupiga marufuku tabia ya wanawake watu wazima, kuwaweka kinyumba vijana wenye umri mdogo.
Mgomi ameyasema hayo wakati akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Mtima, Ileje na kueleza kuwa taarifa zimemfikia kwamba vijana wengi wanaishi...
Tembea uone,
Nimeenda huko kunakosifiwa kwa mapenzi na mapishi, nimekutan na mboga ya ajabu sana sijawahi kuiona.
Inaotwa hombo za/ja Mungu, yani ni kama vile hina, au majani ya chai yaliokorongwa.
Af wenyeji wakachanganya kwenye maharage, yani nimeshindwa kula kabisa, kama yale ndo mapishi...
Katika siku za hivi karibuni, nime kuwa niki kutana na Picha za huyu mwamba.
👉 akiwa ana Pigana na wanyama was ardhini au hata majini.
Jamaa ana pigana kwa Uwezo mkubwa. wanao mjua watu ambie je ni mtu wa wapi???
👉Ona mfano wa mapigano yake🤔🤒
Kwa Sasa Africa, tuna kila sababu ya kujivunia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.