Mtandaoni kuna picha na video ya muwindaji Mmarekani ambaye ana brag kuua Mamba anayesema ni mkubwa kuliko wote
Sasa watu wanaanza kutoa mapovu mtandaoni kuwa Serikali imefumbia macho ujangili kwa kuwa ni mzungu blah blah blah
Hivi kweli hawa watu hawajui kuwa kuna utalii wa kuwinda na watu...
Lile dili la kuchanja watu nchi nzima limeishia wapi? Maafisa, wameshakula pesa zao na kununua Apartments Dubai, wamesizi wanasikilizia mchongo mwingine?
Aisee mjini mipango!
Kwa mfano kwa Uingereza wasemaji wa mambo yote ya club zao za soka ni Mameneja , hawa ndio wanaofanya mikutano yote na Waandishi wa Habari kuhusu timu zao , Masuala yote ya mechi ikiwemo Ufundi na mengine yote ya uwanjani na wachezaji .
Sasa hawa akina Ally Kamwe na wengine kama Masau Bwire...
Hizi nchi zote zinaongea na kuelewa kiingereza kilichotumika kwenye waraka kuliko Tanzania na hadi zinapochukua uamuzi wa kupinga waraka hazijakurupuka, wameona waraka una matatizo, Iweje Papa aseme Ndoa iendelee kuwa ya Mwanaume na Mwanamke alafu kwa wakati huo huo anatoa ruhusa kwa makasisi...
Hasan Bitmez alipata heart attack akiwa bungeni anatoa hotuba ya kuilaani Israel.
---
Turkish Health Minister Fahrettin Koca announces the death of lawmaker Hasan Bitmez, local media reports, two days after he collapsed in parliament, suffering a heart attack at the end of a livestreamed...
Kupanda kwa nauli za daladala na mabasi ya mikoani kungeendana na maboresho ya huduma husika.
Mathalani miundombinu ya stendi, mfano sehemu za kupumzika abiria, muda wa kuondoka mwanzo wa safari hadi mwisho wa safari, ubora wa vyombo vya usafiri na unadhifu wa watoa huduma nakadhalika na...
Hivi hii ni makusudi au ninini, au kuna mbinu ya kumkomoa Mh Rais kimya kimya baada ya kujua sio mfuatiliaji wa maswala kama hayo?
Hilo ongezeko la kiwango hicho limekuwaje? Yaani sehemu uliyo kuwa unasafiri kwa elfu 10 saihiz ni elfu 15 sehemu uliyo safiri kwa 40,000 sasa hivi ni 55,000, hivi...
Hawa waheshimiwa wakati wa kunogesha mada mjengoni hutupia kibwagizo cha Watu kujiajiri Ila wao wapo kwenye Payroll miaka na miaka (na mikopo wanachukua benki kwa udhamini wa ofisi) wakiumwa hata mafua tu haoo India miezi 8 bill kwa mwajiri. Akifa jeneza gharama ya mwajiri pia. Imekaaje hii?
Wilson Onana alisajiliwa kwa mbwembw sana, tambo zilikuwa nyingi mno, zikihusishwa kuwa eti Simba ilishauriwa na Samwel Etoo kuwa Onana ni mtu nanusu. Baadaya ya msimu kuanza mambo yalikuwa tofauti Onana akawa Si lolote si chochote Uwanjani!
Bila shaka lilikuwa ni suala la muda tu kuvunjiwa...
Ukihitaji salamu nenda Tanga kwa waswahili,kwangu m-bara utaambulia pumba ukalishie vitimoto!
Wanawake sijui nini kimewakumba masikini!
Aisee nina mwanake wangu mmoja kigoli pisi kutoka pande ya Dareda!,Huyu mwanamke niko nae huu ni mwaka sasa,huwa nikiondoka kuelekea kwenye mitikasi yangu...
Kiukweli sijawahi kuona mtu anayetaka kuombewa na kila dhehebu, huyu ni wa kwanza , yaani ukivaa msalaba au Baraghashia , au ukishika Tasbih au Rozali basi atakuvamia umuombee!
Kwanini anataka aombewe na kila mtu , alitenda Makosa gani? Je ni mzima au amepata matatizo ya Ubongo , hivi hawa...
Pembezoni mwa mito naona watu wanachimba Vito wanachimba mchanga na kuusafisha hii inamaanisha kwamba madini mengi yanapita kupitia mito na mito inaelekea baharini si maanake baharini Kuna vipande vingi vya madini Sasa mbona hawachimbi mchanga uliolala kwenye sakafu za baharini je technology ya...
Asilimia kubwa ya Wananchi wa Tanzania wanataka Katiba Mpya. kabla ya uchaguzi mkuu 2025. Mimi sijaelewa kuna tatizo gani kuhusu Katiba Mpya.
Suala la elimu kwanza kwangu siyo kupaumbel changu sisi wananchi tunataka Katiba Mpya iwe Jua au mvua tunataka Katiba Mpya.
Woga wa nini kuhusu...
Sitaki kuzungumzia kesi nyingi zilizokuwa zinamkabiri Lema. Ila nyingi ushahidi ulikuwa wazi.
Mfano uchochezi kule manyoni kuwa Serikali ilimuua kiongozi wa Chadema.
Lakini rais alimfutia kesi zake zoke.
Leo hii yeye analalama Gekuli kubebwa. Huu ni unafiki.👇
===
Alichoandika Godbless Lema...
Tumezoea awa mabwana kupost mauzo ya ticket yalipofikia kwenye page zao na mitandao ya kijamii uku wakionyesha sold out za kutosha Kila jukwaa, Sasa nashanga safari hii wamekuwa Kama wamepigwa na shot ya umeme wameganda Kama barafu.
Hii sio kawaida yao kabisa mechi ni kesho lakini akuna post...
Licha ya Serikali kutoa maelezo kuwa Huduma za Afya kwa Wazee zinatolewa Bure kwenye Vituo vya Afya, uhalisia katika utekelezaji wake umekuwa haueleweki na hivyo, kusababisha kero kwa Wazee wanaofika katika baadhi ya Vituo kupata Huduma.
Mamlaka zitoe maelekezo sahihi kuhusu Huduma hizo kwa...
Wapendwa,
Kumeibuka kasumba na tabia isiyo ya kiungwana ya kuchepuka nje ya ndoa au uchumba hivi sasa.
Na inaonekana sasa jambo hili ni kama la kawaida tu. Hapana. Si sawa hata kidogo.
Tabia hii inahatarisha sana na kulegeza uhai na afya ya ndoa na uchumba katika jamii. Ndoa kadhaa...
Luhanga Mpina akitoa mchango wake amesema, amesoma taarifa ya CAG mwaka 2021, amesoma majumuisho ya majibu ya serikali na mpango wa utekelezaji wa taarifa ya CAG, hakuna sehemu kwenye majumuisho ya mpango wa utekelezaji wa taarifa ya CAG inayoonesha hatua mahususi zilizochukuliwa mpaka sasa toka...
Hii kampuni ya SuperFeo ilianza safari zake za kutoka Songea-Dodoma-Arusha mwanzoni mwa mwaka jana 2002. Tulifurahi sana maana ilikuwa ni ukombozi wa safari ya moja kwa moja kutoka kusini mwa nchi yetu mpaka kaskazini.
Kwa wiki huwa na safari 2, walianza vizuri sana, ulikuwa unakata tiketi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.