mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Treni ya mwendokasi ya kutoka Dar mpaka Morogoro mbona bado kizungumkuti?

    Sasa yapata miaka mitatu tangu tuaminishwe kuwa treni ya mwendo kasi toka Dar mpaka Morogoro ingeanza huduma yake lakini mpaka sasa hakuna kinachoendelea. Ninaomba majibu kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa TRC. Atoke waziwazi kupitia luninga kuelezea umma ili tufahamu tatizo liko wapi.
  2. Webabu

    Afisa wa jeshi wa Marekani asema mbona Houth wanatushangaza.Hatujajua wana nini.

    Maafisa katika serikali ya raisi Biden wameendelea kukwaruzana kuhusu mashambulizi yanayoongezeka ya Houth na kuleta madhara japo jeshi la Marekani limeshatumia nguvu kubwa kuwapiga. Naibu katibu muhtasi wa Pentagon,bi Sabrina Singh amesema Houth wanaonekana kuwa na hazina kubwa ya silaha kuliko...
  3. Black Butterfly

    KERO DAWASA Mitaa ya Tabata Segerea kuna shida gani, Mbona hatupati Maji wiki ya tatu sasa?

    Kuna mambo nchi hii yanachosha sana jamani, hebu fikiria Wiki tatu unakosa Maji ambayo unayalipia kila mwezi, ni utaratibu gani huu? Leo naomba kuwauliza Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) kuna shida gani katika jiji hili, mbona matatizo ya maji hayaishi? Mvua ziwepo zisiwepo...
  4. Expensive life

    Viongozi wa Simba SC mbona akili zenu zimelala sana?

    Hii timu ina viongozi wasiokuwa na maono kabisa na upigaji uliokithiri, pale mo arena tayari pana pitch nzuri tu. Kilichobakia hapo ni maboresho madogo tu. Vyumba vya kubadilishia nguo wachezaji pamoja na vyoo, majukwaa mtaweka baadhi tu kwa kuwa mnaanza kidogo kidogo. Mkipata 1b hata kwa...
  5. Melki Wamatukio

    Hii picha imepigwa vipi? Mbona haieleweki?

    Tazameni hapo ubaoni. Ina maana mwalimu anatumia shoto kuandika? Mola atusaidie tu
  6. Christopher Wallace

    Mbona askari wa nchi za wenzetu hawana vitambi?

    Sisi kama Taifa tunafeli wapi? Askari wetu wa majeshi mbalimbali wamenenepeana na vitambi juu. Mbona nchi za wenzetu askari wao wako smart bila mavitambi? Mitaala ya askari wetu ibadilishwe huko vyuoni nadhani. Tunatia aibu
  7. Mjanja M1

    Lissu: Watoto wangu wana uraia wa Marekani, mbona Makonda kama ana Wivu

    Akifanya mahojiano na Mwanahalisi, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu amejibu maswali kuhusu uraia wa watoto wake na pia kufunga ndoa na Mzungu. Akijibu maswali hayo, Tundu Lissu amesema watoto wake ni Raia wa Marekani kwa kuzaliwa, na pia kuhusu kuoa yeye alimsikia Makonda "Makonda...
  8. Erythrocyte

    Kuna nini TBC, mbona kila siku wafanyakazi wanaendelea kuipiga chini?

    Juzi juzi tu mtangazaji mwingine kaachia ngazi, na leo tena mwingine kaaga! Kuna nini kwenye ajira hii ya Serikali ambayo watu wengi wanaikimbilia ?
  9. Mwanamayu

    Kwanini nchi hii miaka nenda rudi matatizo hayaishi na CCM inaongoza tu?

    Mimi kwa kweli nimechoka kabisa. Wakati wote ninafanya kazi kwa bidii, nalipa kodi zote, lakini kila mwaka kuna matatizo, yaani tangu tupate uhuru. Vitabu vya historia vinaonesha matatizo tu. Sasa leo Mhe. Makonda anazunguka nchi nzima na kuibua matatizo tu. Au labda haya matatizo ni kidogo...
  10. D

    Makonda, unajiua mwenyewe mbona hustuki?

    Bahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa. Mwenezi unadai kuna watu wanataka kukuua. Tena si upinzani Bali ni CCM. Unakichafua chama chako mwenyewe kuwa na wauaji Sasa nakutonya, uko kwenye mtego ndio maana kwenye maadhimisho ya miaka 47 hukusikia kiongozi mwengine ngazi ya Taifa akiongea...
  11. B

    Mzee Kinana mbona hujatuambia CCM inapata ruzuku kiasi gani?

    Nimemsikiliza Mzee wangu Komredi Kinana eti akisema wamewapa ruzuku CHADEMA na kuwapakazia akataja na kiasi. MIMI nimuulize mzee wetu, je, CCM inapata ruzuku kiasi gani? Akisema au akitaja basi nawaambia wananchi watazirai siku hiyo! Maana ni pesa nyingi sana lakini hata haieleweki zinakwenda...
  12. MKATA KIU

    Watu wanaolalamikia internet kufosi Starlink mbona Voda, airtel wana unlimited nzuri kwa 120,000 tu kwa mwezi

    Habari wadau. Binafsi nawashangaa sana watu wanaolalamikia kwa nini star link haipo? Chief-Mkwawa amelinganisha vizuri kuhusu bei za internet ya starlink vs bei za ISP wa bongo. Bei za unlimited bongo now Airtel 70,000, TTCL 55,000, Vodacom 120,000, Zuku 69,000, Raha 50,000, Netsolution...
  13. Determinantor

    TANZIA Mwana-JamiiForums, Thadei Ole Mushi afariki dunia

    MwanaCCM na MwanaJF Thadei Ole Mushi amefariki dunia. Ole Mushi alikuwa anaugua kwa muda mrefu. Thadei amefariki duniani asubuhi hii katika hospitali ya moyo JKCI, Muhimbili. Mwenyezi Mungu ampumzishe mahali pema peponi na atupe nguvu na faraja. Zaidi soma Ole Mushi ni mgonjwa sana...
  14. GENTAMYCINE

    Kila Siku tunamsifia Kipa Djigui Diara kuwa ana Footwork nzuri Jana mbona hakuitumia ili zile Gongo Mbili zisiingie Nyavuni mwake?

    Hakika Ivorry Coast wamenipa Furaha Kubwa jana kwa Kutinga Kibabe Semi Final ya AFCON kwa Kuwatoa / Kuwafurumusha rasmi Mashindanoni Timu ya Taifa ya Mali yenye Mchezaji Mmoja kutoka Klabu Moja NISIYOIPENDA Tanzania. Haupendi UTANI achana na huu Uzi!
  15. D

    M23 wailaumu TPDF kutumia silaha nzito za kivita kulinda amani DRC

    TPDF inapeleka kisago(sio kipigo) cha mbwa koko huko DRC Vijana wa M23 eti wanaonya JW kuendelea kuwashambulia itajilaumu baadae wameitaka iache mara moja vinginevyo itapigwa.
  16. Mto Songwe

    Ile duniani ya ushindani wa wanasayansi imenda wapi mbona kimya?

    Uvumbuzi siku hizi duniani umekwisha ? Au watu wenye akili nyingi wamepungua ? Ile dunia wakati huo wanasayansi mbalimbali wakipigana vikumbo na mchaka mchaka wa kushindana kubuni formula, vitu na mambo mbalimbali ya kisayansi sasa kimya. Ukisoma historia mchaka mchaka duniani enzi hizo wakina...
  17. A

    DOKEZO Ndugu yetu aliyekamatwa kwa kuzuia Watoto kwenda shule mbona hapewi dhamana na Polisi?

    Mimi ni mkazi wa Mwanza, Wilaya ya Ilemela naomba msaada kwa mamlaka zinazohusika kuhusu ndugu yetu. Kuna ile habari ya yule kijana aliyekamatwa Namtumbo (Ruvuma) kwa kosa la kuhubiri watu wasisome ili wajipange kumpokea Yesu, Mtumishi wa Mungu Erick Manyanya ( 33) Mwinjilisti wa Kanisa la...
  18. majebsmafuru

    Millard Ayo, kimetokea nini? Mbona umefungiwa Google?

    Ukiingia tu kwenye website ya millardayo.com unakutana na message hii.
  19. GENTAMYCINE

    Simon Msuva basi hata kama uliamua Kumpigia pande huyo Shemeji yako Mzungu Taifa Stars, mbona ana Kiwango kibovu hivyo?

    Halafu hapo hapo tena tukaambiwa kuwa huyo Shemeji yako ( Mchezaji Mweupe kutokea Uingereza ) anacheza Ligi Daraja la Tatu wakati kumbe anacheza Ligi Daraja la Tano Uingereza ambalo kwa huku Kwetu Tanzania ni sawa tu na Ndondo Cup ile ya Shaffih Dauda. Kwahiyo Simon Msuva ( Shemeji Mtu ) na TFF...
  20. GENTAMYCINE

    Kumbe Uwanja wa Gwambina sasa unaitwa Fountain Gate Stadium? Mbona kimya kimya?

    "Singida Fountain Gate FC tumeamua kuweka Kambi yetu hapa Fountain Gate Stadium ambayo zamani ilikuwa ni Gwambina ila kujiandaa na Mechi yetu ijayo huku huku Kanda ya Ziwa" amesema Msemaji wa Singida Fountain Gate FC Hussein Massanza Chanzo: Sports Extra ya Clouds FM muda si mrefu (Usiku huu)...
Back
Top Bottom