Habari,
Nilikua na idea ya kutengeneza tovuti kama udemy au skillshare lakini yenyewe ijikite kwenye kufundisha kwa lugha ya kiswahili. Nimefanikiwa kutegeneza, lakini wateja ndo shughuli. Ningependa kupata mawaidha kutoka kwenu ya nifanyeje ili nianze Pata mauzo.
Majuzi tulipokea utambulisho wa mtoto wa kaka, kaleta kijana huyo kila mtu alichokaaaaa
Mtoto wa kaka nae ndio wale matajiri waliosomaga ulaya kuanzia sekondari mpaka chuo, ungetegemea alete mzungu, mmarekani mweusi au mwafrika well off but nooo katuletea mbongo, wa bongo,
Baada ya kumaliza...
Nini kimebadilika hapo nyuma ilikuwa lazima utumie ushawishi mkubwa kumfanya mtoto wa mtu ashike mic nakuanza kutuma salama ulikuwa ni mtiti tena hata akituma salamu basi atakosea jinsi ya kuongea kwenye mic.
Hivi sasa ile umezubaa tu mtu kashadaka mic nakuanza kutuma salamu watoto uoga wa...
Wakuu hii ikoje,
Si WhatsApp si twitter kila siku lazima nione vijana timamu kabisa kupotea wengine wanafunzi wengine wafanyabiashara.
Au mimi ndiyo naweweseka
Wakuu, hivi mmegundua kila unapofika mwaka wa Uchaguzi wowote uwe wa Serikali za Mitaa au Uchaguzi Mkuu, ndio muda ambao miradi mingi huwa inadorora! Barabara zinakuwa mbovu kupita maelezo, huduma za muhimu zinakwama hadi karibu na muda wa kampeni ndio unawaona Wagombea wanarudi na ahadi kibao...
Habari wakuu
Hivi mbona msanii chid benz haponi kile kidonda chake cha mguuni maana tangu ameanza kuumwa kile kidonda sasa yawezafika mwezi wa nne au watano, nini tatizo?
Maana Jana kapanda stejini na yeboyebo inaonyesha bado anashida mguuni.
Salamu Wakuu,
Nimegundua Suala la uaminifu bado ni changamoto kubwa sana hapa nchini
Hivi karibuni kumekuwa na malalamiko mengi ya watu kupatiwa fedha pungufu kila wakichukua hela kupitia kwa benki tellers
Katika mjadala unaondelea huko X inaonesha kuna benki ambazo zinahusishwa na tabia hii...
Fungua attachment 1 na 2 chini. Hilo ni daraja kuu Mwanza, uhuru kwa chini. Ukipita juu ya daraja limeshaanza kumomonyoka picha namba moja. Ukikaribia kulia utaona daraja kubwa hilo lote limejaa mchanga upande wa maji yanapoingilia kweye daraja (picha na 2), huo ni mchanga vimaji hivyo vinapita...
Wanabodi,
Nimebahatika kufanya kazi na wazungu, niliajiriwa na Taasisi ya FCO ya Uingereza, nikiwa jijini New Delhi India, nikapostiwa Ubalozi wa Uingereza, Pretoria Africa Kusini, Lilongwe Malawi, Lusaka Zambia na mwisho nikatua Jiji Dar es Salaam nikiwa ni Mshauri wa Siasa wa Balozi wa...
Sioni hoja yenye nguvu kuthibitisha hili maana nao watumwa walikuwa watu wenye viungo vya uzazi vya kuendeleza vizazi vya waafrika.
Hata waafrika wengi unaowakuta nchi za kiarabu ni wale waliohamia kikazi, biashara, n.k. na wengine wana wajukuu tayari.
Mfano Marekani, Brazil, n.k. tunaona...
Jamani naomba kuuliza! wanafunzi waliomaliza kidato cha nne 2023, lini majina ya kujiunga kidato cha tano yatatoka? Necta au wawakilishi wao watuambie lini?
Hili tukio la shambulizi la Mall huko Sydney Australia na kuuwa zaidi ya watu sita, siku linatokea tu wakaanza kutukana waislamu magaidi warudishwe toka nchi za West, hata picha ilipotoka wakaanza huyu rangi ya watu Middle East muhimu kulikuwa na matusi mpaka kwa main stream media shambulio la...
Mkataba umesainiwa kwa vishindo na vigelegele ili uwanja wa ndege wa Mwanza uanze kujenga kwa kile kilichosemwa na Mkurugenzi wa TAA kwa dharura iliyopo hapo uwanjani kuboresha huduma.
Magreda yakasombwa site, Msukuma akasifu, Hamis Tabasamu akatabasamu na kusifu na wananchi waliokusanywa...
Salaam
Kumekuwa na kumbukizi za viongozi wakuu wengi waliokwisha kutangulia mbele za haki kama vile Mwl. Nyerere, sokoine, mkapa na magufuli.
Lakini sijawahi ona kumbukizi za hayati mzee Kawawa na Dkt Omari zikipewa kipaumbele na serikali sikumbuki kama ata tarehe za zinakumbukwa..
Dkt Omari...
Hii ndio Taarifa mpya ya Usiku huu, kwamba Jiji la Arusha limekumbwa na mafuriko makubwa sana, huko Kisongo hali ni mbaya zaidi, unaambiwa magari na nguzo za umeme zinasombwa kirahisi tu.
Sasa sijui tuendelee kuiombea Nchi hii au tumwachie tu Mungu?
Mafuriko Arusha hadi maji yanakatiza mjini...
Kosa jamaa aambiwe " Kaka mkeo alikuwa anaongea na Dullah" yani jamaa hata kama hamfahamu huyo Dullah basi atawaza tu kwamba huyo Dullah anatembea na mkewe.
Atagombana na mkewe na atakuwekea jealousy wewe Dullah.
Unashangaa tu unakutana na mtu barabarani ana kuangalia kwa chuki unabaki...
Habari za muda naomba kufahamu kama Kuna mwenye taarifa yoyote inayomuhusu alikiba
Nimekuta mahali wamepost tumuombee na kwingine tena hivyohvyo kwa anayefahamu chochote kumuhusu, kuhusu hizi taarifa.
Asante.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.