mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. shuka chini

    KERO Wilaya ya Nyang'hwale mkoa wa Geita hela za likizo za walimu mbona kimya?

    Habarini wadau. Naongea kwa masikitiko makubwa hela za likizo mpaka sasa wilaya nyang'hwale mkoa wa geita mambo ni kimya . Hivi nyie maafsa mnaohusika mbona hamna huruma jamani tumefunga tunaingia wiki ya pili lakini mpaka muda huu mmekaa kimya tukifatilia mnadanganya eti mtandao unasumbua...
  2. Pdidy

    YAAN KILA MTU FB ANAUZA DAWA ZA KUTIBU SUKARI KHA MBONA HIV HAMLETI

    Natokakufungua ffb acc leo yaan kila mtu anauza dawa za kisukari Funguaa acc nyingine hukoo ndio balaaa kaweka tangazo la kutibu bure bonyrxaa link Manenoooo mengi mwishoo anakwambia tuma 170000 atii punguzo hili n kwa siku 7 tu Nyooooo hivi mnatuonaje nyie kengee mshaona watanzania wajinga...
  3. Kaka yake shetani

    Kama serikali inakanusha kuhusu huu mkopo na dhamana ya madini mbona korea walikuwa na ajenda kuhusu afrika

    Serikali mpaka sasa inakanusha kuhusu mkopo na dhamana ya madini ila korea walishafanya kikao kuhusu madini wanayotaka afrika. Naomba tuunganishe dot hii https://www.youtube.com/watch?v=1_46tHD6Y6s
  4. chiembe

    Hivi huyo Magoti, mshauri wa Rais kuhusu siasa, alikuwa na uzoefu upi wa mambo ya siasa? Mbona CCM ina manguli wa siasa jamani?

    Nimeshangaa kusikia Magoti ndiye alikuwa anamshauri Rais kuhusu siasa. Nikimuangalia ni kama ana umri wa miaka thelasini hivi, yaani mtoto tu, na ndio maana mwanzo nilidhani ni mhudumu au afisa wa kawaida tu pale ikulu. Hivi katika "msitu" wa wazee waliokomaa kisiasa kama Steven Wasira, Mizengo...
  5. Manyanza

    Hizi taarifa za mkopo wa Korea Kusini mbona zina utata mwingi?

    Nimenukuu kutoka mtandao wa X kwa ndugu Martin Maranja Masese, na nimeamua kuiweka hapa ili na nyinyi Wakuu muweze kutoa maoni yenu. Maana habari za vyombo vikubwa vya habari kama Sauti ya America na Reuters vilio ripoti kama ilivyo nukuliwa hapo chini, akaja na Waziri wa uwekezaji na yeye...
  6. Hey There

    Mbona kumpata mwanamke wa kumtongoza kwangu imekuwa ngumu?

    Tuongee serious, suala la kupata mwanamke wa kuwanae kwenye mahusiano kwa upande wangu limekua gumu sana hasa baada ya kuvunja uhusiano na mtu. Sio kwamba domo zege sijui kutongoza ninauwezo wa kutongoza mwanamke aina yeyote yule Duniani hata awe raisi wa nchi kama kanipa space ya kumtongoza...
  7. ndege JOHN

    Mbona walevi wanapata pata hela kuliko wasiokunywa

    Asilimia zaidi ya nusu ya muda wangu natumia kukaa na walevi kila siku na zaidi ya asilimia 90 ya marafiki zangu ni walevi wa pombe za viwandani na hata za asili. Nilichokigundua kwetu sisi wanywaji tunakuwa na bahati sana ya kupata hela yaani mlevi hakai siku tatu au nne bila ya kupata hela na...
  8. greater than

    Mwanzo umri ulikuwa unaenda Taratibu (10 hadi 20) ila sasa Umri unakimbia (20 hadi 30)...

    Yani kuna hali yanifkirisha,au sijui ndiyo akili za weekend...!? Mtu kukua kutoka umri wa miaka 10 hadi 20 ilichukua mda mrefu sana. Ila Kukua kutoka umri wa miaka 20 hadi 30 mbona imefanyika fasta sana.
  9. ndege JOHN

    Kwangu mimi naona mbona maisha mazuri tu

    Mimi bwana sometimes naona kama mfumo tuliopo mzuri kiasi fulani kwani mbona watu wanafanya wanakula, na bado wanacheka na bado wanashabikia mpira na bado wanaenda kule Dubai. Mbona kama mambo yamekuwa mazuri jamani si tukubali tu au unaweza kuhisi labda nina tatizo la stress.. Hapana...
  10. Kaka yake shetani

    Kambi za wakimbizi zilizopo kigoma mpaka leo mbona nchi hizo mbili hakuna vita

    Rwanda na Burundi miaka ya 90 zilikuwa kwenye wakati mgumu husasani mauaji ya kimbari.ila mpaka leo imekuwa kama centre ambayo kila kukicha kambi zimeshindwa kufungwa na mpaka sasa sababu ya wakimbizi nchi hizi mbili hakuna. Ukiangalia nchi Rwanda na Burundi amani na utulivu hupo na watu...
  11. Technophilic Pool

    Chidi benzi anasema ukweli Lakin mbona hasemi jinsi madawa yanavyosababisha vijana kua mashoga kisa uraibu wa unga??

    Chid benzi anadai wasanii wengi michicha miba lakini mbona haelezi ukweli kuhusu uraibu unavowafanya vijana kuwa mapapai
  12. vibertz

    Viongozi wa shirikisho la soka Tanzania hivi mbona mnapenda kujiabisha waziwazi kila mmoja ajue mapungufu yenu?

    Kuna matukio mawili yameongozana yamedhihirisha ni wazi TFF ina watu wasiokuwa na uadilifu, wasiokuwa na maono na hawana upeo wa kufikiria, kuchambua vitu kwa kina. Tukio la kwanza ilikuwa ni kitendo cha kupeleka fainali ya kombe la CRDB federation cup Manyara. Tukio la pili ni kitendo cha...
  13. Kaka yake shetani

    Kama kifo ni mipango ya Mungu, mbona imani yenu wa Iran inaonekana kukataa kuhusu kifo cha Raisi?

    Nimeshangaa sana jaziba za wairan wakiona kama kifo kimepangwa na wabaya wao au kosa lilofanyika ni kama mungu kakosea. Sasa imani ina maana gani kama kifo mtaki kuamini kipo.
  14. Pdidy

    KKKT mbona roman catholic hawaangaiki na hao wa mafuta mahubiri yenu kila siku vs mafuta si nanyie muanze uza mafuta?

    Yaani imekuwa kama keroo sasaa mnafanya wengine tusiende makanisan Yaan kuna viongozi kila ukisikia ibada mahubiri yao 50 perc wanaanza kukandia wach wa mafuta sijui mkaa sijui majivu ooh mtanyeshwa, Kwa nini msichukue mda kufundisha neno la Mungu waelewe wapone Mbaya. Mnalalamika...
  15. BabuKijiko

    Wadau mbona kama mitandao ya simu kuna mgao wa Internet ila hawasemi,vipi wengine mmegundua hili jambo

    Maana kama jana Kuna muda Vodacom na halotel Internet ilikata Tigo ilikuwepo,usiku hivi Tigo ilikata nayo nahisi kuna jambo ambalo linaendelea ila wanaficha kwa kumuhofia Waziri Nape
  16. M

    Ukweli haupingi Zanzibar ipo Kama hakuna Zanzibar mbona kuna Rais wa Zanzibar?

    Kama hakuna Zanzibar, mbona kuna rais wa Zanzibar? Anawakilisha nani?
  17. Riskytaker

    Mbona hakuna magari ya rangi ya kijani au njano umewahi kuona Harrier ya kijani?

    Umewahi kuona hurrier ya kijani au njano. Au umewahi kuona Land cruiser V8 new modeli ya njano. Kwa kifupi Tanzania sijawahi kuona gari ndogo za kijani.na njano
  18. Pdidy

    Ikitokea ajali tunaambiwa dereva ametoroka na anatafutwa, kwanini mkiwapata hamtuambii?

    Yaan hizi taarifa nikisiaga nafungaga simu. Sijawahi sikia dreva anasababisha vifo amekamatwa. Nasikiaga tu dreva anatafutwa. Ushauri mkiwapata mtuoneshe pia amekamatwa hasa hawa wanaobeba wasomali na waethiopia, unasikia dreva amekimbia na watu waliokuwepo. Wakipatikana mtujuze basi.
  19. Chakaza

    Kampuni za simu, mbona mnaunyamazia utapeli wa kuungwa vifurushi vya muda wa maongezi na data?

    Kuna matangazo mengi ya kuungwa vifurushi vya muda wa maongezi na Data mitandaoni na watu wanaamini na kupigwa pesa kila uchao. Lakini pamoja na mitandao husika kutajwa bado wao wako kimya kama vile hayawahusu. Je, ni kweli huduma ya kuungiwa vifurushi imebinafsishwa? Au ni wizi ambao na...
  20. D

    Wageni wanapewa vibali vya kununua ardhi Zanzibar na Tanganyika. Mtanganyika hawezi nunua ardhi Zanzibar. Mbona sielewi?

    Mamlaka ya Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) imewakabidhi Raia wanne wa kigeni vibali na kadi za utambulisho wa kuishi Zanzibar na Tanzania kwa ujumla baada ya baadhi ya kanuni za uhamiaji kuruhusu Wageni walionunua nyumba Zanzibar zenye thamani ya dola laki moja za Kimarekani ( zaidi ya milioni 250 )...
Back
Top Bottom