Wasalaam wanaJf ,
Sijaona uzi hata mmoja wa kumlaumu waziri husika wala kupewa masharti ya kujiuzulu kama ilivyokuwa kwa Makamba na Nape.
Swali langu ni hilo !
Hili kundi la hawa wazee waliovaa nguo nyeusi na nyekundu sijawaelewa maana wamepiga Ngoma zao na mikia ya kiganga kwa zaidi ya dakika 40.
Baada ya hapo wakaanza kuvunja nazi , mayai na kupiga vibuyu vyao mikia ya fisi.
Ghafla mama akashuka stejini na kwenda kwenye lile eneo lenye vibuyu na...
Wadau naomba kufahamu kama kuna anaejua chips zile zinatengenezwaje sio kwa utamu ule.
Nataka kukaangaa mithili ya KFC ili niuze sana uswahilini
Shukran
We Mbowe umetoa tuhuma nzito dhidi ya Jeshi la Polisi nchini, lakini hata nyie chama chenu kinao vijana waliopewa mafunzo ya kijeshi, wakati wa uchaguzi na hata sasa uchaguzi wa serikali za mitaa, vijana wenu mliowapa mafunzo wamesambazwa kwenye kila wilaya kutoa mafunzo ya namna ya kufanya...
Jamani haya mambo ya kila kitu kodi sindio alikua anafanya mkoloni?Bmbona yamerudi kwa kasi kubwa nchini hali ya kuwa nchi ina rasilimali za kiasili nyingi mno?
Serikali kuna maeneo mngefikiria tu kuyaacha ili kula wote keki ya Taifa.
Sio kila mahali mnatafuta kodi kodi kodi wajati kuna maeneo...
Kwa miaka zaidi ya minne mfululizo wale vijana walioko makambini hamuwachukui wenye degree kwa ajili ya ajira
Na kama mkiwachukua huwa mnadonoa tu
Ila wa form 4 na form 6 ndo mnawa pendelea
Hivi majui kwamba mnazidi kuongeza wimbi la jobless wengi wenye degree mtaani
tunaomba mliangalie hili...
Kujazana kiasi hiki kunaonyesha hawa wahindi ni masikini au ndo nini? Maana kwa kujazana huku, hiyo Train lazima iende mwendo wa kinyonga kwa usalama wa abiria! Sasa maana halisi ya kupanda chombo cha moto ni nini? Je wana haraka gani mpaka kuhatarisha maisha kiasi hiki? Ebu niambie!
Sugu yupo hospitali mahututi baada ya kuumizwa na polisi walioagizwa na Kamisha wa Operesheni na Mafunzo Awadhi Juma Haji.
Sugu ni msanii wa nyimbo za hip hop aliyewainua wasanii wengi, lkn cha ajabu sijaona wala kusikia wasanii wenzake au Baraza la Sanaa likilaani kitendo alichofanyiwa...
Nimekuja kuelewa kuwa tunamuabudu Mungu kwa misingi ilioandaliwa na wanadamu wenzetu.
Tunamuenzi Mungu kwa nguzo zilizotengenezwa na wadamu wenzetu.
Tunamtukuza Mungu kwa masharti ya wanadamu wenzetu.
Yaani ni kama kabla ya kumfikia Mungu inabidi kwanza tutukuze misingi na nguzo za hawa...
Nimemsikiliza Lissu akilalamika kuhusu Rushwa kwenye chama chake cha Chadema,kauli hii imenifanya nitafakari sana kuhusu uwepo wa rushwa vyama vingine vya upinzani.Hali ikoje? Tujadili ili tupate chama bora.
Nimekuwa nashindwa kuielewa serikali yangu kama kuna field ambayo ni muhimu kuitilia mkazo basi ni field ya uwekezaji.
Kwa kulitambua ilo ndo maana waliamua kuitenga wizara ya fedha na mipango na kutengeneza wizara mpya ya mipango na uwekezaji. Ila hajabu ukienda halmashauri, Manispaa na...
1. Utakuta baadhi ya makanisa saa 11 alfajiri yanaanza ibada kwa kutumia maspika makubwa yanayotoa sauti kubwa . kama unaishi Mitaa ya Mbabaga basi hadi Kongowe utasikia. na sio kama sauti ya mchungaji bali ni nyimbo na mziki wenye kurindima na kutikisha nyumba
2. Ukiwa kanisa lipo karibu na...
Jf wasaalam 🙏
Nina hoja kadhaa wa kadhaa naomba nisikilizwe na kupewa majawabu.
Kwa Sasa tumeshuhudia wimbi kubwa la ma doctor hasa kwenye mitandao ya kijamii wakitumia
Account zao kutupa elimu za namna Gani ya kuishi huku tukitunza afya zetu.
Ni jambo jema na tunawapongeza sana Kwa kutumia...
Kuanzia wiki hii hadi katikati ya mwezi wa nane kuna mashindano makubwa sana ya Olympics yanayoendelea huko Paris, Olympics ni mashindano makubwa zaidi baada ya kombe la dunia.
Mashindano ya nwaka ya Olympics yana thamani ya karibia dola bilioni 10 za Kimarekani, haya ndio mashindano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.