Ni maarufu Sana huko TikTok na YouTube, Yuko na mwenzie mwingine aisee wanachonganisha mahusiano ya watu alafu wakiona msala umezidi Wanasepa hii ni sawa kweli??
Unakuta wanajinadi kabisa Leo tunataka kuharibu mahusiano, mm binafsi nimeshindwa kuwaelewa
Kuna ndugu yangu alikuja Dodoma kutafuta pa kufanya kazi Baada ya kumaliza chuo, Ni mwaka wa pili huu kazi hapati, wala hata kuisikia zikitangazwa hamna. Kazi nyingi zinatangazwa location ni Dar, Bado naji uliza nafasi za kazi kwa Dodoma zinatangaziwa wapi?
Hivi hizi kazi za watendaji wa vijiji na kata kwanini wamepewa kazi ya kuajiri wakati wanashindwa kufuata taratibu nzuri za kuajiri? Maana nimeshangaa sana kuwaita watu kufanya interview za kwanza kwenye halmashauri mbalimbali nchini na interview zenyewe zinafanywa kwa siku 1 Kisha mitihani...
Hapo juu ni pesa alizokutwa nazo mwanadada Eva Kaili aliekuwa makamu rais wa bunge la EU.
Eva Kalili alikuwa mmoja kati ya watano waliokamatwa katika sakata hili linalohusu kupokea rushwa kutoka katika serikali ya Qatar ili wawa peti peti Qatar katika umoja wa ulaya na kuinfluence umoja wa EU...
Leo akizungumza na Waandishi wa Habari ,
Wakili msomi wa kwenye majukwaa Bwn. Tundu Lisu amesikika akijinasibu kuwa kesi yake dhidi ya Tigo na serikali ya Tanzania kuhusiana na madai ya kuvujishwa kwa data za mawasiliano yake ambayo mpaka sasa madai hayo hayajathibitishwa pasi na shaka yeyote...
Habarini wanajamvi
Nimekuja hapa kuomba msaada naumwa ugonjwa wa korodani erosion ila sina hakika kama ndo huo maana nimetumia dawa lakin naona bado ni vilevile huu mwezi wa sita natumia fungbicta sioni matokeo wakuu mwenye dawa anisaidie au mawazo
kama boksa nimejitahidi kununua sasa ninanazo...
Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA
Hawa Hezbollah hupigana kwa masilahi ya Nani
Hamas hupigana kwa maslahi ya nchi yao ya Palestine na hawa Hezbollah kwa masilahi yapi na ya nani
Mbona wanawaumiza walebanon
Kwani Israel na Lebanon zina ugomvi
Je, Hezbollah pale Lebanon ni akina nani je...
Behaviour ya Kiboko ya Wachawi kuwakejeli victim wake inatoa taarifa moja tu kuhusu hali ya kiakili ya kiboko ya Wachawi. Amechanganyikiwa. Inaweza kuwa ni kazi ya Mungu mwenyewe au kazi ya miungu wa victim wake (probably walienda kulalamika kwenye madhabahu zao)
Pia inaweza kuwa kazi ya...
Nabii na Mtume namba Moja Nchini mh Mwamposa amesema Maandamano yanaharibu Utukufu wa Mungu
Source: WASAFI media
My take; Chadema wawe Waelewa
Mlale Unono 😃😃🌹🌹
Badooo sijapata jibu kwa nnavyomwona chama na home boy mkude wanachoffanya uwanjan
Najiuliza sana sana hivi kuna shida gani simba
Iweje wachezaji mnaowaacha wakija Yanga wanatakaa vibaya mno
Kituo kinachofwata
Fredinhoooooo
Tunataka kuwaprove wrong....
Nawaza tu, mnatuoneshwa wezi wa ng’ombe na wezi wa mbuzi, lakini sijasikia kuhusu wezi wa madini.
Sijui walawiti wala masuala ya Madawa ya kulevya.
Kwa nini hawa wezi wa madini hawatuoneshwi?
Nilipita somewhere kwenye kijiwe cha kahawa mida ya jioni, nikakutana na waume za watu wanalaani vikali wake na ndoa zao, kiufupi wanajazana sumu. Nilijikuta mdomo wazi baada ya jibaba limoja kumkandia mkewe mpaka kufika hatua ya kububujikwa machozi, alibebelea kijifuko chenye kitoweo ndani...
Kiukweli katika siku mojawapo ambayo nilijisikia mnyonge ni jana aiseee nilijihisi nimepigwa shot ya umeme baada ya kukaa chini na kusikiliza hotuba ya Rais Samia kiukweli Rais samia anapotoshwa na wala haambiwi ukweli sijui kwanini sijui wasaidizi wake wanataka afeli au sijui nini kinamsibu...
Kada na mwanachama wa CHADEMA, Martin Marnja Masese ametumia ukurasa wake wa Twitter kudokeza kuwa wakati wanaelekea kwenye mazishi ya mzee Ali Mohamed Kibao walikutana na dereva wa basi la Tashriff.
Kwenye tweet hiyo, MMM alisema kuwa walikutana na Tashriff express eneo la Mbwewe mkoani Tanga...
ally kibao
ally kibao auawa
chadema
haya
kada wa chadema
kamera
kuelekea 2025
kuhusu
martin maranja masese
maswali
mbona
polisi tanzania
sana
utekaji dar
watanzania
Nina siku kadhaa nikikaa tu mahala kupata safari lager, watu laZima waniulize bro vip umetoka mkoa?
Nasema hapana
Wanasema unavyotoka jasho hivi wewe ni wa mkoa nami naamua kukubali.
Jua na joto la Dar linachoma kama pasi, lakini watu miili mikavu wala hawajali wapo kawaida, nashangaa hawa...
Mimi kama kijana ninaye jitafuta bado ninaishi na mama yangu mzazi pamoja na mdogo wangu ambaye kwa sasa yupo kidato cha nne, dada yangu wa kwanza ameolewa yupo na familia yake yeye kaniacha miaka 6 ndio nikafuatia na mimi nimemuacha mdogo wangu wa mwisho kwa miaka 10.
Katika swala la maadili...
baba wa familia
binti
elimu
ijue historia
maisha
maisha yangu
malezi
mbona
single mother
story za vijiweni
true story
ukatili
unyanyasaji
usimkosee heshima mwanamke
vioja vya familia
vituko
Haya ndiyo yanaoendelea Kaliua serikali ipo kimya haya yanafanya na TFS,TAWA na vyombo vingine vya dola ikiwemo JWTZ je hii ni sawa,
Waziri wa maliasili ajiuzuru?
Waziri wa ulinzi ajiuzuru?
Waziri wa mambo ya ndani ajiuzulu?
Wakuu habar za muda huu?
Leo kila nikijaribu kufungua telegram inafunguka lakini inaandika connecting halafu haifunguki.
Je, kuna mtu nae kwake inazingua kama hivi?
Ningependa kujua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.