mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Melki Wamatukio

    Aibu nyingine mbona zinaepukika? Wanawake badilikeni. Huyu mwenzenu kanichekesha sana

    Kuna mwanamke mmoja alitishia sana mtaa kutokana na uzuri wa sura na rangi ya mwili aliyonayo. Kati ya Predators waliovizia vizia nami nilikuwa mmoja wao Nilipoona binti mwenyewe ni aina ya staki nataka nikamuweka chini na kumuomba anipatie jibu moja, akasema hanipendi. Nilipomuuliza sababu...
  2. Yoda

    Democrats wa Marekani wamechanganyikiwa? Mbona wanajiendea kama gari bovu?!

    Mbona karibia viongozi wote wa chama cha Democrats wamekimbilia kumuunga mkono Kamala Harris ambaye ni mtu wa mrengo kushoto wa mbali kabisa na mwenye nakisi kubwa katika CV yake panapo masuala ya uchumi na usalama? Kwanini vigogo wa Democrats hawakutaka kujielekeza zaidi kuwaachia wajumbe wa...
  3. 2019

    Potea potea ya watoto imezidi, nini tatizo, mbona Serikali iko kimya?

    Kila kukicha matukio ya kupotea kwa watoto, huku wakija kupatikana wakiwa hawana viungo vya sehemu za siri. Shule nyingi Mbagala watoto wameacha kwenda shule wakihofia usalama wao. Walimu wakapendekeza kila mzazi ampeleke mtoto wake shule na kumrudisha, wazazi wamegoma ssbabu hawana huo muda...
  4. GENTAMYCINE

    Mbona Maafisa wa Habari wa Timu za Tanzania zilizoshiriki 'Kagame Cup' ya mwaka huu hawatuambii imekuwaje 'Wametepeta' mapema sana?

    Itasaidia sana kama wakisema kile Kilichowaponza ili Vilabu vingine vya Simba, Azam na Yanga vijifunze kwa baadae.
  5. T

    Mshanajr mbona kimya!!!?

    Sio kawaida huyu member kukaa kimya hivyo.....kulikoni? Jukwaa linazidi kukosa watu WA maana...
  6. GENTAMYCINE

    Sky News majuzi walikuwa busy Kushangilia kutinga Fainali hadi kusitisha Vipindi vyao Vingine mbona Usiku huu wanajifanya kama bado hawana Matokeo?

    Yaani Msipenga leo kajua kweli kutufurahisha Watu ambao hatupendi Shobo na Sifa za Watu Fudenge Wakoloni wetu.
  7. Kyambamasimbi

    Hivi TBC ni ya Serikali au ya chama tawala, Mbona habari za vyama pinzani hazisikiki?

    Habari wanJF. Hivi huwa najiuliza TBC ni ya Serikali au ni ya chama Fulani, mbona huwa wanazungumzia habari za chama kimoja tu kwani vyama vingine havina haki kutangazwa? Kama ni hivyo vyama pinzani fungueni na nyie media zenu.
  8. T

    Kwanini divai kwa Catholics huwa wanakunywa mapadri peke yao?

    Makanisa mengine kama Lutheran na Anglican divai Huwa watu wanashiriki lkn Kwa catholic Huwa wanakunywa wenyewe tena wanazinywea kitimito kabisa kwenye makazi yao
  9. GENTAMYCINE

    Heko Waziri Nchemba kwa Kuitembelea Shule yako ya Ilboru ila mbona Walimu wa Masomo mengine hukuwatembelea na umemtembelea Mmoja uliyefaulu Somo lake?

    Sawa Somo la Jiografia tokea Form One hadi Four ulipata A na pia kuna Mwalimu wako mwingine Blanca Shao nae alisema kuna Somo lake ulipata A. Hongera kwa Ufaulu huo ila GENTAMYCINE ( Mtani wako kutoka Mkoani Mara kwa Wazanaki ) nakuuliza Mtani wangu Wewe Mshamba kutoka Mkoani Singida kwa Watani...
  10. Influenza

    Wakili Kibatala: Nitasusia Uchaguzi was TLS kama Mwabukusi asiporudishwa kwenye orodha ya Wagombea

    Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law Society -TLS), utakaofanyika Agosti 2, 2024, Wakili Msomi Peter Kibatala ametishia kususia Uchaguzi huo ikiwa Wakili Boniface Mwambukusi hatarudishwa kwenye orodha ya Wagombea Soma; Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi...
  11. kocha Nabi

    Hii ratiba mpya ya SGR mbona kama treni ya haraka ndo inaenda polepole kuliko ya kawaida

    dkk 8 tu zimeachana uharaka wake upoje ama mimi ndo sijaelewa.
  12. Hakuna anayejali

    Kwenu JWTZ mbona sasa inakuwa hivi?

    Miongoni mwa majeshi ninayo ya heshima ni JWTZ lakini mbona baadhi ya askari wenu wanadhalilisha jeshi? wanazinguwa bar na sare za kazi ama unamwona mtu kalewa chakari ndani ya sare.Askari kama huyu huko kambini hachunguzwi na kudhibitiwa ili kuleta nidhamu kwa jeshi?
  13. Kamanda Asiyechoka

    Leo ndio nimeshangaa! Kumbe idara ya Usalama wa Taifa inatakiwa kumwambia rais Wananchi wanataka nini? Mbona Rais Samia haambiwi ukweli?

    Ufisadi halimashauri? Uzembe makazini? Sakata la Bashe na Mpina? Mbona wananchi wapo upande wa Mpina? Kuna nini? Mahindra tech. Bil 80+ alizopiga January? Mbona kimya? Waarabu wameleta ufanisi bandari za Tanganyika? Migomo ya kodi na tozo😅😂 Huko Kenya Rigath Anawalaumu Nis hawakutonya Ruto...
  14. ndege JOHN

    Mkoa upi hapa Tanzania wenye vitu vya asili kwa wingi vyenye Ladha nzuri?

    Naomba kujua experience yako kwenye vitu vya kula kula me nilionaga dodoma labda ndo ardhi yake Safi Sana kuanzia karanga na Nyanya na Viazi na mboga za majani za dodoma ni bora zaidi. Yaani viwe ambavyo vya asili kabisa sio vya Madawa Madawa mengi. Mkoa gani una hiyo ardhi sijafika bukoba...
  15. matunduizi

    Hivi hawa Hesboullah mbona Israel kama anawaogopa kuliko Iran?

    Siku ninavyoenda naona kama wanazidi kupata nguvu. Nimeona wamepost video ya drone iliyokusanya maeneo yote umya kimkakati ya Israel ikiwemo vyanzo vya maji. Satellite immage ikionyesha mameli katika bandari ya haifa, ambayo hadi sasa live yako vilevile. Nomeona wamepiga picha za kambi za...
  16. Chakaza

    Pamoja na Maumivu Makali Mbona Hatuwezi Kama Wenzetu?Tumelishwa Nini?

    Huko Kenya katika budget yao iliyosomwa siku moja na sisi kuna vitu vimetangazwa kama ongezeko la kodi nk mambo ambayo yana maumivu kwa raia. Tofauti na tabia zetu, wao ASAP wakaingia barabarani bila kujali chama au sura na kupinga kwa nguvu moja hadi Serikali imesalimu amri na kutangaza kufuta...
  17. GENTAMYCINE

    Watanzania mbona hamtaki Kujibu Swali la Msingi lililopo katika Ukurasa wa Mbele kabisa wa Gazeti pendwa la Werevu Tanzania la MWANANCHI?

    Tafadhalini hebu lijibuni bhana kwani Watanzania wengi tusiosoma ( kama GENTAMYCINE ) tunahitaji Majibu yenu Ok?
  18. Superbug

    Ayoba ni gadget gani mbona inaudhi?

    Ayoba inanikera it comes while I don't want it ayoba ni gadget gani pls?
  19. EDIGAR JO

    Uporwaji wa ardhi utaisha lini dodoma? Naumia sana raisi samia alione hili

    Samahani . Poleni na kazi Waheshimiwa Natumaini mkheri wa afya Naomba msaada wako kwa kunisaidia mawasiliano ya simu ya viongozi hawa, 1.Waziri wa Ardhi wa Tanzania wa sasa Mheshimiwa Jerry Silapha. 2.Mheshimiwa .Poul Makonda Mi nilikuwa naomba msaada wenu kwenye jambo hili ili kisiharibike...
  20. J

    Hii Barabara ya (KAHAMA) Mnazi mmoja - Lugera Mbona mashimo?

    Hivi hii barabara ya kutokea Senta ya Mnazi mmoja kwenda lugela sent a ya juu mpaka kutokezea supermarket mpya mbona no mashimo tuu? Yaani nibarabara ambayo haina mwelekeo kabsa barabara hiohio na mtalo nihuohuo, na barabara ya kutokea mnazi mmoja kwenda Rami, serikali inaingiza kipato kupitia...
Back
Top Bottom