Hawa waarabu wamekua wakilalamika sana kwa kichapo cha Israel dhidi ya HAMAS, ila waoga likija suala la matendo, wameshindwa kujiunga kwenye kesi ya Afrika Kusini dhidi ya Israel.....
Last Friday, the International Court of Justice (ICJ) concluded the first hearing of the South African case...
Kwenu tamisemi. Serekali imeshaweka nia na kutenga fungu mahususi kwa ajili ya fidia ya wakaazi wa bonde la mto msimbazi.
Ni wazi kwamba wakaazi wengi wasiokuwa na hati (squatters) wamefidiwa flat rate shs mil 4. Pamoja na fidia ya majengo.
Pale kwenye bonde kuna hati nane(8)ambazo serekali...
Nimejaribu kufuatilia nimegundua pamoja na maendeleo makubwa ya sasa na njia za mawasiliano kuboreshwa, bado kuna kitu watu wa elimu wameyumba sana.
Zamani vitabu viliandikwa vinyimbo nyimbo na takribani kila sehemu uliyokwenda ungekuta watu wanajua toni ya wimbo husika lakini siku hizi...
November 2023 Waziri mkuu Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa alifungua Wiki ya Huduma ya Fedha Kitaifa, jijini Arusha na kutoa maagizo kwa Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) na Wizara ya Fedha kumaliza mchakato wa utoaji wa mikopo ya asilimia 10 uliokuwa...
CHADEMA kupitia Mwenyekiti Mbowe wametangaza kufanyika maandamano Dar es Salaam, January 24, 2024.
Lakini pia RC wa Dar es Salaam Bwana Chalamila Albert ametangaza Majeshi ya Ulinzi na Usalama kufanya usafi mkoani kwake tarehe 23-24 January 2024.
CHADEMA kila kona mitandaoni wanamlaumu RC...
Tumieni akili acheni ujinga na upuuzi.
Kila kona watu watu wanalalamika kuna dhuluma na uhuni.
Mbona hayati Magufuli alipinga haya?
Mbona alikusanya mapato na kudhibiti wizi wa mali za umma.
Haya mbona hamsemi ukweli kuwa mama amefeli?
Mama amefeli
Leo nimeamua kuperuzi baada ya kupata business idea ya kufungua duka la electronics, phone and accecories.
Nikasema acha niiingie kwenye application ya Alibaba kuona bei za electronics huko china na huku bongo.
Mfano hapo glass protector ni Usd 0.01 napo zingine ni mpaka Usd 0.15 sawa na...
Nimechunguza Kagere alivyokosa pigo la mwisho la penati wengi wanaolaumu na kudhihaki ni wapenzi, mashabiki halikadhalika na viongozi wa yanga kuliko singida wenyewe.
Yanga walishasema hawakuwekeza nguvu sana kwenye hiyo michuano, walichukulia kama mazoezi na kuangalia wachezaji wao wale...
Muda huu saa sita kamili mchana hapa Stendi ya Morroco (Dar es Salaam) kuna askari watatu wanakusanya hela hadharani kwa kila Daladala inayosimama kituoni.
TAKUKURU tokeni maofisini muwakamate hawa majambazi katika nguo nyeupe.
Ninachojiuliza mbona wanaofanya hivyo hadharani hawachukuliwi hatua?
Nashindwa kuwaelewa hawa viumbe. Yaani ukichepuka na mke wa mtu, labda usiwe mdadisi tu, lakini ukisema udadisi, unapatiwa siri zote za jamaa
Haijalishi huyo mwanamke ana cheo gani serikalini, ana utajiri gani, anasali dini gani, kabila gani n.k
Umewahi jiuliza familia zinazovamiwa na...
Mfano ni mkoani Singida, familia tatu zinawalilia ndugu zao walio tekwa na watu wasiojulikana.
Familia mbili za huko Wilaya ya Iramba, zinazoishi karibu na Loya, zinalia kupotelewa na wafanyabiashara wa mazao jinsia yao ni wanaume wawili. Wawili hao inasemekana walitekwa na gari nyeupe aina ya...
Ambaye ana elimu ya hizi stika za elekitroniki za TRA naomba atueleweshe.
Mfano bidhaa ilikuwa inauzwa kiasi cha Tsh 100 ikawekwa stika bado inauzwa bei ileile tzs 100 hapo naongelea U-fresh ambazo ni barafu zinazozalishwa na Wachina.
Hapohapo maji yalikuwa yanauzwa kiasi cha Tsh 500 ikawekwa...
DJ Khaled ni Mpalestina na kwenye hivi vita hajaongea chochote kile, ni kama watu wanataka kumsikia akisema lolote wampoteze.
Bro! Muziki wa Marekani unashikiliwa na Wayahudi. Yaani wao ndiyo wanapanga kila kitu.
Hivi ushawahi kujiuliza kwa nini Waarabu wakiingia vitani wanakwenda kuomba...
Ninaangalia game ya JKU ya Zanzibar VS Simba SC ya Tanganyika kwenye michuano ya Mapinduzi CUP kwenye Uwanja wa Amani huko Zanzibar.
Kwenye mechi hii kulikuwa na Aliyeitwa Mgeni rasmi, huyu ametajwa cheo chake kuwa ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Mjini Magharibi.
Swali langu ni hili, hivi kazi...
Hivi Yale makelele ya Iran yameishia wapi. Mara ooh Israeli akiivamia Gaza atakuwa amevuka mstari mwekundi. Yale maneno hatuasikii tens, kuna nini?
Wanaume wapo ndani huko. Mji wa Gaza majengo yote yamebomolewa na magaidi 8000 yamekufa na wengine kujisalimisha.
Mataifa ya Kiarabu mbona yapo...
Mkufunzi wangu Mmoja wa Somo Communication aliwahi kusema ukiwa ni mwenye Hadhi yoyote ile jitahidi sana Hotuba zako ziwe zinaendana na Mood ya Watu wako kwa wakati husika au ukiona labda hukubaliki nao au una Gundu Gundulile dhidi yao sitisha Kwanza Kuzunzumza nao ( Kuwahutubia ) kwani...
Niliwahi andika hili. Naomba niandike tean. Mheshimiwa huyu anatimiza ahadi yake lini? Pamoja na kwamba aliahidi mwenyewe hata hivyo upinzani unahitaji nguvu na mawazo ya mwenyekiti mwingine. Bahati nzuri akawa ameona hilo yeye mwenyewe na kuahidi kung'atuka mwaka huu 2023. Sasa anang'atuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.